Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wana Jf. Mim ni mkazi wa Dar es salaam, ninataka kufanya hii biashara ya kuuza kuku wa kukaanga Naomba kufahamishwa kuhusu. 1.Bei ya kuku wa kisasa + Maeneo wanayopatikana kwa wingi...
3 Reactions
17 Replies
10K Views
Wakuu naomba kuuliza hizi bati siku hizi naona zimeandikwa Al-Zn je ni kweli sio chuma Bali ni alloy ya aluminum na zinc na pia ni bei Gani? Kwa kilo kama nikikusanya mabaki yake. Kutoka kwenye...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtoto wa mkulima kwa hili la kutumia matrekta ya Tafe na Kubota linaniingia akilini lakini hili la Power tiller aghaaaaaaa. Ki ukweli power tiller ni mzigo kwa wakulima kwani hili linafaa sana...
0 Reactions
21 Replies
15K Views
Ni usiku wa saa nane ila Bado Sina usingizi. Nimekaa nikaandika business plan ya mean restaurant jijini Dar es salaam, hasa pale uwanja wa Taifa. Nime-analyse kila kitu. Gharama ya kuanzia...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu kwa wale mliowahi kutumia william hill mnatoaje pesa kwa mastercard? Mimi nilideposit kwa mastercard halafu Naambiwa nitoe kwa njia ya bank!
0 Reactions
6 Replies
819 Views
Habarini wakuu, Naomba kuuliza namna ya kufanya malipo ya serikali kwa mtu ambaye ni wakala hasa kwa mitandao ya Vodacom M-Pesa, Tigopesa, Halotel, Airtel, ttcl nk, menu zake ni zipi na je kuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bila shaka duka la mangi ndilo la pili kuajiri watanzaniw wengi baada ya kilimo. Karibu kila mtaa utakuta kuna maduka ya Mangi kuanzia mawili na kuendelea. Umbali wa dakika tano toka hapo ulipo...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Naitwa YESE HUMPHREY ni mfanyabiashara wa mazao nasafirisha kutoka mbeya kwenda mikoani Kwa mwenye uhitaji wa mazao ya chakula anaweza kunicheki hata kilo 10 tunasafirisha. Pia tunatengeneza...
1 Reactions
1 Replies
641 Views
Habari za muda huu wanachama wa jukwaa la Biashara. Nimekuja kwenu leo hii nikihitaji dira ya wapi ni pazuri zaidi kwa biashara ya duka la mangi kati ya Kahama au Tunduma. Kwa kifupi nimefanya...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama kabisa na harakati zenu za kujenga Uchumi binafsi na watanzania huku mkiendelea kupambana kupata mgao wenu wa Keki ya Taifa ambapo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Salamu zenu wakuu, natumai mu wazima. Nina uhitaji wa kufahamu kiundani zaidi, upi kati ya mkoa tajwa hapo juu una fursa za uwekezaji? Nafahamu mikoa hiyo ni mashuhuli kwa vilimo mbalimbali. Je...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wana Jamii Kwa majina ninaitwa HASSAN IDDI HASSAN Mkazi wa Kigoma-Ujiji Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kufanya mageuzi katika matumizi ya nishati mbadala nikiwa na maana ya...
3 Reactions
7 Replies
676 Views
Tanzania’s decision to establish a National Gold Reserve to strengthen its local currency comes at a time when global central banks are turning to gold as a safe-haven asset. As Africa’s...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Hello guys, Kama upo na mtaji niletee mzigo wa belo za baibui za mtumba tufanye kazi, fremu ipo good location, unaweza kujitengenezea laki 3+ kila mwez. Belo moja ya baibui grade A ni km laki...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa reputation yake nzuri ya biashara ni vema Tanesco ikauzwa kwa muwekezaji mkubwa kama Elon musk!! Suala la kukatika umeme itakua n hadith za abunuasi Atawalipa fidia waliopata hasara kisa...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu naomba mchanganuo wa namna ya kufanya biashara ya mayai. Naomba kupewa mchanganuo huo kwa; 1. Mayai ya kisasa. 2. Mayai ya kienyeji.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Natumae mu wazima Soon nataka kutanua biashara yangu ya kuku wa kisasa maarufu kama broiles. Nauliza wenyeji wa mwanza je upepo wa biashara ya aina hii ya kuku ikoje huko,au mwanza ni mwendo wa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Za mida. Mwenye ng'ombe wa kisasa jike wa maziwa tufanye biashara, anahitajika maeneo ya kondoa. Nawasilisha.
2 Reactions
9 Replies
847 Views
Habari wana JF, Mwenye ufahamu na Biashara ya mikate, msaada tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Miaka 1960-1980 jeshi la Tanzania lilikua ni tishio Africa. Kwa East Africa ndyo lilikua kinara kwa ubora na kuogopeka kijeshi? Vita ya tz na Ug ililipa headline nyingine achilia mbali kushiri...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom