Habarj wakuu
Naomba niende moja kwa moja kweny mada husika.
Baada ya kufanya research yangu kwa kipindi cha miezi 2 na kugundua sasa kumbe kweli fursa ipo na inalipa.
Nimeona ni muda sasa wa...
Na. Mwandishi wetu, Dar es Salaam.
Kampuni ya Mchezo wa Kubashiri Nchini Meridianbet, imetangaza kushirikiana na Halopesa katika kampeni ya Jichukulie Maokoto na Halopesa, ushirikiano huo ukiwa...
Kwa wale wanaotaka kununua zao la KAHAWA ya Maganda, muda ni sasa. Kipimo ni Dumla Kwa Sh. 4,000/=
Dumla inatoa kilo moja mpaka kilo mmss..wm,oja na robo ikiwa Kavu. Bei ya kilo Kwa kahawa Kavu...
Mimi ni kijana mwenye miaka 25, nipo, Dar Es Salaam.
Nisiwapotezee muda, naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa;
Ninaweza fanya kazi yotote, haswa ambayo sio ya kutumia nguvu sana...
Mimi ni wakala na nina laini za uwakala za mitandao yote: Tigo, Voda, Halotel, na Airtel. Sasa, kwenye hizi laini, Airtel ndiyo wanaongoza kwa kunipa kamisheni kubwa. Hii ni kwa sababu huku kwetu...
Habari wana jukwaa. Natangaza huduma ya mtandao majumbani na maofisini kwa vifurushi nafuu kabisa. Huduma hii itaanza kuanzia mwezi wa 10 mwishoni mara tu baaada ya kukamilisha vibali vya...
Now days wafanya biashara wamekuja na mbinu mpya za kuuza bidhaa zao, wanakopesha the. Unalipa kdg kdg kwanzia pikipiki, bajaji simu nk, Sasa kwa anaejua wanapokopesha fridge au tv anipe location...
Wakuu poleni na purukushani za kujitafutia mkate wa kila siku.
Kwa mwenye kufahamu wapi nikifungua biashara tajwa hapo juu naweza kupata mzunguko mzuri?
Tafadhari share nami location nikapambane...
JUHUDI ZA RICHARD ZA KUKUZA BIASHARA NCHINI TANZANIA ZINATOA MATUNDA.
Tarehe; 12 Septemba 2023
Mahali; ARUSHA
Katika hatua ya kusisimua kwa jamii ya biashara ya Tanzania, David Richard...
Habari za wakati huu wapendwa
Naomba msaada wa haraka kuhusu usajili wa jina la biashara BRELA
Nilifanya usajilin wa jina la biashara lakini kuna baadhi ya taarifa zilipelea hivyo kutakiwa...
Tupo kwenye maandalizi ya msimu mkubwa wa zao la korosho hasa kwa wananchi wa mikoa ya kusini, ni ukweli usiopingika kuwa korosho ni zao kubwa kwa wananchi wa kusini na Tanzania kiujumla, athari...
Habari zenu wana jamvi,
Naamini kabisa wapo wanajanvi waofanya biashara ya dhahabu, wananunua na kwenda kuuza Nje ya Nchi yetu ya Tanzania.
Napenda sana kufanya hii biashara ila tatizo nikukosa...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza ushirikiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Indonesia na Balozi wa Indonesia...
Salaams wana jamvi.
Mimi ni mdau wa miaka mingi humu ila sio mara nyingi kuwa active lakini huwa napitia sana baadhi ya thread zinazohusu biashara na ujasiriamali.
Mimi naishi maeneo ya Kitunda...
Nchi hii foregners hawa wana make sana pesa asikuambie mtu, usiwachukulie poa sana hawa jamaa.
Mfano kwa Arusha nimekutana na Foreigners wana make pesa kwenye vitu ambavyo tungepwaswa sisi...
Habari mawinga wa kkoo kama title inavyojieleza hapo juu.
Nina wazo nikajisemea sio mbaya nije kula na mawinga wa koo tuone tunapataje pesa kwa machimbo ya kkoo ambayo yamekuwa yanakonga vichwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.