Wasalaam wadau,
Naomba kufahamishwa chimbo la vitu nilivyoelekezwa hapo juu na mtaji wa kuanzia ikiwezekana.
Nahitaji kufungua duka huku DODOMA Ili angalau kamkono kaende kinywan maana changamoto...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi kuhakikisha bidhaa hizo zinakaguliwa ili kulinda afya za Watanzania, na wenye Viwanda...
Habari wadau
Kama wiki hizi tatu nilkuwa nafatilia biashara ambazo ni profitable business outside of our country, nimegundua biashara ya mkaa ni biashara ambayo inweza kuleta billions of money...
PROF. SOSPETER MUHONGO - TANZANIA IWE NA VYANZO VINGI VYA UMEME KUFIKIA MEGAWATI 10,000 ILI KUKUZA UCHUMI NA PATO LA WATANZNAIA
Mbunge wa Musoma Mjini (CCM), Mhe. Profesa Sospiter Muhongo...
Kama una mtaji wa kuanzia laki 7+ na unahitaji kupata faida kuanzia laki 3+ per month njoo inbox tuongee biashara ya nguo za mtumba nitakuelezea ukikubali tutafanya
Habari wakuu naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya bulks SMS. Nataka nijiunga na huduma hiyo. so natka kufahamu vigezo, Company nzuri zinazofanya pamoja na gharama zake. nitashukuru
HESHIMA KWENU WAKUU
Nimekaa nikiwaza sana kuhusu biashara ya mazao haya mawili. Sasa naomba mwenye kufahamu uendeshaji wa biashara ya kununua na kuuza haya mazao mawili (kahawa na parachichi)...
Mimi nimefanikiwa kujenga nyumba ya kupangisha eneo la chuo cha mipango Dodoma, ina vyumba kumi na tayari watu wanaishii.
Nina shida ya mkopo mil 20 kwa ajili ya kuchimba kisima na kujenga uzio...
Habari ya uzima wana jamii forum
Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie na series HD/4K ipoje na imekaaje soko lake kwa sasa.
1. Mahitaji kiujumla
2. Faida na...
Habarini WanaJamii nilikuwa naomba kupata kujua bei ya tambi za kupima hapa Dar es salaam.
Na je zile za pakti za dukan nazo ni bei gani.
Asanten sana in advance
Habari wakuu, ni week sasa nipo chunya makongolosi kuchungulia fursa.
Kipindi natoka mbeya kuja huku nilipanda gari moja na mdada mmoja tulikaa seat za upande mmoja nikaanza kumdadisi anafanya...
Habari wanajamvi,
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Kutokana na changamoto mbalimbali haswa za kifamilia na binafsi, ninafunga office yangu ya spea za Pikipiki iliyopo Dodoma mjini maeneo ya...
Biashara ni kutatua changamoto za watu.
Watu waliopo nje ya Dar es Salaam hupata shida kufuata bidhaa Kariakoo Dsm. Imagine mtu anafunga safari toka Songea au Kigoma, Mwanza, etc. mpaka Dar es...
Habari wa ndugu,
Napenda ulizia ni biashara ipi inaweza stawi na kukua kwa mtaji wa kiasi cha shillingi laki 7, biashara yenyewe au ujasiliamali wenyewe uwe ni mkoa wa kilimanjaro.
Maana...
*HEBU TUONGEE KIBIASHARA SASA:*
Ukipata nafasi ya kufika kule *Mbozi Mbeya*, ukakutana na habari za watu wanaotajirika kutokana na *kilimo cha kahawa*, kwa kweli unaweza kuhweuka, na kujiona kama...
Wakuu habari na poleni na majukumu,nisiwachoshe napenda kufahamu hii biashara kwenye vipengele
1.upatikanaji wake
2. Soko lake
3. Bei yake
4. Changamoto zake.
Nashukuru.
Shangoo wa kulyamba.
Habari wakuu. Hapa nimepambana since asubuhi hadi sasa kijasho kinanitoka, kuna mfumo mpya umetambulishwa na Tamisemi kwa wale wanaohitaji lesseni za biashara unaingia hapa.
Tausi.tamisemi.go.tz...
Wakuu habari za kazi. Nina juice dispenser ya mitungi mitatu, lakini ilitengenezwa maalumu kwa kutumia umeme. Nataka kwenda kuitumia mahali ambapo hakuna umeme, ndipo nikawa najiuliza je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.