Habari
Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya clearing and forwarding. Nina kampuni, wateja wachache ninao, natafuta mtu mwenye wateja lakini Hana kampuni nifanye naye kazi.
Naomba kuwasilisha
Ndugu wasomaji wa JF,
Kuna uwekezaji mmoja mkubwa naamini unaoweza kuleta manufaa makubwa siyo tu kwangu binafsi lakini pia kwa taifa kwa ujumla. Sitaeleza sana wazo lenyewe kwa sababu...
Habari!
Naitwa Ashraf, nina miaka 25, Elimu yangu ni Kidato cha 4, nimesoma VIP pale NIT. natafuta gari ya kufanyia kazi (Tax Mtandao). Nipo tayari kwa mkataba au hesabu. Nina uzoefu kama Dereva...
Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza...
Sisi Wakulima wa Zao la Vanilla Kagera tulimuuzia Kampuni ya Sosaka Limited iliyopewa vibali na Ofisi ya Mkoa wa Kagera, vanilla zetu mnamo tarehe 19-23 July 2023 lakini mpaka sasa hatujalipwa...
NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE ASEMA SAFARI ZA DAR - MORO KUPITIA RELI YA SGR KUANZA JULAI, 2023
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imepokea mabehewa sita ya reli ya kisasa ya (SGR)...
Najua hii ni mada maarufu na nyeti kwa baadhi ya watu. Sababu ni kwamba Forex ni biashara ya kimtandao
Na nahitaji ushauri kama yupo mtu ambaye alishawahi kufanya kufanikiwa hii biashara ya...
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ametoa rai kwa Watanzania kupenda na kunununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda nchini ili kupanua wigo wa masoko ya bidhaa, kuongeza...
Salaam wakuu ,huwenda nikawa nje kidogo ya mada ila nimekuja katika uwanja huu kwa lengo la kutafuta gari ya kufanya nazo kazi aina ya tipper (mende)nina uzoefu na nina kazi za kutosha hapa jijini...
Habar, nahitaji kujua madhara ya kutowalipa hawa tala na branch mkopo uliochukua, maana kuna jamaa yang anadaiwa na elfu 70 tala na laki moja branch na hajawalipa miez kadhaa imepita ila jamaa...
Habari wadau!
Naomba kqa yoyote anaefahamu Chimbo wanapouza Tv Flat Screen kwa bei ya Jumla.
Nazungumzia Brand za bei ya mtanzania kama Aborder, Sundar, Star X na Alitop.
Ahsante
Wana jamvi hamjambooo
Nawaza tu kufungua bakery hapa nyumbani,kuna pesa nawaza kuifanyia uwekezaji na niko sehem ndo mji umeanza kuja so nadhania kuanza kuanzisha biashara ya bakery...
Habari zenu wanajamii, naomba kuuliza kuhusu wale jamaa wa pale Ilala Boma wanaouza nguo kwa kutaja bei hususani zile tishet, huwa wanazitoa wapi maana huziweka kwenye mifuko tu ya kawaida zikiwa...
Habari napenda ulizia kwa anaejua au anaefanya biashara ya kuuza mayai , hasa haya mahususi ya kupikia chipsi wakuu.
Anijuze napenda kuanza biashara hii
Location ni Moshi Mjini...
Habari za wakti huu;
Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu Biashara ya Clearing and Forwaring Agency.Kabla ya kuingia kwenye mjadala niweke wazi kwamba mm sifanyi shughuli za C&F.Hivyo basi...
Habari wanajamvi,
Natumaini kuwa mnaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada...
Nakumbuka nilikuja kwenu na wazo majuzi. Nilitamani kutengeneza mfumo utakao wawezesha wateja kununua kwa bei...
Habarini za muda huu nauza mashudu ya Alizeti bei ni Tsh 150 kwa kilo moja, mazungumzo yapo endapo utachukua zaidi ya Tani 25 nipo Songea Mjini kwa mawasiliano zaidi unaweza kunipigia kwa simu No...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.