Kwa wale ambao wana trade forex karibuni tujadili pamoja pair za kutrade, kushare signals, kufanya analysis na kujadili kuhusu take profit and stop loss.
Wazee wenzangu karibuni sana tu share...
Wakuu naomba kuuliza nimepokea pesa kimakosa bila ya Mimi kuikagua je?hii benki wataikubali ?maana Kuna mtu kaniambia sitobadilishiwa kutokana na kwamba hakuna zile namba nyekundu.
Habari za Leo wanaJF,
Nilitamani kuanzisha duka la simu, kwenye utafiti wangu, Kuna watu wakaniambia ninaweza kuuza cash na kuuza kwa mkopo.
Sasa hii biashara ya kuuza simu kwa mkopo...
Habari zenu,
Nilikuw napenda kuwa wakala wa sukari au mafuta kutoka kiwandani.
Yaani kuwa mfanyabiashara yoyote mwenye abc za kuwa uwakal wa bidhaa hizo na mtaji wa kuanzia.
Kabla sijazungumzia kuhusu nidhamu na motisha ( discipline and motivation) Nianze Kwa kutoa mfano, Hapo zamani kidogo nilipokuwa nasoma sekondari nilikuwa napenda Sana kuangalia filamu za akina...
WADAU Salamu sana kwenu.
Awali nilifanya biashara kama proprietor na Kwa kuwa nilizihudumia taasisi za serikali basi nililazimika kununua EFD machine.
Changamoto ni kwamba unaweza ku supply...
Kilimo kina madoni
Uchimbaji madini una madoni
Vitenge kuna madoni
Car wash zina madoni
Bar zina madoni,
samaki zina madoni
restaurant zina madoni
hii ni mifano kwamba pana uwezekano (sio...
Waungwana nataka kufungua biashara hii maeneo kama Tabata au Goba naomba msaada wa mawazo mtaji mdogo kiasi gani naweza kuanza nao na being za fremu maeneo hayo.
Wenye uzoefu naomba msaada went...
Natafuta mtu anaeweza kuandika "Business plan/Andiko la mradi" kwajili ya kupata mkopo wa trekta benki.
Mwenye samples au mwenye ujuzi plse check me on +255717217520
Wadau wafanyabiashara leo nilikuwa Ofisi za TRA mkoa flani kwaajili ya kufunga biashara kutokana na kodi kuwa kubwa na gharama za uendeshaji kuwa kubwa nilijaribu kuongea nao naona wako mbali na...
Habari ndugu zangu,
Ndoto yangu ni kumiliki hii mashine na kufungua kiwanda changu kidogo cha kukaushia dagaa kanda ya ziwa.
Nimeangalia ina kost $3,000 tu jumlisha na shipping cost kama $2,000...
Inaelezwa kila mtu anazaliwa tajiri lakini pia masikini. Utajiri au umasikini wake unategemea na mazingira anayokulia, lakini inategemea zaidi na yeye mwenyewe. Wapo matajiri wengi duniani...
NAIBU WAZIRI KIGAHE - TAASISI ZA UMMA ENDELEENI KUTOA HUDUMA KWA WELEDI NA UADILIFU ILI KUTIMIZA MALENGO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza mwenye uelewa kuhusu hizi private cars (Uber, Bolt etc) unaweza kuwa unaingiza kiasi gani kwa siku faida na hasara zake anisaidie au kama kuna dereva ana uzoefu na...
Habari wanandugu,
Nimependa kuwashilikisha jambo, najua nitaweza kupata mawazo mazuri kutoka kwenu na ushahuri pia. Ni njia gani nzuri ambayo unatumia kuweka akiba juu ya kipato chako.
Najua...
Wakuu habari,
Mtaji wa kuuza accessories za simu kama vile.
Earphones, Battery, Cover, Screen protector na Charger.
Unahitaji mtaji wa shingapi yaani kianzio
Why watu flani huharibu pesa kwa makusudi? Nlikutana na hili jambo pia mwaka jana nlienda Mtwara kwenye Mgahawa mmoja karibia kila change waliyotaka kunipa ya note imechanwa pembeni. Nlikataa...
Je, unahitaji mtaalamu wa kusimamia mitandao yako ya kijamii na tovuti? (Social media manager)
Pata ongezeko la wateja, brand awareness, kuza biashara zako na mtaalamu wa mitandao ya kijamii na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.