Habari wana JF!
Napokea message PM kuhusu platform ya ku invest stock market kwa watanzania, platform nyingi za stock market especially US STOCKS ni kama hakuna zaidi ya TRADING212 ambayo mimi...
Kabla Albert Einstein Hajafariki mwaka 1955 Aliwahi kusema Moja ya Maajabu Nane ya Dunia (8th Wonders Of the World) ni "Compound Interest"
Najua litakuwa SIO Neno geni kwako ila tu labda hufahamu...
Huwa najiuliza sana uhusiano kati ya hizi connection (video) zinazovuja kuwa huwa zinavujishwa systematic wakati fulani ili kuhamisha attention ya umma!
Mfano saizi ni hii ya giggy money na Amber...
Habari wanaJf, nataka kufungua akaunti nilishawahi kuwa na akaunti Stanbic na NBC hizi zilikua ni kwa ajili ya kupokelea mishahara na niliachaga kutumia baada ya kuacha kazi.
Sasa nataka kufungua...
Kuna wakati pamoja na maarifa mapana ya mambo ya uchumi na shahada ya uchumi unaweza kuingizwa mnini na vijana wa IT.Safari ilianza Kwa jamaa yangu Yuko njombe kunitumia list ya wanyama na bei zao...
Habari wadau,
Mimi ni mmoja wa wakulima wa zao la parachichi kutoka Ngara. Ni parachichi zile kubwa , nzuri na zenye ladha 'creamy' ambazo hapo awali zilikua zinatoka Burundi ila kwa sasa pia...
UWEPO
MWENYE ENZI MUNGU akaiumba DUNIA. Hakika katika Dunia MWENYE ENZI MUNGU akawaweka VIUMBE wengi sana na akampa mamlaka makubwa ya UFAHAMU kiumbe Mmoja tu BINADAMU.
Binadamu wamepita...
Habari wadau.
Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe.
Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida.
Unapaswa...
[emoji383]MONEY MISTAKE 1
Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.
[emoji383]MONEY...
Heshima kwenu wakuu.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4...
…miaka ya Nyuma nchini Marekani…
Kulikuwa na ushindani Mkali sana kwenye Soko La…
“Magari ya Kukodisha”
(Rental Cars)
Na…
Moja ya Kampuni ililokuwa Inatawala Soko hilo ilikuwa ni Kampuni ya…...
Habari zenu Great thinkers?
Naomba kujua fursa za biashara zilizopo katika nchi mbili nilizozitaja hapo. Ni bidhaa gani naweza kutoa Tanzania nikapeleka huko au ni bidhaa gani nitaitoa huko...
Samahani kwa mwandiko mbovu kidogo ila naandika nikiwa nina hasira sana baada ya jamaa yangu kuniletea taarifa nimekosa zaidi ya mil 2 kizembe sana.
Mimi ni kijana wa taaluma ya sheria na...
Wakuu,
Ujue sisi ambao tumesoma masomo ya giza na pia mara nying ni one man show. Tunachezea sana vipigo katika uwekezaji.
So siku hizi mimi binafsi nmeona biashara zangu ziwe determined na...
Greetings JF massive!
It’s been long time.
Nimekuwa busy nikisafiri Tanzania na Kenya.
Mwaka 2020 nimepanga kusafiri zaidi hapa Tz ili niielewe zaidi nchi yangu na mimi kutumia opportunity...