Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri, Nielekee kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Mimi natami kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani ya nchi ila changamoto kubwa...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Jambo, Tunatafuta mwekezaji mwenye nia ya kuwekeza katika kampuni yetu ya teknolojia inayojihusisha na kuuza vifaa vya usalama wa elektroniki na shughuli zingine za teknolojia. Tunaamini kuwa...
0 Reactions
2 Replies
527 Views
NI kweli BIASHARA ya Bodaboda ukiifanya vizuri utapata Hadi milioni 15 KWA MWEZI Statistics zaonyesha hivi
38 Reactions
268 Replies
15K Views
Habari Wakuu nauliza kuhusu namna ya kupata kibali ( leseni) ya kutoa mikopo midogo midogo kwa mtaji wa milion tano. Hii ni baada ya kufatilia hii biashara nakuona inalipa hvo nawakaribisha kwa...
8 Reactions
106 Replies
6K Views
Jamani wanajamiiforums ninapokea mshahara laki tatu na nina mke na watoto wawili ninalipa kodi 30,000 kwa mwezi, kinachonitesa ni hesabu za kubalance mpaka hiyo hela ieneee mpaka mwisho we mwezi...
17 Reactions
116 Replies
7K Views
Wakuu, Hawa jamaa nimewachoka sasa. Mara ya kwanza niliagiza mzigo mwaka jana, ilikua ni Flash ya 128 GB kwenye Limited Offer. Cha kushangaza ilidumu kwa siku 5 tu, ikawa haifanyi kazi tena...
4 Reactions
50 Replies
8K Views
Nahitaji kujua ni makato gani mtu anakatwa akiwa anapokea pesa illiyotumwa kutoka nje ya nchi? Na kama yapo, anaweza kufanya nini ili pesa isikatwe sana au isikatwe kabisa akiipokea..??
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilikuwa naomba muongozo kuhusu biashara ya kusaga na kukoboa Mahindi, nilifikiria kuanzisha biashara hii, sasa nilikuwa nakusanya changamoto za hii biashara, na utendaji wake, technique za kupata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za jion wana jf wenzangu? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye madahusika moja kwa moja. Kama kuna mtu anafaham sehemu zinapopatikan malighafi kwa ajili ya utengenezaji wa rangi za maji...
0 Reactions
2 Replies
539 Views
Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka...
6 Reactions
40 Replies
9K Views
Waziri Mhagama Azindua Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Manyara. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watendaji wa Serikali; kujipanga na...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Habari wanajamvi, Natumaini wote tunaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nimekuwa mdau wa kununua vitu mtandaoni kwa muda mrefu. Imenilazimu sana kumtuma mtu endapo nafanya biashara na...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania?
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Mtandao wa kukata tiketi wa LATRA (App ya LATRA ) na Pos za mawakala hakuna linkage inapelekea siti moja inakatwa mara mbili LATRA jambo dogo kama ili mnafeli wapi aisee
0 Reactions
3 Replies
333 Views
Wana wa Mungu Habari ya Asubuhi. Katika kujikwamua na maisha, Dada yenu nimeendelea kupambana na Kilimo cha Mahindi na Nyanya hapa Ilula mkoani Iringa kwa kukodi mashamba kwa Bei rafiki. Naomba...
0 Reactions
7 Replies
804 Views
Mashine kubwa horse.power 50.ina.kini cha kusaga na kukoboa.ina sehemu kubwa ya kuhifadhi mahindi.ipo njiani sehemu yenye watu wengi. Ipo DSM Kitunda magole stendi bei ya pango kwa mwezi 150,000...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF naombeni ushauri wenu zikiwemo changamoto zake. Baada ya kukaa na kufikiria kwa muda mrefu na kupata maoni mbalimbali hasa kutoka humu JF sasa nahisi ni wakati wa kuweka wazo langu hapa...
2 Reactions
555 Replies
253K Views
Umoja wa Vijana CCM tuanzisheni miradi mikubwa ya Kimkakati ili kutengeneza ajira Kwa wanachama wetu. Kwa kuanzia tunaweza kuanza na, 1. Viwanda vidogo vya kutengeneza unga wa sembe/dona katika...
1 Reactions
4 Replies
486 Views
Kama kichwa Cha mada kinavojieleza hapo juu kama Kuna mtu ana POS NMB wakala na haitumii au amefunga biashara naomba aniuzie.Itakua vyema kama yupo maeneo ya DODOMA Au BABATI
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Fuatia kichwa cha habari hapo juu, nataka kujua kuna uwezekano Mtanzania aiishie hapa TZ anaweza kununua bonds za nchi kama Canada au United States? Kama kuna mtu mwenye ufahamu, naomba atujuze...
0 Reactions
3 Replies
487 Views
Back
Top Bottom