Dar es Salaam, 24 Agosti 2023: Katika juhudi za kuongeza uwezo wake wa kufanya uwezeshaji wa miradi rafiki kwa mazingira, Benki ya CRDB imepata idhini kutoka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana...
Habari zenu waungwana humu ndani, hope mko njema that y twakutana humu, ombi langu naomba wenye ujuzi ktk kilimo cha mbogambogo wanisaidie maujuzi ya kilimo cha chinese, kuanzia kuandaa shamba...
Vilabu vikubwa vya Ulaya vinamtangaza Emirates kila kukicha. Mechi inachezwa uwanjani na ukitazama yale mabango ya umeme yanayokatiza pembeni ya mstari wa uwanja huwezi kulikosa bango lenye sura...
Naomba msaada wa mbinu za kupata wateja online ukiachana na kupost FB.
Nimekua na utaratibu wa kupost matangazo yangu ya biashara online kupitia fb zile business groups na naona outputs ni ndogo...
Habari ndugu zanguni,
Ndungu zanguni naomba tuweni makini na biashara za mtandaoni watu wanalia na MTFE huku wengine wamepata stroke wamelazwa.
Kwa nini mwalimu wetu amekuwa kipofu kiasi...
Habari wakuu.
Mdau anomba mwenye kufahamu bei ya jumla TOMATO SAUCE za RED GOLD galoni za lita5 na FOIL wanauzaje na kwa Dar wapi zinapatikana kwa urahisi
Habari wana Jamii,
Naomba kupata ushuhuda kwa waliobadili akaunti za kupitishia mshahara.
1. Je, haiwezi kupelekea kukosa mshahara?
2. Je, mhusika ni HR tu au kuna ngazi nyingine ya kwenye zoezi...
Tangu TICTS waondoke, hali imekuwa si haki bandarini; Uchakavu wa mizigo, kuchelewa kuteremsha, mpaka mashine za kuhamisha makasha zinakosekana, kisa vipuri hakuna. Watu wa manunuzi wanafanya yao...
Wakuu habari za muda huu.
Kuna kampuni hivi jina niipe jina la X imefilisika, kwa hiyo ikabidi wafanyakazi wasitishiwe mikataba yao (redandacy).
Hivyo basi kwa sababu hilo suala liko kisheria...
Jumanne, Agosti 22, 2023
Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku...
Guys nahitaji kuagiza spare parts Dubai bila kwenda Dubai.
Kama kuna mtu anaweza kunipa muongozo.
Kwa Dubai.,
1. Wapi mnanunua spareparts hasa kwa gari za Kijerumani?
2. Mnatumia kampuni...
Wakuu kwema?
Naombeni ushauri mzuri na procedures za kufata ili kukamilisha website ya biashara ya utalii.
Namaanisha hatua ya kwanza mpaka ya mwisho mpaka kukamilisha website na gharama zake...
Changamoto kubwa katika jamii yetu kwa sasa ni AJIRA hasa kwa vijana, watu wamemaliza vyuo wakiwa na degree nzuri na matokeo mazuri lakini wako mitaani, hakuna ajira pia serikali yetu kila kukicha...
Dira ya Taifa ya Nishati safi ya KUPIKIA 2033 inatoa mwelekeo Wa nchi wa kuhamia katika matumizi ya Nishati safi ya KUPIKIA.
Dira hii inatokana na hitaji la kuwa na Mpango Jumuishi Wa kitaifa...
Experts wa IT, mthubutu kuanzisha freelancing websites hapa bongo ili tutengeneze character ya kufanya kazi na kulipwa kwa masaa kazi inapokamilika.
Kuna watu wana kazi ndogondogo na nyingine...
Naomba msaada kwa anahejuwa kampuni inayohusika na usafirishaji wa makaa ya mawe anijulizhe ipo wapi au nipate namba za simu.
Natanguliza shukurani kwa member wote
Ulimwengu wa sasa ni waki-digitali; chochote unachokifanya, hakikisha kina sehemu kuu 3; -
Biashara yenyewe
Blog yake
Youtube chanel yake
Ikiwa na maana; kwenye biashara utapiga hela, youtube...
Kama nilivyoahidi katika post yangu hii: Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo kuwa tutafungua mjadala kujadili vipi tunaweza kuanzisha mpango wa kukopa / kukopesha / kuwekeza bila riba.
Duniani kwa...
Wakati nilipoanza biashara nilifeli sana tena nilipoteza mamilioni ya pesa. lakini huwa sijutiki kufeli kweli, elon ananikumbusha lazima tulipe gharama ya kugundua fursa. hapo ndo na mimi nambuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.