Nawaza Hapa,
1. Hivi mwanaume unapata wapi ujasili kucheza kikoba Kama wanawake? Lengo lako Ni Nini hasa? Unajiskiaje kwa mfano.
2. Tena wengine utashangaa kabisa, anakuaga hadharani mwanaume...
Kuna mtu limekuja office leo linadai limetumwa sijui na mkurugenzi uko serikalini kuchukua record za watu na biashara zao to do God knows what? Jamani hawa watu sijui TRA, Serikali wananichefua...
Naombeni msaada namna ya kuwapata ABC bank makao makuu kwa sababu nahisi nimeshatapeliwa na hawa vijana wao Wa huku wilayani nimeomba mkopo mda na makato yao yanafanyika Ila pesa niliyoomba hawajatoa
Unguja. Tarehe 10 Septemba 2023: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuanzisha huduma za kibenki zinazofuata...
"Appeal Letters" ni barua ambayo huandaliwa na Taasisi kwenda kwa mfadhili (supporter) kwa ajili ya uombaji wa ufadhili. Barua hii, ni nyenzo muhimu ya mawasiliano baina ya Taasisi na Mfadhili...
MBUNGE AISHA ULENGE KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MANUNUZI YA UMMA NA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE BOMBA LA MAFUTA
Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Aisha N. Ulenge ameshiriki...
Habari zenu mm kijan mwenyew miak 24 nimemaliz chuo nimekusanya pesa yangu ya boom nimepata 1.8m naomba wazo biashara ambalo nitakuw nauwez kuigiza al least ellf 30 kwa siku nip dar
Kunyanyuka kwako kunakuja kwa kuwanyanyua wengine, usipambane sana kutoka wewe mwenyewe kwenye mzunguko wako, utarudishwa nyuma sana na kulalamikia sana wengine kwa sababu utaona wanafanyika mzigo...
Habari!
Wenzangu mawakala mpoo? Imagine unafunga hesabu alafu unakuta 150000 hakuna[emoji2300] na hakuna muamala ulizidisha kila kitu kilikua perfect kabisa lakini leo nafunga hesabu 150k hakuna...
Hi everyone,
Naitwa Princess niko Mwanza-Nyegezi.
Nilikuwa naomba kuuliza biashara gani naweza kuifanya hapa ndani ya mkoa wa Mwanza.
Mtaji ni 2million
Msaada tafadhali
Hello wapendwa..kuna mtu kasajili kila kitu akapata vibali vyote lakini hajui afanye biashara gani..
Yaan yeye alicho fanya nikupambana kusajili bila kujali anacho kieleza kule, kwake alikuwa ana...
I have two houses in a compound with one big house and a guest wing ambayo naifanya hostel na ni fully furnished.....Napangisha.
Iko opposite na LANDMARK HOTEL na DELTA APARTMENTS
Main house 3/4...
Serikali kuendelea kuhamasisha uwekezaji na uendelezaji wa viwanda Nchini-Mhe.Kigahe.
Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe amesema kuwa Serikali inaendelea na juhudi za...
Habari ya wakati huu wapendwa ningependa niwashilikishe hili wazo la biashara ya kufuga kuku wa nyama (broiler)
Kuanza na vifaranga 2000
2000@1900 3,800,000
Mabanda inategemea na sehemu ulipo...
"Asante sana Mheshimiwa Spika kwa kupata fursa ya kuchangia hoja ya Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023" - Mhe. Zainab Athuman Katimba, Mbunge wa Viti Maalum
"Ni dhahiri asilimia...
Makampuni ya simu ya VODACOM na AIRTEL yameonekana kufanya vizuri kwa simu za nje ya nchi , yaan international incomming calls na out going calls , TIGO inafuatia pia kwa karibu , huenda VODACOM...
Nataka kuanza hii biashara ya kuuza simu za jumla. Hasa ndogo ndogo. Tafadhali Mwenye kujua abc zake anisaidie.
Mwenye contact aliwahi kufanya. Ama anayefanya hii biashara. Minimum unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.