Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza.
Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image...
Chanzo
Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo...
Habar ma boss naombeni msaada nataka kununua cruiser ya utali war bus vitu gan ni zingatia wakati wa kukagua gar namna ya kudeal na madalali iwe coil spring sio banz
Number ya fundi mzur Arusha wa...
Tafadhali wana JF wenzangu,
Anayeweza kunifundisha kutengeneza sabuni naomba tuwasiliane haraka. Nina soko kubwa.
WADAU WENGINE WENYE KUHITAJI KUFAHAMU BIASHARA HII
Habari wana JF
Naomba...
Nakumbuka maneno ya mweshimiwa raisi samia kuhusu benk kuu kufatilia swala la sarafu za digitali. Bahati mbaya tamko la benki kuu iliishia kutoa vitisho na sababu wanazozijua wao. Lakini leo benk...
Aisee kama kuna kitu siwezi kufanya ni kuishi na Gaidi Next door!!
Sasa wakenya mnawezaje kuishi maeneo yanayopakana na somalia kama mandela na Garisa?
Usingizi unakujaje?
Hasa ukikumbuka...
Ok, ni hivi wakuu, Kuna hii minada huwa inafanyika kwenye eneo husika Kwa siku maalum. Kwa mfano najua Kwa huku Dar es salaam Kila Ijumaa mnada huwa upo Kitunda, Jumanne huwa upo Kivule sokoni...
Waziri Mhagama, Ahimiza Uwekezaji katika Sekta ya Utalii Mbinga
Imeelezwa kwamba uwekezaji wa hoteli kubwa na za kisasa unasaidia katika kuchochea shughuli za utali na kuongeza thamani ya Mji wa...
Habari za jioni wapambanaji, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri.
Mimi ni kijana mtafutaji, lakini tokea nipo chuo(Mzumbe) nilijikuta napenda tu kuandika proposal za biashara, kipindi hicho tulikuwa...
Habari zenu watu wa Jamii Forums, Naomba kufahamu Wapi huwa wanatoa mikopo yenye riba nafuu kwa wajasiriamali wadogo au wale ambao hawana vielelezo vya biashara kama vile TIN na LESENI...
Salaam wana jamii forums kwa majina naitwa Khalid Munir mkazi wa Dar mwenye umri wa miaka 31.
Elimu yangu ni kidato cha 3 sikufanikiwa kumaliza Elimu sababu ya maradhi.
Nimekuja ktk jukwaa hili...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo...
Mpango Jumuishi wa Harambee (Integrated Fundraising Plan) ni nyenzo muhimu katika kuiwezesha Taasisi kufikia malengo yake. Mpango huu huiwezesha Taasisi kutekeleza Programu zake na kuiwezesha...
Ok, ni hivi wakuu, Kuna hii minada huwa inafanyika kwenye eneo husika Kwa siku maalum. Kwa mfano najua Kwa huku Dar es salaam Kila Ijumaa mnada huwa upo Kitunda, Jumanne huwa upo Kivule sokoni...
Mwaka huu 2022 Mwezi wa 5 nilipost Uzi mmoja kuhusu blog (Usome hapa).
Kuna baadhi walinicheki niwape msaada nilifanya ivyo ingawa ni wachache tu waliofanya kweli na sasa wanapiga pesa.
Hivyo...
Wakuu nimekuwa nikifanya hizi kitu zote mbili kwa pamoja. I mean forex na na betting na nimekuja gundua hata forex nayo ni betting tu in another system huku tunabet mechi kule tunabet currency...
Nimewaza hii biashara za kukusanya simu used mitaani na kupeleka vijijini huko nikapige pesa, kwa mfano kuna siku nilinunua simu 1 hapa town 12000 jamaa aliliwa katika kamali akawa hana nauli...