Tanzania, nchi iliyoko Afrika Mashariki, imekuwa ikitambuliwa kama mojawapo ya maeneo ya uwekezaji yenye fursa nyingi barani Afrika. Hii ni kutokana na rasilimali zake tajiri, mazingira mazuri ya...
Chanzo cha data hizi ni kwenye official website ya benki husika, benki nyingine hazijawekwa sababu hazijaweka taarifa za akaunti kwenye website zao.
Kama unataka kufungua akaunti mpya kwa kutumia...
Nakuja mbele yenu natafuta gari ya kufanyia kazi za tax mtandao nikiwa na account zote za kazi hii, pia ata ikipatikana gari ndogo corola n.k ikiwa kwenye hali yoyote pia nahitaji kwa kazi za...
Habari ndugu wana jamvi. Naomba kujua tofauti iliyopo baina ya open cheque na close cheque.
Ni vigezo vipi unastahili ili kulipwa open au close cheque?
Je, ni kweli fedha za Serikali hazipaswi...
Kwa wanaofahamu lengo langu nataka ninunue gunia za mchele kutoka Mbeya kuja Dar es salaam kwa ajili ya biashara.
Nataka nifahamu bei ya usafirishaji.
Na pia nifahamu sehemu nitakayopata magari...
Habari wakuu,
Leo nimewaletea mchongo wingine. Nafikiri kila mmoja anafahamu smart watch nini?
Kama haufahamu smart watch nisaa ya mkononi inayotumika kama kisaidizi cha Simu ya mkononi...
Habarini wakuu,
Natumai mnaendelea vizuri pia poleni na majukumu.
Mimi ni kijana wa miaka 22 na pia ni mwanafunzi wa chuo nikisoma kozi ya Mechanical engineering ngazi ya degree na pia naingia...
Tafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za...
Tanzania tuna Dakatari wa uchumi. Aliyejimwambafai na kutueleza kwamba mambo yote ya kiuchumi wa nchii tumwachie yeye.
Sisi na akina Luhaga Mpina tuendelee kujadili Mambo ya kiganga na kucheza...
Afrika Kishirikiana Kutatua Changamoto ya Usafirishaji Bidhaa Baina ya Nchi
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema Nchi za Afrika zimekubaliana kushirikiana katika...
Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote.
Bei 950,000/=
Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
Habari ,naomba kuuliza bei ya maharage na mchela ni sh ngap kwa debe mwezi huu wa tisa (9) mwaka 2023
Bei mchele wa Kyela na mbalali na bei ya maharage ipoje
Salaam Wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza hapo juu,baada ya mapambano makali ya kujinasua kiuchumi,hatimaye nimepanga kufika mjini Dar es Salaam hususani maeneo ya Kariakoo kwa ajili...
Kama wewe ni dalali au mtu unaeitaji kiwanja/shamba au nyumba Kibaha karibu.
Nina viwanja vingi Kibaha kwa mfipa, vilivyopimwa na ambavyo havijapimwa.
Viwanja vinaanzia million 6.5 kwa...
Yawezekana una mtaji na hujui wapi utapata frem au umeshatafuta sana frem lakini hupati Frem. Lakini sio tu Frem ila unahitaji Frem iliyo katike best location.
Huwa sinaga uchoyo katika kuinua...
Habari wanajamii, kuna hii huduma ya lipa kwa namba, mwenye ufahamu naomba anifahamishe jinsi ya kuzipata zile line za lipa hapa na mwenye nazo anafaidika nazo vipi mteja pale anapolipia...
KARIBU Mo cargo Company Limited, has the right and affordable Logistic Solutions to your Cargo be, it small or big. With our in-depth domestic experience ( East and Central Africa ) in Clearing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.