Naombeni ushauri mzuri Gharama nyepesi za kurekebisha Chumba cha kawaida cha futi 10 kwa 10 yn furniture pamoja na kabati za kuwekea madawa.
Pia Meza kubwa ya kioo milango ya kioo na Gharama...
Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imepanga kujenga matenki ya kuhifadhi mafuta (Farm Tanks) yenye uwezo wa kuhifadhi tani 360,000 kwa wakati mmoja ili kufanya Meli...
Nazani kwasasa jamaa upande wa kuhakikisha kila mtanzania anamiliki smartphones kwa Bei rahisi unaupiga mwingi..
Baada ya kuona machawa wengi wa mjini wanamsifia ikabidi na mimi nizame china...
Natumaini muwazima sana wa afya na poleni na majukumu ya kila siku
Nilikuwa naomba ushauri kuhusu biashara ya car wash
Sijawai kuifanya naombeni muongoza niweze kuindesha.ndugu zangu maana...
Habari wanaJF,
Natafuta simu za batani kwa ajili ya mteja mkoani. Naomba connection
1. Endapo wewe ni muuzaji, tuwasiliane. Nipe namba yako na duka liliko, ntakutafuta. Uwe na whatsapp ili...
Salamu wandugu,
Naomba kuuliza hawa Mkopa ni wa kweli au kama waongo tu wanasema wanafanya biashara ya kukopesha bidhaa basi wakanilainisha nikakubaliana nao lakini naona kama wana dalili ya...
NAIBU WAZIRI KIGAHE AFANYA ZIARA CHUO CHA CBE & TRIDO
Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la Metrology Annex unaoendelea...
Habari zenu humu ndani?
si muandishi mzuri sana wa nyuzi humu jf ila leo nimejisikia kushare kitu kidogo na nyinyi juu ya biashara, nikiamini kwamba naweza kubadili fikira za baadhi ya vijana na...
Upungufu wa dola ya Marekani katika maeneo mbalimbali unaanzisha mnyukano wa sarafu ya akiba kati ya dola na yuan. Pesa ya Yuan ya China ambayo ilikuwa inafanya kazi katika soko la biashara kati...
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Jamhuri ya Tanzania,
Nimekua nikifatilia threads mbalimbali za biashara humu, Wengi naona wanasema ili kuingiza faida kubwa Kwa siku basi ni lazima Uwe na Mtaji...
Habari wakuu,
Ninaamini hapa ni home of Great Thinkers kwelikweli, watu wenye mawazo mazuri sana kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea katk jamii. Kwa sababu hiyo, ninaomba mawazo yenu kuhusu...
Habari zenu wapambanaji,
Naomba kujuzwa bidhaa ambazo inaweza toa faida ghafi ya laki moja au zaidi kwa pc na huku mimi nikiinunua pamoja na usafirishaji niwe nimetumia laki moja au pungufu ya...
WAKATI MAONYESHO YA 7-7 YAKIENDELEA UWANJA WA MWL. NYERERE KILWA ROAD NAJIULIZA HIVI IWEJE TANTRADE WAWEKE VIINGILIO KWA ANAEINGIA HUMO UWANJANI?
WAKATI HAKUNA HUDUMA YOYOTE (mfano vyoo, maji...
Asalaam wakuu.
KUfupisha uzi.
Kwasasa kuna mahali nafanya kazi nalipwa laki 5, ila kazi inanichukulia muda mwingi sana. Ingawa nakula bure , na nalala bure(vyote nimepewa na ofisi yangu).
Umri...
Miaka ya nyuma kidogo tulikuwa tunasikia shuhuda za watu waliofanikiwa kimaisha kuna matajiri walianza kufanya biashara za ajabu ukimuona sasa huwezi kuamin
Wapo walioanza biashara kuuza karanga...
Ndugu wana board
Mimi ni Mwalimu lakini mbali ya ualimu pia nafanya biashara ndogondogo na hasahasa kuuza vitu vya kike, kiukweli hela ninayo lipwa kwa mwezi, huku biasharani naipata baada ya two...
Kwa Nini mchele unaotoka kyela mkoani mbeya una bei kubwa na soko Sana hapa dar
Kuna tofauti gani Kati ya mchele wa kyela na mbalali???
Na mchele you in soko Sana hapa dar Kati ya mchele wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.