Night club(madisko ya usiku ya ndani) ilikuwa biashara nzuri na iliyovuma kwa muda mrefu miaka ya 90's hata miaka ya 2000, hata huko vijijini au wilayani kumbi za nyasi, mabwalo au kumbi za harusi...
Kifo ni sehemu ya kila mwanadamu, ni sherehe ya mwisho. Kutokana na ongezeko la watu kuga dunia, wanafamilia hujichanga na kupendelea sherehe ya mwisho ya mpendwa wao itafana kiasi gani.
Watu wa...
Wakazi wa Halmashauri ya Songea Vijijini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji wa makaa ya mawe ambayo inatarajia kuleta tija kwa watanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa madini hayo ndani na...
Mwenyekiti wa Global Islamic Finance Awards (GIFA), Profesa Humayon Dar (kushoto) akikabidhi tuzo ya huduma bora za zinazofuata misingi ya dini ya kiislamu ‘the Best Upcoming Islamic Banking...
Habari wadau,
Kumetokea sitofahamu hivi karibuni kati ya wakusanya madeni na waendesha minada ya CRDB BANK kitengo cha kukukusanya madeni baada ya CRDB benki kutoa kazi kwa madalali hao kisha...
NAIBU WAZIRI DKT. KIRUSWA AUTAKA MGODI WA TEMBO NICKEL KUANDAA MPANGO WA ENEO LAO
▪️Asema Rais Samia anatamani kuona utekelezaji wa mradi huo uendelee kwa kasi ili kutimiza lengo la kuanzishwa*...
Utafiti uliofanywa kwa bidhaa zisizo za vilevi pamoja na maji umeyapa maji ya Kilimanjaro tuzo ya Superbrand Afrika mashariki kutokana na ubora wake.
Maji ya Kilimanjaro huzalishwa na kampuni ya...
Jamaa kaenda duka au kibanda x kununua bidhaa kadhaa, kesho yake mke wake kaenda kibanda au duka hilo hilo kununua bidhaa kama alizonunua mume wake jana
Kwa nini muuza duka umwambie mke wa jamaa...
Mfumo wa franchise ni mfumo wa biashara ambapo mmiliki wa biashara au kampuni (inayojulikana kama "franchisor") hutoa leseni kwa mtu au kampuni nyingine (inayojulikana kama "franchisee") kuruhusu...
Habarini...
Kuna rafiki yangu anafanya kazi ya ofisini ila muda wake wa kuingia ni saa nne asubuhi... nimemshauri kuwa kabla ya kuingia ofisini anaweza akafanya kitu cha kumuingizia hela... sasa...
Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba...
Habari,
Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda
Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
Habari zenu wakuu.
Nina idea ya biashara ila nina changamoto ya mtaji, hivyo nimeshawishika kuingia bank kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba yangu.. swali ni, je?
Bank gani itakuwa option bora...
Kwa namna gani vijana wanaweza kutumia uwezo wao ipasavyo ili kutimiza ndoto/njozi/malengo yao bila kurudishwa nyuma na mazingira au changamoto katika jamii wanayoishi? Swali hili limekuwa...
Assalam alaykum,
Habari zenu wapendwa
Mimi ni mhitimu wa chuo, ni muaminifu sana kuliko UMUGHAKA uaminifu wake kwa Ally Mpemba.
Nilibahatika kupata ukarani katika Sensa ya mwaka 2022 namshukuru...
Kilimo kina msimu, hilo tunalielewa, msimu wa masika, vuli, kipupwe na hata kiangazi. Pesa hazina msimu. Ukifanya kazi kwa bidii na ukizitafuta, mwaka mzima unaweza ukawa kwenye masika ya hela...
Wapendwa samahanini kwa usumbufu, mimi ni kijana wa miaka23 nina mtaji wa 120k naombeni mnishauri biashara ya kufanya, nipo mkoa wa Pwani Kibaha Loliondo.
A lapsed donor is a donor who used to contribute to an organization but who has not donated within a specified amount of time. Usually, that time period is twelve months. However, some...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.