Salaam alaikum wajumbe.
Jamani nilikuwa na wazo la kuanzisha kilimo Cha matunda hasa miembe ya kisasa na sababu zilizopelekea ni pamoja na kwambaa baada ya miti hii kukua ni rahisi sana...
Ndugu zangu, naandika nikiwa very down yaani, na kila nikifikiria nashindwa kujua what kind of friends do I have?
Nimekuwa na marafiki kadhaa ambao kwa mtazamo wangu nimekuwa nikidhani tunafaana...
Watu wengi miongoni mwetu akili yetu tulipo ishia ni tukimaliza masomo basi swala la kwanza ni kuajiliwa ndio kitu tunacho waza na pia elimu yetu inafundishwa kwa ajili ya kuajiliwa somo la...
Habari wana Jf,
Baada ya kusota bila ajira kwa miaka 5 Sasa nimekubali Jiji la Dar siyo sehemu yangu sahihi ya kuishi na kufanikiwa, hivyo nime amua kwenda kianzisha makazi Mtwara Mjini au Lindi...
Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu.
Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai...
Habarini za Usiku ndugu Zangu poleni na Majukumu ya kazi ya wiki nzima huku tukisubiri bia za Bure kutoka kwa Konda boy
Nirudi kwenye mada, Hill Water mliingia vizuri sana kwenye soko mkapindua...
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo.
Bila kupoteza muda, naomba nizame kwenye mada.
Kwa yeyote mwenye idea juu ya uuzaji vitabu used (mitumba).
Napita mitaani naona watu wanauza vitabu used...
Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mary Masanja amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia...
Naomba masaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress nishaweka order zangu kwenye cart lakini sina uzoefu wowote wa kununua bidhaa online kwa njia hii, nimewahi kununua...
Habari mabibi na mabwana, kwa yeyote mwenye kuwa na uelewa mpana juu ya soko la hisa la Dar es Saalam naomba ashee na mm hapa kwaniaba ya wengi wanaohitaji kujua.
Ningependa kujua yafuatayo
1...
A unicorn is a privately held startup company with a valuation of over $1 billion. The term was first popularized by venture capitalist Aileen Lee in 2013. Unicorns are very rare, and there are...
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imeanza kufanyia maboresho Kanuni na Mwongozo wa Biashara ya Kaboni za mwaka 2022 ili ziweze kuwatambua na kuwanufaisha wakulima na wafugaji nchini.
Hayo...
Msaada kwa anaejua soko zuri la wanunuzi wa madini ya mawe ya white Quartz (sio yale transparent bali yale meupe kabisa rangi kama maziwa) ukiniconnect na mteja pesa yako ipo
Huu ni mwaka wa 6 sasa tangu wafanyakazi wa umma tulazimishwe kununua hisa za vodacom kwa lengo la kupata gawio kila mwaka.
Lengo lilikuwa zuri ila ni miaka mitatu hatujapata gawio. Mama Yetu...
Nina vijana kadhaa nimewaajiri kwenye biashara ya kutembeza mayai ya kuchemsha. Sasa kuna wakati biashara iko vizuri kuna wakati inayumba
Nilikuwa nataka nijaribu kujua biashara zingine za...
Kama.huamini katika limbwata na mambo hayo basi tafuta sentesi sahihi.amabayo unaweza kuitumia juu ya haya tunayotendewa na CCM.
Ukiritimba wa CCM kwa Watanzania umevuka mipaka na si wa...
TUME YA MADINI YATAKIWA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI KUPAYA TEKNOLOJIA ZENYE GHARAMA NAFUU
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amewaasa Watanzania kutumia fursa za kiuchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.