Habari,
Nina wazo la biashara ila mtaji unazingua, nitaanza na nilichonacho.
Kwa kuwa nimeishi Dar muda mrefu na nimejuwa mitaa na chocho za Dar, hakuna sehemu utanipoteza Dar.
Basi...
Kwa wadau wnaaotaka kusafiri china na turkey Kuna maonyesho mbali mbali Katika kipindi mbalimbali katika mwaka kama ilivyo kwetu Kuna 7/7.
Nina dondoo kidogo...naomba tukutane hapa kupeana huu...
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuhusina na wale Wawekezaji ambao incase unaplot mahali wanakuja kujenga kama apartment.
Au office kwaanae jua anisaidie plz coz tuna eneo lipo town maeneo ya Ilala...
Wakuu namshukuru Mungu kwa hii pumzi na kwa riziki zake. Mimi ndugu yenu siku za hivi karibuni nimeona ni muda muafaka wa kuanzisha chanzo kingine cha mapato ila bado sijafanya maamuzi kamili...
Matumaini yangu hamujambo wana-JF
Napenda kutoa uzi huu nikiwa na experience ya kutosha kuhusu ujasiriamali kwa nchi yetu. Tanzania haina habari kuhusu wajasiriamali kwa sababu zifuatazo:
1...
Kati ya sheria au Rule ngumu katika kujenga na kuimarisha kipato au kusaka utajiri ni hii
1. “Earn before you Spend”
Hii rule nimejaribu miaka mitatu sasa siiwezi hasa kwa wafanyakazi ndio kazi...
Rais Samia anafungua hotel ya kisasa mkoani Arusha iitwayo Gran Melia na tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten.
Karibuni sana.
=====
Rais Samia Suluhu amezindua rasmi hoteli ya kisasa...
Habari za wakati huu,
Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na jitihada zako za kutafuta mafanikio katika maisha yako. Niseme tu ukweli kwamba ninaandika andiko hili nikiwa katika maombolezo...
Hello wana JF
Ni matumaini yangu hamjambo na wenye afya tele na hata wale wagonjwa namuomba Mungu awaponye haraka.
Leo ningependa kuongelea hizi Financial Markets yaan Masoko ya Biashara za...
Hi,
Anyone drop any challenge ambayo startups za Bongo/ Africa kwa ujumla zinaface.
Mimi ntaanza na Tamaa, startups founders wengi wa Africa wana tamaa akishaanzisha kitu akapata hela tu bas...
Nipo hapa kwa kitanda usiku huu wa manane nikiwa na msongamano wa mawazo na kutafakari mambo mbalimbali kuhusu haya maisha hasa kwa sisi vijana ambao tunajitafuta na bado hatujajipata.
Haya...
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo ana hakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe afanye hiyo Biashara mwenyewe; (faida watagawana kwa makubaliano)...
Miradi ndio uti wa mgongo wa taasisi zisizo za kiserikali (NGOs), kupitia miradi taasisi huweza kujiendesha, kutimiza malengo yake ya kimkakati (Strategic objectives) na pia kufikia uono wake...
Habari wakuu,
Nimerudi kwenu kwa mara nyingine tena. Mwaka juzi (2021), nilikuja hapa kwenye jukwaa na kutafuta business partner ambaye atakuwa tayari kuwekeza kwenye Machine shop. Hii kwa maana...
Habari za wakati;
Kwanza kabisa nianze kwa kuweka wazi kwamba lengo la mjadal sio kuwakebehi watu ambao wameajiriwa/wanatafuta ajira au wanatamani kuajiriwa.Kama mjadala wangu utaelekea upande...
Habari za humu wakuu.
Kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyojieleza,Nimepata wazo la kuanza biashara ya kupack na kuuza chai.
Awali ya yote natakiwa nifuate procedure zote za kiserikali,kuanzia...
Je umewahi kutaka kufanya Jambo fulani ila ukaacha kulifanya kwa sababu ya kufikri kwamba hutaweza,utadharaulika,watu watakuonaje na kuwa na hofu na kutokujiamini kwa sababu tu ya kuhisi kwamba...
Kwa sasa kuna michezo ya kubashiri na bahati nasibu mbalimbali, tunacheza kwa kuwa tunataka shortcut ya mafanikio na bado inakuwa shida ni wachache wanapata pesa hizo.
Tufanye hesabu ndogo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.