Nimepitia katika makundi ya wafugaji wa kuku naona wana kuku wengi sana wanatangaza kuuza.
Sasa najua JF ni jukwaa pana sana, wapo watu wanajua kuanzia mtaji, mahitaji, faida na hasara za...
SERIKALI KUNUNUA VIPURI NA VYUMA KATIKA KIWANDA CHA KILIMANJARO MACHINE TOOLS
Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) imekifanyia ukarabati mkubwa Kiwanda cha Kilimanjaro Machine...
Hii ni kwa wafanyabiashara au watu wanaotangaza biashara zao kwa platform za Meta (Facebook na instagram).
Kumekuwa na huduma nyingi sana haswa instagram, Kuna vijana wanatangaza huduma ya kufuta...
Hizi tuziite ni biashara bikra huwa ni sawa na kuwa mwanaume wa kwanza.
Ni biashara nyingi sana hazikuwepo Tanzania bali ziliingia kwa kucopy na ku paste biashara zinazofanywa nchi zingine...
Greetings everybody?
I trust you are good.
Leo kama ilivyo kawaida yangu kutoa maarifa bila uchoyo kabisa nataka nikufundishe jinsi unavyoweza kutumia app ya CouchSurfing kupata wageni toka nchi...
Wakuu natafuta soko la mashati meupe ya shule, ya mikono mirefu na mifupi. Nauza kwa bei ya kiwandani , kuanzia dozen 50. Nipo Dar. Kuna Size Small Medium Large, 38, 40,42 na 2, 3, 4 . Toa oda...
MELI YA MV. MBEYA II YAREJESHA SAFARI KWA KISHINDO
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amefanya ziara katika Bandari ya Kiwira (zamani Itunge) Wilayani Kyela ambapo ameshuhudia kuanza...
Habarini wakuu,
Ni financial institution ipi naweza kuweka pesa 1.2m kwa mwezi kwa muda wa miaka mitano bila ya kuitoa. Namaanisha credibility nzuri bila uzinguaji na wenye riba nzuri sana ambayo...
SERIKALI KUJENGA KITUO CHA FORODHA KAKOZI, MOMBA
"Je, kuna mpango gani wa kuweka kituo cha forodha Kakozi, Momba ili kuunga mkono jitihada za kujenga Soko la Mazao la Kimataifa?" - Mhe. Condester...
Habari, nataka kuagiza simu ya apple kule apple store, nataka kujua kama kuna mdau yeyote alisha wahi agiza na changamoto zipi alipitia mpaka kuipata..
1. Gharama ni ile ya pale uliolipia naada...
Hellow members,Leo nimekuja na tukio lililotokea leo asubuhi baada ya moja ya mteja wangu kuingia mkenge kwenye rada za matapeli.
Ipo hivi mimi najihusisha na kununua/kufuata,kufunga na...
Tafadhali naomba kujua ni wapi au ni website gani ambayo inatoa offer nzuzi ya affiliate marketing na ambayo inakubali hata kwa nchi zetu za Africa ikiwepo na Tanzania.
Nmejaribu website...
Siku za karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la famasi au maduka ya dawa lakini wengi wameishia kufunga biashara na kukimbia frame.
Je, tararatibu zipi za kufuata?
Unafanyaje ili uweze kufanikiwa...
Habari za majukumu Ladies and Gents.
Baada ya Purukushani za mjini naona ajira zimekuwa ngumu sana nataka kuuza mali zangu baadhi nijite kwenye Biashara ya Nafaka (karanga n.k)
Nina Kiwanja...
Habari zenu wadau,kama mada inavojieleza nahitaji kununua kitanda cha mbao.kwa anaeuza au kujua maeneo wanakouza vitanda vizuri anijuze wadau. Niko vikindu,mkuranga.
Habari za Muda kidogo,
Wakuu mimi ndugu yenu ni mpiga madili na pia ni mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi na umeme pia, Sasa katka biashara hizi ninazo fanya ni kwamba nafanya biashara na Wakinga...
Yeah nataka nianze hii Biashara vifaa vyote tayari ninavyo bado sijapata sehemu natafuta maeneo ya Mbagala rangi tatu, kwa azizi Ally na tandika.
Nahitaji mtu anayefanya hii Biashara anipe mbinu...
Amani ya allah iwe juu yenu.
Katika harakati za maisha, watu wanapambana sana ili kuona wanajikwamuaje katika dimbi la umaskini.
Kila mtu kuna kitu anafikiri ni bora zaidi akikiweka kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.