Habari za asubuhi
Nilikuwa naomba kuuliza hii biashara ya kuuza maji ya kunywa Katika vituo mfano wa atm imeakaaje ( faida na hasara zake)
Naomba kuwasilisha
Habarini za asubuhi
Kuna biashara nimeona ikianza kushika Kasi dar es salaam, uzaaji wa maji ya kunywa kwa gharama nafuu ya shiling Mia mbili kwenye vituo mfano wa ATM hii imeakaaje wataalamu...
Habari wakuu...
Niende moja kwa moja kwenye mada ni wakati gani utajua biashara unayofanya imekufa au imefilisika...nimejiuliza hili swali kwa nyakati tofauti na nimeshindwa kupata jibu la moja...
Habari za Muda!
Huku tunainroduce Bitcoin Cloud Mining ambae ni Genesis-mining
Nahisi mwatu wenge anafahamu mpya investment kama Bitcoin ( Kama ujasikia unaweza kucheki huku - Historia ya...
Daremall.com an ecommerce site based in Tanzania has been launched and became the first Ecommerce site to accept cryptocurrency in Tanzania.
Users can place orders and pay seamlessly using...
Leo nataka kuwafahamisha Watanzania wenzangu juu ya kitu ambacho wachache ambao wamepata nafasi ya kuelewa ni nini, wananufaika huku wengi wakibaki hawana idea ni nini kinachoendelea.
FORBES...
Habari wana JF,
Kwa anayefahamu chimbo la bidhaa za Jumla, za Flash Disks, Memory Card, na Phone Accessories.. Location iwe Arusha au Dar.. Sana sana Arusha kama zipo..
Habari Wananchi, nimekuwa na wazo kwamba tuweze kuwareport wenyenyumba wasumbufu either hapa hapa au tufungue telegram. Mtu akiwa anapanga nyumba acheki telegram na thread afanye maamuzi sahihi...
Nimekaa nimefanya tathimi biashara ya kufanya kwa mtaji kidogo nikapata wazo ninunue bonanza machine izi za kuchezesha mia mbili mbili naomba kujuzwa garama za usajili GBT,halmashauri,pamoja na...
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye rasilimali madini kwa wingi yakiwemo Madini Mkakati ambayo mahitaji yake yanazidi kuongezeka kutokana na...
Jana wakati naangalia Taarifa ya habari nimeona CRDB Bank wamekuja na Huduma ya CRDB GREEN BOND.
Hii inaweza kuwa Fursa mpya Kwa wenye pesa iliyokaa tu bila kazi.
Embu mwenye kujua zaidi atujuze...
Wakuu nimekua twitter nina muda sana ninachokiona humo ni harakati!… Nafuatilia harakati za kanda ya ziwa ziko moto na ushenzi wa bongo na siasa kidogo!!
Lakini pia ni mtazamaji wa zile video!…...
Habari,
Kuna hili soko linaitwa soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) hapa nchini kwetu na kuna wauzaji wa hisa na hizo bond
Wengi tunavutiwa na habari zao hawa watu wa hisa na bond na pengine...
Habarini, wanajamii wa forum nimatumaini yangu kuna hamjambo
Kuna jambo linanitatiza sana.
Kwa sasa ni mwanafunzi wa shahada na naingia mwaka wapili lakini kila nikirudi likizo nyumbani swala la...
Habarini ndugu zangu..!
Kizuri kula na Mwenzio, kwa maana hiyo ndio njia pekee ambayo mimi na wewe tunaweza itumia kugusa maisha ya wengi na sote tukatimiza malengo yetu kwa kasi.
MAISHA NI...
Kwa mikoa ya kibiashara especial local root za kutoka dar- arush
Mwanza-Dar
Kuna haja wa ATCL AIR TANZANIA kuongeza muda wa siku wa safari yaani root ziwe nyingi.
Naamini kutokana na ndege...
Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani.
Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda...
Naibu Waziri Kigahe Awataka Wakuu wa Mikoa Kufanya Maonesho ya Utalii
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amewataka Wakuu wa Mikoa yote ya Tanzania kuhakikisha wanafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.