Hello guys,
Nimefanikiwa kufungua Kampuni na kuagiza mzigo wa zaidi ya Mil80.
Changamoto iliyopo ni Demand ni kubwa kuliko supply, Naitaji watu kwa kuwauzia hisa za kampuni.
Kampuni...
Wakuu habari,
Katika namna ya kuendelea kujitafuta nimekutana na wazo la kufanya biashara ya vifaa vya umeme vya majumbani kama bulbus, wire, main switches, zile pipe za kupitishia nyaya na...
Hellooo!!! Wanajukwaa.
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
Ningependa kuwasilisha maada isemayo
Je? Ni yapi matumizi sahihi ya MIKOPO, na je unaweza kutumiaje pesa za watu wengine "OPM"...
Wakuu habari za siku nyingi,
Leo ninakuja na andiko kuhusu namna kilimo cha mbogamboga kinavyowanufaisha wakazi wa wilaya ya Lushoto na halmashauri zake.
Wilaya ya Lushoto inapatikana katika...
Watu wengi huwa wanapenda kuwa na kurasa za mitandao ya kijamii kwa ajili ya biashara zao kama vile,FB,twitter,Whatsap n.k. Wengine hujiongeza na kuwa na blogs,na hata kuwa na website kabisa.Hii...
LEO tarehe 04/10
Mliowai fukuzwa kazi hii inakuaje? sikua na savings, sikujiandaa!! Nasomesha na mke !!
Aisee nilipo hapa nacheka na kulia kwa wakat mmoja!!
Ulishawai pitia hii hali...
Kwann tanzania hatuna direction kwene miji yetu !! Yote inajiendea tu zig zaga no plan no ambition.
Hatuna mji hata mmoja ambao n smart city wala hakuna mpango!!! kama unajua mpango upo tuambie...
Wafanyabiashara tunawekewa vizuizi vingi sana, TBS yani mpaka madukani, haya hiyo hella ikishalipwa ndo inaenda wapi???
150000 kila duka Tanzania na Tanzania maduka ni kama 1,000,000 maana yake...
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Dkt Ally Laay (wa pili kushoto) akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) wakionyesha mkataba wa mkopo wa dola za Marekani...
Habari wadau,
Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani.
Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii...
Habari wakuu,
Kwa wale wapambanaji wenye interest na biashara ya dagaa tunaweza kufanya biashara mimi sasa nipo kisiwa cha GOZIBA bei ya dagaa kwa sasa kwa gunia la dumu kumi ni 180000 mpaka...
Hello wapendwa natafuta mtu wa kunisaidia marketing niko Dar es salaam nina kampuni tumesajiliwa na tunatoa receipt za EFD tunadeal na general supplies sema kwa sasa tunasupply...
Kabla hatujaenda kwenye maada ngoja tumsaidie maana ya e-commerce kwa asiefahamu:
(In a layman way) e-commerce ni uuzaji/ununuaji wa bidhaa au huduma kwenye mtandao mahala popote.
Mfano: Umekaa...
Habari wana jukwaa.
[emoji117]Kuna kitu kimekuja akilini mwangu, na kinaniambia endapo vijana watakitilia maanani, basi uwezekano wa wao kupata mafanikio ni mkubwa.
[emoji116]
1. Kujenga urafiki...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imepokea na kujadili taarifa ya hatua zilizofikiwa za utekelezaji wa maelekezo ya Spika wa Bunge kuhusu Malalamiko ya wakulima juu...
Wakuu nipo katika hiyo dillema. Kusema kweli Mimi ni business oriented man.
I judge everything in terms of money, not how it makes my ego feel. Sasa Wizara ya Afya imenipangia Chato as Medical...
Habari za wakati huu Wana JF,
Bila kupoteza muda twende kwenye mada moja kwa moja. Nilikopa bank ya STANBIC mwaka huu kupitia salary slip.
Na mshahara wa mwezi uliopita deni lao halikuonekana...
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amewaagiza wataalam wa uthibitisho wa ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), TMDA na SIDO kuwaelimisha wajasiriamali namna ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.