Anaandika Sadick Tusia huko 'X' zamani Twitter
...........
Biashara nyingi sana huwa zinakufa baada ya wamiliki wake kufariki na uchunguzi wangu mdogo nilioufanya asilimia kubwa ya biashara...
Did you test Business mentality in you?
Do you have a house maid/house girl/ house boy who assists you in your house hold? Having agreed some wages let say Tsh. 30,000 a month.
At the end of the...
Ili kuunga mkono ilani ya uchaguzi ya CCM leo nami nimeona nichangie angalau connection ya machimbo kadhaa ya vitu mbalimbali huko China. Haya ni machimbo ambayo nimekuwa nikifanya nayo kazi kwa...
Kuuliza si ujinga, walisema wahenga. Nami kwa kuheshimu methali hii naomba kuuliza bila uoga, hivi hizi ATM ni mtu yeyote mwenye mtaji anaweza kufungua ATM ? kama Kuna mtaalam basi afafanue na...
Habari za muda huu, Mimi ni kijana wa miaka 20, hivi karibuni ninatarajia kupokea 40mil, je ni biashara gani ya uhakika naweza kuifanya yenye pesa.
Mimi binafsi sipendelei maduka kabisa wala...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: BANDARI NYINGINE KUJENGWA MTWARA
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amesema pamoja na kuwa wizara hiyo ina mipango ya muda mfupi katika usimamizi na matumizi...
Tarehe 20/06/2023 nilipigiwa simu na watu wa AliExpress Ofisi za Dar es Salaam wakanieleza kuwa mzigo wangu umeshafika Dar, niende ofisi zao za Dar mtaa wa migombani nyumba namba 8, plot namba 65...
Wakuu nikitaka kufungua duka Zenji na mie naishi Bara kuna utaratibu wa kufuata au naweza tu jichanganya nao nikafungua nikaendela na business.
Nataka kuweka branch Zanzibar lakini nature ya...
Ni kawaida sana kuona watu wakifuga kuku, ng'ombe, mbuzi, nguruwe, n.k. Lakini ni nadra sana kuona watu wakifuga samaki licha ya kuwa mazingira yetu yanafaa sana kwa shughuli za ufugaji samaki...
Habarini wakuu
Nina eneo langu Dodoma maeneo ya kisasa, nyuma ya St. Gasper hotel, eneo lina ukubwa wa sq 1000....
Kwa nature ya eneo hili sasa hivi naona biashara ya apartment inalipa sana, mimi...
Kuna aisiye ijua biashara hii.? Ok Kama wapo ni biashara inayo jihusisha na utoaji wa mikopo midogo midogo ya dharula.
Kwasasa ni biashara iliyo shamiri kila Kona ya Tanzania huwezi pita mji au...
Bila kupoteza muda, naomba nifafanuliwe na kunielewesha juu ya hii biashara mfano
Mtaji wake ni sh ngapi?
Malengo Kwa siku au Kwa wiki sh ngapi?
Changamoto zake ni zipi
Na mengine ya ziada...
Tumeshuhudia miaka ya nyuma kabla ya 2015 Shirika la ndege kuwa karibia kufa kabisa! Serikali ikapambana kununua ndege,,, na awamu hii bado ndege mpya zinazidi kuletwa.
je ununuaji huu unaenda...
Nimefanikiwa kupata kampuni ya Utengenezaji Uuzaji wa Industrial Incubator za Vifaranga vya kuku, kampuni hiyo inaitwa WUXI SINOPFE INTERNATIONAL TRADING CORPORATION iliyoko Beijing (kama...
Jiji lina vijana wengi sana ambao kwa namna moja ama nyingine wamekulia ama kuzaliwa kabisa katika jiji la Dar es salaam na wengi wao wameishi maisha ya hadhi hapo miaka ya 90s-00s, wakazi wengi...
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mwenye/Wenye uzoefu wa biashara ya kununua na kuuza nywele, ni wapi naweza kupata, Hair Wigs kwa hapa Dar?
Natanguliza shukurani zangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.