Habari zenu wotee ?
Mwaongwera
Mlimola
Mwareli
Mgonile
Kamwene
Nzeze
Oyo aore
Mwarae
Sawubona
Unjani
Moni
Mimi Sijambo.
Kwa Muda wa miaka kumi na Zaidi nimekua nikijishughulisha na shughuli za...
Hivi karibuni kumekuwa na uhaba wa sarafu ya Dollar Duniani, kitu ambacho kimepeleka pia sarafu za nchi nyingi barani Afrika kuyumba, na vitu kupanda bei bila mpangilio.
Kwa sababu mimi pia ni...
Misitu ni eneo la ardhi lilifunukwa na miti. Misitu inatumika kwaajili ya makazi,nishati, chakula, dawa na vipodozi. kwa ujumla misitu inasaidia katika kupunguza, mmonyoko na kutunza na...
Habarini wakuu,
Kama kuna mtu ana uelewa na hichi kitu nitaomba msaada.
Nahitaji ku register kampuni au biashara. Ila kuna mara ya mwisho nilisajili biashara nilivooenda TRA kwa ajili ya TIN ya...
Habari Wana biashara. Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza, naomba msaada wa kujua hii biashara kwa undani. faida zake hasara zake upatikanaji wa Mali ghafi nk.
Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameridhishwa na Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Wakala wa Vipimo...
Naibu Waziri Kigahe Azitaka Taasisi za Wizara Yake Kupanga Mipango Inayotekelezeka
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ameiagiza Menejimenti ya Wizara na Taasisi zake...
Habari wakuu. Nimemaliza chuo nimesoma microbiology degree. Kwan sasa nipo mtaani napambana na maisha.
Nimekuja na wazo hapa la mikopo mnishauri mnalionaje. Nikiwa chuoni nimeona wanafunzi wengi...
habari wakuu, nina duka langu nimenunua kutoka kwa mtu, huyo mtu aliniuzia kwa kuwa yeye, alishindwa kuliendesha kwa kuwa mauzo yote aliyokuwa anapata alikuwa anatumia kwenye ujenzi wa nyumba yake...
Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la serikali ya muungano Tanzania. Nipo kwenye mjadala mzito na mke wangu kuhusu hii mifuko ya UTT.
Tumepata pesakiasi Fulani baada ya KULIPWA fidia na Sasa...
Wasalaam
Nianze kwa kuwapongeza benki ya KCB kupitia KCB FOUNDATION kuanzisha program ya jiajiri ikiwa na lengo la kumpa ujuzi kijana ambaye hana ajira aweze kujiajiri na kujikwamua kiuchumi...
Tarehe 25 Agosti 2023: Baada ya Benki ya CRDB kufungua tawi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa amewakaribisha wawekezaji kutoka ndani na nje ya Tanzania kuja kuwekeza kwenye fursa...
Habari zenu wakuu,
Nipo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma nahitaji kufanya biashara ya kuuza mayai jumla na rejareja Kuhusu masoko yapo ila changamoto ni wapi nitapata mzigo kwa bei ya chini kidogo...
Tafadhali naomba msaada wenu wa Mawazo wadau,
Ni biashara gani yeyote ya mitaji ya chini ninaweza kufanya ikanipatia faida kuanzia 10k kwa siku?
Kwa Mazingira ya Dar Es Salaam
Habarini wana jamvi,nimekuja kwenu naomba kujua iko hivi
Mimi nina wadogo zangu wa kike wawili na ni mjasiriamali nataka kuwaokoa kwenye ishu ya kuhangaika na ajira nataka niwashilikishe kwenye...
Katika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST...
Wadau kwema?
Ninafikiria kuanzisha biashara ya kucheza mchezo wa Paintball Guns, naomba kufahamishwa wapi naweza kuzinunua
pamoja na utaratibu wa kuzimiliki. Asante
Kama upo Arusha na una wazo la biashara kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) ila huna mtaji niandikie meseji inayoelezea wazo lako kisha tuma kwenda namba 0768174862. Nitatoa mitaji kwa mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.