Tusipotezeane muda niingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nilikuwa nanunua LUKU nikawa nimekosea namba moja nikawa nimenunua kwa mita namba nyingine.
Nimepiga simu nirejeshewe fedha...
Directory ni Sehemu ambayo inaorodhesha majina ya biashara mbalimbali za eneo husika.
Mara nyingi hizi Directory za biashara huonesha Sehemu biashara yako ipo, namba za Simu na tovuti yako...
Wakuu hivi inaruhusiwa kuuza seashells nje ya nchi?
Kuna mtu kanipa deal ya kumtumia seashells kila mwezi, seashells 100-400.
Ila wasiwasi wangu upo kwenye utumaji,naona hiyo idadi ni kubwa...
1. Ndugu zangu naomba kufafanuliwa mchanganuo wa gharama za kununua mashine ya kusaga unga wa mahindi na machine ya kukoboa na Ni ,a,bo gani ya msingi ya kuzingatia katika ununuzi wa mashine hizo...
Mshahara wangu
Take home ni laki nane kwa sababu nina mkopo NMB ambao bado saa uishe ulikuwa na miaka 6
Hapo hapo nina biashara ya duka la hardware napata mia mbili mbili ,na vyumba viwili vya...
Habari wanajamii, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida.
Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au...
Je, unatafuta muuzaji wa water pump Tanzania? National commercial Directory ndio mahali pa kwenda! Tuna orodha kamili ya wauzaji na wasambazaji wa water pump nchini Tanzania. Unaweza kuchuja...
Natafuta hela na zinapotea kwa mkupuo mkupuo ivi nitaendelea kweli najitahidi sana kufanya mahesabu sahihi ila nachoshangaa nikiwa sina pesa nakuwa na amani Wala hakuna anayeniomba.
Lakini...
Bismillah...
Nimeanza biashara ya kiepe yai. Chipsi zege Dar es Salaam ila nachoomba kutoka kwa wadau wazoefu ni namna gani naweza kuongeza return per day kwa maana hapa gharama za mafuta ni...
Wadau,
Katika kupambana na 45 Million sasa kuna benk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum. Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi...
je haki imeshatengeka? na sheria za madini je?
Dhahabu ya damu' ya Bulyanhulu
haki itendeke kwa damu iliyomwagika
MIAKA 15 imepita, lakini sauti za wachimbaji wadogo wa dhahabu waliouawa kwa...
Should the nonprofit attempt to target all potential charity donors with its fundraising, or should it focus on specific groups of donors, particular types of people, particular types of...
Wanajamvi zipo changamoto nyingi kuhusiana na mikopo inayotolewa kupitia Application za simu kama Umoja Loan, Premium, Branch na wengineo ikiwemo mteja kubambikiziwa riba kubwa sana zaidi ya...
Habari za jioni wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.
Jamani sikia, omba yasikukute. Baada ya kupigika na kupoteza mtaji wangu wote kwenye uchimbaji nilikuwa najishughulisha na uchimbaji madini...
HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje. Connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwasababu...
MBUNGE MAHAWANGA AZINDUA KIWANDA CHA USHONAJI KATA YA WAZO
Mbunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Janeth Elias Mahawanga ameungana na mamia ya Wanawake wa Tawi la Kisanga Kata ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.