Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu mambo vipi? Ni muda mwingine tumekutana tukiwa salama kabisa, ila poleni sana kwa wale mnaopitia changamoto kinamna yoyote ile na ninawaombea muweze kurudi katika utimamu. Wakuu, uzi huu...
28 Reactions
136 Replies
10K Views
Wakuu hope mko na Jumapili Mjarabu, Naomba kuuliza hili jambo kwa sababu ni moja ya kitu ninachotamani sana kufanya. Mimi ni mtaalam mzuri kwenye profession yangu niliyosomea hasa mafunzo...
1 Reactions
4 Replies
413 Views
Makubaliano hayo yamelenga kuwawezesha abiria wanaosafiri na kuhitaji kuunganisha ndege ili wafike sehemu wanazokwenda Kupitia makubaliano haya abiria sasa wataweza kusafiri kwa urahisi kati ya...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wana Jamiiforums? Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
8 Reactions
139 Replies
6K Views
Ninahitaji mkopo wa dharula wa 2M or 3M Mimi muajiriwa mwenye kipato Cha kati. Msaada plz. Nina uwezo wa kurudisha Laki hadi Laki na nusu Kila Mwezi. Nipo serious wakuu
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Serikali imeyataka Makampuni ya Wawekezaji Wazawa ambao wamesaini mikataba ya uchimbaji wa makaa ya mawe Mchuchuma kufanya biashara kwa uadilifu, weledi kwa juhudi ili kifikia malengo yanayo...
0 Reactions
2 Replies
742 Views
Heri ya siku ya Christimas na Mwaka mpya wana JF natumai ni wazima na tunaendele kusheherekea sikukuu za Mwisho wa Mwaka Nirudi kwenye mada Mimi ni kujana nina Miaka 25 kwa mda kama wa miaka 2...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wadau, nauliza kama kuna mfanyabiashara yoyote anasafirisha mzigo kutoka Indonesia kuja Tanzania, au anafahamu kampuni yoyote inayosafirisha mizigo kutoka huko kuja huku. Natanguliza...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiujumla duka litakupa faida pale tu mzunguko wa mauzo unapokuwa mkubwa, Mzunguko utakuwa mkubwa pale tuutakapohakikisha mteja hakosi kitu dukani kwako. Ujanja ni kuuza vitu vyote ambavyo eidha...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana Jf naomba kujuzwa chimbo wanako uza bei nzuri kwa jumla jumla spea za baiskeli kwa dar es salaam mimi nipo mkoani
0 Reactions
6 Replies
1K Views
JE BIDHAA ZOTE ZINAZOAGIZWA NJE HAZIWEZI KUZALISHWA BAADHI NDANI YA NCHI NA IKAWA FURSA KWA WATANZANIA ? Wakuu kutokana na changamoto ya ukosefu wa ajira na salary kutokukidhi kwa wale wenye...
1 Reactions
10 Replies
534 Views
Mwalimu WA Hesabu nimerudi Mahesabu ya kupata milion 24 haya hapa
18 Reactions
64 Replies
5K Views
Habari wadau, wale wenzetu wanaofanya biashara ya kuchukua bidhaa kutoka Afrika Kusini na Uganda, wanaweza kutupa uzoefu Kidogo juu biashara hiyo; Aina ya bidhaa zinazopatikana huko ambazo ndizo...
7 Reactions
56 Replies
13K Views
Washapandisha kodi kitambo. Baadhi ya gari zimeongezeka hadi milioni. Angalieni TRA tax calculator. === January hii Huku kwenye kikotoo cha TRA Kodi za magari zimepanda maradufu, kabla ya...
9 Reactions
106 Replies
11K Views
Nakuja mbele yenu maomba msaada wa:, 1/ Sites bora za kuagiza bidhaa haswa nguo online. 2/Mtaji 3/Muda wa bidhaa kukufikia haswa toka China 4/Agents wa uhakika wa kusafirisha bidhaa 5/Tips za...
3 Reactions
14 Replies
966 Views
Habari za Wakati huu; Uzi huu ni Maalum kwa ajili ya kujadili Namna ambavyo unaweza kutengeneza Milioni 50 kwa Mwaka kulingana na mahali ulipo,Ujuzi na uzoefu wako pamoja na shughuli zako za...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga Kariakoo, sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya. Wiki ijayo naingia Dar kutoka Singida na ni mara yangu ya kwanza kufika...
5 Reactions
31 Replies
6K Views
Utangulizi Biashara ya Product Sourcing and Supply ni mchakato unaohusisha kupata na kusambaza bidhaa kutoka vyanzo mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya wateja. Katika ulimwengu wa leo ambapo...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajamii wenzangu wa JamiiForums, nimeunganishiwa deal ya kupeleka viatu vya Kimasai Ivory Coast na ndugu yangu wa ki Tanzania anayekaa na kufanya kazi kule. Ombi langu kwenu mwenye kujua...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Nina maswali kidogo! Unawezaje kununua server ya kuhost blog zaidi ya mbili ambayo iko fast? Je, ukishanunua unalipia kila mwezi au ukinunua imetoka hiyo? Server ulipie domain ulipia je si...
0 Reactions
8 Replies
467 Views
Back
Top Bottom