Habari wakuu, nina swali;
Nimekopa hela CRDB na kufungua biashara yangu, ila kutokana na mahitaji zaidi kuna kifaa natamani kuongeza kwenye biashara yangu, kutokana na uhitaji wake wa haraka...
Yawe Makubwa Angalau kama yale ma tranka ya shule makubwa. Yawe imara/magumu. Yawe mazima sio yaliyochakaa..
Nayaonaga mara nyingi kwenye kazi za kiserikali n.k
Nishawahi kuyaona sehemu kipindi...
Habari wanajukwaa,
Dhumuni langu kubwa la kuporomosha uzi huu ni kuomba au kuwataka wale magwiji au wazoefu wa mambo ya migodini (kununua na kuuza pia na kusimamia karasha ili kuzalisha pesa kwa...
Wapenzi wangu,
Kuna rafiki yangu anataka kufungua biashara ya nguo ipi itamfaa.
Hii yakuprint tshirts na blauzi au kuletewa nguo kutoka njee na ninguo gani zitakuwa na wateja??
Habari zenu
Leo ni siku nyingine tunamshukuru Mungu kwa kuliona jua hadi sasa lakini pia kwa neema ya kuona mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa ndugu zangu waislamu lakini kwa wakristo nadhani bado...
Wakuu kwema?
Naombeni idea ya biashara ambayo ninaweza kufanya ndani ya mji wa dodoma kwa mtaji wa million 2, kodi na mahitaji mengine ipo budget ya 1m pembeni
Natanguliza shukrani
Nimefanya biashara kwa miaka kadhaa. Nimefanya na watu mbali mbali wake kwa waume, ninaowajua kwa sura na wengine kwa mawasiliano pekee. Nimefanya na wa masafa ya mbali na majirani pia.
Kati ya...
Wadau naomba kufahamu aina ya kodi ambazo fedha inayowekwa fixed deposit kwenye bank za biashara.
Faida inakatwa kwa asilimia ngapi, kodi ji zipi zinakatwa?
Please help
Nauza kontena la kuhifadhi ubaridi kwa ajili ya matumizi mbalimbali kama samaki,nyama au ndizi..lina urefu wa futi 40 gharama ni milioni 30
Napatikana kwa namba 0656652250
Wakuu wa Nchi,
Natafuta hao aina ya samaki konokono wanaitwa oysters, kwa watu walioko Tanga na Dsm, please naombeni msaada wenu kama unajua mahali wanauza hii aina ya samaki please...
Wakuu naomba mwenye uzoefu na ujuzi wa biashara ya kuuza gadgets mtandaoni anisaidie mawazo.
Kuhusu Mtaji wa kuanzia, chimbo la kupata mzigo, namna ya kupata wateja, jinsi ya kupanga bei na...
Tanzania Yazindua Kiwanda Kikubwa cha Vioo Afrika Mashariki na Kati
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) amesema uzinduzi wa kiwanda kikubwa cha vioo Afrika Mashariki na Kati...
Habari za wakati huu kwa majina naitwa joh au johanes ni muongoza watalii ndani ya hifadhi ya Serengeti ningependa kuwakaribisha wote kuja kutembelee vivutio vilivyoko ndani ya hifadhi zetu za...
Hi guys habari, naomba mwenye kujua lolote juu ya biashara ya vyombo vya plastic ivi vinavyouzwa mitaani Kwa Bei ndogo kabisa ,Kuna mtu anahitaji kufanya lakini hajui A B C D zake, yupo dar ...
We are a local tour & safari company in Tanzania well educated in Fauna,Flora and culture preservation.The company has the aim of providing the best experience a client can possibly imagine.We...
Hii ni maalumu kwa hustlers yaani vijana wapambanajj wenye ndoto zao za kufika mbali kimaisha, Kuna vitu lazima ukate minyororo ili upate utulivu wa akili katika kufanya Mipango yako....
Miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.