Wadau, wenye fedha mwaweza kununua hisa kwa hii kampuni ya kuchimba mafuta Tanzania. Kumbe kuna dalili njema za kuweza kuanza kuvuna mafuta?
Registered and Principal Office
Level 7 , 283 George...
Wakuu mi naomba kujuzwa maana nilishitukiwa tu kuona kwenye tv ufunguzi wa mauzo ya hisa pale DSE.
Utaratibu wa kununua hisa ukoje kwa tuliochelewa?
Asante.
wakuu habari ya wakati huu.
naomba kwa yeyote mwenye uzoefu au elimu kuhusu utengenezaji wa sabuni ya mche anidadavulie hapa.
pia je, Ajira hii inafaida kiasi gani . inalipa au malighafi zake...
Hello habari wana jamvi, mimi ni mkazi wa dar-es-salaam.
Nahitaji msaada wa kupata location za vyombo vya ndani vya mtumba kwa bei nafuu.
natanguliza shukrani zangu kwenu. Asante!
........... (Salamu)
Wakuu kwa wale wafanyabiashara au wale wenye elimu ya biashara , nina biashara yangu moja naifanya, sasa kwa sasa nataka nifungue branch nyingine ya pili mtaa mwingine, (nipo...
Naomba wenye uzoefu nayo hii Biashara(Ya Kuuza Nguzo za Umeme za Miti) tushee ideas mbali mbali kuhusu uendeshaji wake na dondoo mbali mbali za hii biashara.
Habari
Naomba ushauri juu ya biashara ya nguo za watoto pamoja na mazaga zaga yanayo husu watoto
Nina 5 Milioni, io n pesa ya kununua mzigo tu, namaanisha mbali na kodi ya chumba
Je kwa uzoefu wa...
Kuna Tabia za kila namna huku duniani.Kuna tabia za watu maskini,kuna tabia za matajiri na aina nyingine nyingi za makundi ya kitabia.Kabla ya kuanza kuelezea kuhusu tabia za watu wanaotafuta...
Hello wanajamvi
Mimi nikijana wa miaka 23 nimetokea Songea baada ya kumaliza chuo mwaka huu nikaona bora nijiajiri
Mimi mwenyewe kutokana na saving niliyopata kwenye boom
Natatanguliza...
Natafuta Msimamiz wa apartment Iliyopo Arusha Sakina. Mwenye uwezo wa kufanya majukumu yafuatayo.
*Kupokea wageni na kuhakikisha wanapata huduma zote zinazo tolewa kwenye apartment yetu kwa muda...
Wapenda wana Jamii Forums, je naweza nikapata shirika litakaloniwezesha kuanzisha mradi wa kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kwa ajili ya kupunguza tatizo la watoto kutembea umbali mrefu kwa...
Natumaini wote tu buheri wa afya, na kwa wale wenye changamoto basi Mwenyezi Mungu awape wepesi warudi kwenye afya njema.
Ninafikiria kuwekeza kweye madini ya dhahabu yaani niwe nanunua kuwekeza...
Naibu Waziri Kigahe: Tanzania ni Salama Kwa Ufanyaji Biashara na Uwekezaji Afrika
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb. Ametoa wito kwa wawekezaji na wafanyabiashara kutoka...
Mchanganuo wa biashara ni hatua muhimu katika mchakato wa kuanzisha au kuendeleza biashara. Inahusisha uchambuzi wa kina wa mambo mbalimbali yanayohusiana na biashara yako, na inaweza kusaidia...
Naombeni msaada hivi ukiagiza bidhaa online mfano pieces 50,000 za urine container kutoka Alibaba zenye thamani mfano sh. 2500000 ushuru wake hapa bongo unaweza fika shilingi ngapi
Salam wadau
Ni takribani wiki mbili sasa nimeshindwa ku-clear invoice ya kununua gari kutoka Japan kutokana na ukosefu wa Dola sokoni. Nimewekwa kwenye lisit ya kusubilia, hila kila nikienda bank...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.