"Namshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko ambaye baada ya kuteuliwa alifika Ngara na kuzindua miradi ya Umeme kwenye Vijiji vya Ntanga na Katulanzuri...
Hizi hatua za kenya za kupunguza bei tunapaswa kuzitizama upya lama hazikiuki east africa protocals, na kama wanashusha bei nasie tushushe nao sambamba...
Hello guys,
I have a building (6 storeys) in the heart of Arusha city near Mount Meru Hospital and Arusha International Conference Centre that needs a partner/investor to cooperate with.
The...
Nashangaa kuona bado hizi fikra za kale zinaendelea "kila mtu ajitafutie cha kwake", mtoto wa mfanyabiashara anafika miaka 23 hana utofauti na watoto wa mwalimu, yani hajui kitu kuhusu biashara...
Nahitaji kuwekeza katika kufunga mifumo ya matumizi ya gas katika magari, na kua na kituo cha gas refueling. Mtaji ninao ila sijui hata pa kuanzia. Naombeni mtiririko mzima.
Rais SSH anasema mgawo wa umeme unaoendelea hivi sasa JMT hautokani na hali ya hewa (ukame) bali ukarabati wa mitambo na miundombinu ya usambazaji, inabidi mitambo mingine izimwe isifue umeme ili...
Kwanza kabisa fanya research ya Location especially kwenye maeneo yananayo kuwa kwa kasi hasa ya makazi na viwanda yenye miundombinu rafiki kwa aina ya bishara husika.
Ni vyema ukipata eneo...
Wanabodi,
Nini kimetokea hadi kufanya beer aina ya windhok na Heinken kupotea sokoni?
Nimepita maeneo tofaut tofauti, wanalalamika beer hakuna! Hii inapelekea bei yake kuwa juu tofauti na...
Yaani biashara ni rahisi sana kwa kuongea na kwenye maandishi, wakuta mtu ananunua na kuuza na kupata faida kwa muda maalum kabisa kwa maneno yaani utazani ni one way hadi kufanikiwa.
Nawasihi...
Habari za mchana wakuu?
Moja kwa moja kwenye mada, hizi ni taarifa fupi nilizopata mpaka sasa kuhusu biashara ya mchele toka Kyela eneo la Kasumulu ndipo utaponunuliwa.
Mosi, plastick la debe...
Wakuu habari,
Natumai kuna wajuzi na wenye uzoefu na mji wa kahama kwenye eneo la ujasiriamali hapa, nina ichi kiasi cha laki nane ambacho natamani kisikae kizalishe chochote kitu ili nitanue...
Habari wakuu, napenda kufahamu bei za frem za biashara dodoma zinaendaje
.
Biashara kama
1. Furniture
2. Mapazia, mashuka, godoro, neti,
3. Hardware
...
Napenda kufamu bei za frem na mzunguko wa...
Nataka nifanye hii mishe naomba bajeti hapa nina dishi la Azam tu. Najua gharama za kibanda, TV nch 40, au projector, supika, solar in case umeme umekata, nk. Mnakaribishwa kunipa changamoto za...
Habari wakuu, nlikuwa naomba msaada Kwa wazoefu, ninataka kufungua duka la vifaa vya useremala lakini nataka kuanzia na vichache vyenye matumizi ya kila siku kama misumari ya aina zote, msasa...
Habarini wana JF naitwa james nipo mwanza , naomba kupata ushauri kutoka kwenu namna na jinsi ya kuendesha biashara ya nafaka , kwa mtu alie na ujuzi zaidi naomba anielimishe
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe wakati wa kufunga sherehe za maonesho ya SIDO kitaifa mkoani Njombe ambapo zaidi ya washiriki 628 wameonesha bidhaa zao kwenye maonesho...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imeelekezwa kuwalea wafanyabiashara nchini kwa kurahisisha jinsi ya kuifikia, kuwa mbunifu wa namna ya kuwahudumia na kuifanya Taasisi kuwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.