Samahan jamn naomba mnisadie ,,Nataka kufungua duka la urembo wa wanawake(cheni ,hereni,pete n.k) duka ambalo sio kubwa sana la kawaida tu samahan iv kwa haraka haraka natakiw niwe na mtaji wa...
Ukweli ni kwamba yajayo yanafurahisha watanzania tusubiri maumivu ambayo yawezekana hatujawahi kuyapata
Jana nilienda kariakoo kuchukua mzigo wa majora ya vitambaa vya shule vinaitwa ISTEM mwezi...
Zama za kuanzisha biashara na kukaa kusubiria wateja waje, zimepitwa na wakati.
Ushindani katika biashara umekuwa mkubwa sana na una hatarisha biashara nyingi zinazomilikiwa na watu ambao siyo...
Habari Wana jf
Mimi ni mtanzania niliye na shauku kubwa ya kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa duniani hasa wa kifedha , Elon Musk ndiye role model wangu. Nikifatilia story za Elon Musk ili...
Taasisi ya Kifedha ya Bayport imeeleza namna ya kukidhi vigezo vya kupata Mkopo , pia imesema kwamba hakuna haja yakusafiri muda mrefu au kuandika nyaraka kuomba Mkopo.
Afisa Uendeshaji Mkuu wa...
Habarini wakuu! Toka majuzi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi hili suala la wajasiriamali kuwa wengi nyakati hizi tofauti na miaka ya zamani let say 90's.
Kipindi cha miaka ya 90's wajasiriamali...
Wana JF,
Ninaomba mniambie, kwa watu waliowahi kuwekeza wanapata manufaa gani. Je, huu mfuko ni sawa na kununua hisa?
Je, unapataje manufaa? Mwanye uzoefu anieleze tafadhali, asante.
Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amewataka wafanyabishara, wajasiriamali na makampuni...
Moja kwa Moja kwenye mada,
Leo nawajuza List ya Majiji,Miji,Manispaa na Wilaya 50 Zenye Mzunguko Mkubwa wa Hela hapa Tanzania ambazo zinafaa kwa biashara na uwekezaji..
Kigezo kinachotumika ni...
Habari vp wanajukwaa.
Mm ni kijana naomba msaada wa ushauri kuhusu karasha la kusaga mawe na kuwa unga. Je kuwekeza katika karasha inalipa au vip na kama kwel inalipa ni jinsi gan inavyo leta...
Salaam!
Naomba anayejua kibali cha kuuza mkaa kinapatikanaje - wapi na kwa bei gani kwa muda gani (miezi 6 na mwaka). Pls help me with relevant info.
Asante!
Habarini?
Ninaomba kuifaham hii...
Kwa mahitaji yote ya security system
usisite Tupigie
0758 476 215
kwa Bei Nafuu na ubora wa hali ya juu
iwe
cctv camera
motor gates
intercom
intruder alarm
electric fences
Tracking devices bila...
Kwa mahitaji yote ya security system
usisite Tupigie
0758 476 215
kwa Bei Nafuu na ubora wa hali ya juu
iwe
cctv camera
motor gates
intercom
intruder alarm
electric fences
Tracking devices bila...
Habari Wana Jamvi,
Naomba Ushauri Kijana Mwenzenu,Mtoto Wenu Juu ya hili Jambo. Kama Kijana Daima Natafuta Njia ya Kunipatia Passive Income Huko Nikitimiza Baadhi ya Vindoto Vyangu Vidogo vidogo...
Habari!
Jamani natafuta mtu anaehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi. Ninayo leseni lakini sina mtaji natafuta mtu mwenye mtaji tufanye partnership Kama umekuwa interested
Mawasiliano.
0672650624
Mama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.
Ushauri please
Connecting with new donors is crucial to growing your nonprofit’s supporter base and ultimately raising more for your cause. New donors invigorate your nonprofit with a fresh wave of funding and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.