Habari zenu, Nimechoka kusubiri mshahara wa kila mwezi nimeona nijiongeze, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya Ps nipo Mbeya.
naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe...
Jamani hii nchi Mungu tu aingilie kati!
Unaweza ukafurahi ukiwa ugenini dakika unagonga tu kibali kukanyaga Ardhi ya bongo na vimizigo vyako ulivotokanavyo kuhemea huko unakutana na ngumi za USO...
Ni kweli kwamba leseni ya biashara ya Bar hii iliisha muda wake kama mwezi na ushee hivi uliopita , lakini si kama Halmashauri ya Ilemela inavyotaka kutudanganya
Ni wazi kabisa sasa kwamba Bar...
Habari wakuu,
Umewahi kufanya biashara kisha biashara ikafa na kupata hasara? Je, uliwahi kujiuliza ni biashara imefirisika au wewe umejifirisi (umefirisi) biashara?
Mara nyingi biashara...
Habari zenu wapwa poleni na Majukumu ya Kila siku.
Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu chuo mwaka huu katika Shahada ya Uchumi na Fedha (Bachelor Degree in economics and finance) kwenye Moja ya...
Wadau ushauri wenu nimepewa connection na ndugu yangu Kuna kigoli Kariakoo. Vipi wadau Sasa Kariakoo biashara kwa sasa ikoje nataka kuingia kuuza braa, chupi, tight za wadada za kuvaa na bana...
Habari wadau poleni na majukumu ya taifa lisiloeleweka kama sio lenye jana janja nyingi na yote ni kutokana na watanzania wengi kutokujali.
Tuachane na hayo niliwai kusoma uzi mmoja huku jamii...
Habari wakuu, Natumai kila mmoja yuko njema kwenye majukumu yake.
Leo nimeona niwasogezee wanajf hii fursa ambayo inatokana na kasi ya maendeleo ya sayansi na teknolojia na si nyingine ni hii...
VIjana wengi wamekua na tamaa ya kutajirika haraka na kujikuta wanaingia kwenye Ponzi Scheme na kupoteza pesa za Ada na za Matumizi wanazolipiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu na wazazi wao...
Club House na Space ni social media rooms zinazoruhusu majadiliiano ya wazi. Hivi karibuni zimetumika sana na wana siasa kuongelea hali ya siasa za Tanzania. Faida mojawapo ya social media ni...
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, nina mtaji wa laki 2. Nahitaji kuanza biashara ya kuku wa kienyeji kutoa mikoa ya karibu kama Morogoro na Tanga. Ni sehemu gani naweza pata kwa bei nafuu?
Nini...
Habarini za saa hizi wadau.
Mimi ni mgeni kwenye swala la forex sasa katika kujifunza nimeona kitu muhimu n kujua market structure (analysis) ambayo itaniwezesha kujua soko linatarajia kufanya...
Habari zenu wakuu.
Mimi ni kijana ninayetaka kujiajiri mwenyewe kwenye fani hii ya uchomeleaji/welding lakini sina uzoefu ama experience na kazi hii.
Nimekuja hapa mbele yenu kuomba ushauri wenu...
Msaada wa mawazo Niko na laki nne nataka kufanya biashara ya kufungua duka la cosmet. Je, naweza kufungua? Kam haiwezekani ni biashara gani naeza kufanya kwa huo mtajiii ...........?
Nipo Mwanza
Habarini waungwana. Leo nimekubali kuwa Mchina siyo mtu.
Jamaa yangu kanunua Apple Airpods Pro 2gen (ambayo ni premium copy) kwa tshs 90,000/=, aise, ina sound quality ya hatari hadi nimejuta...
Wakuu,
Habari za Jumapili, wale wenzangu YESU KRISTO ASIFIWE. Namshukuru Mungu ni Jumapili ya Baraka kwa wakazi wa Dar tangu Jana Jion hadi mida hii Mvua ni non-stop, Polen nyote mlioathiriwa na...
Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka thamani dhidi ya Dola
Watanzania sasa wanalazimika kuingia zaidi mifukoni mwao ili kulipia zaidi katika uagizaji wa bidhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.