Wana JF, nina mpango wa kufungua bar, ukumbi na night club hapa DSM.
Naombeni msaada jinsi ya kupata viti, meza, friji nk kutoka makampuni ya vinywaji.
Tuwasiliane 0754 279035
Hello..!
I, on behalf of the Southern Coast Company LTd, am writing this message to you to introduce our company Southern Coast Company LTd that is one of the leading Finishings Companies today...
Najaribu kutafakari kwa kiwango cha ujenzi wa barabara ya mwendo kasi kati ya JKT kilwa Road mpaka Chamgimbe, kiwango cha ujenzi kiangaliwe
.
1.Kingo za barabara hazijanyooka
2.Tofali za pembeni...
Hello bosses...
Kipindi cha nyuma TerraUSD na Luna zilipopata anguko niliandika uzi humu kwa sababu hilo tukio nlikua nategemea lije kutokea kutokana na mechanics za namna hizo coins zilivokua...
Habari za mchana wapendwa!
Moja kwa moja kwenye mada.
Kwa muda mrefu nimetamani sana kufanya biashara ya kuuza mitumba lakini sijui ni mtumba toka nchi gani unalipa. Naomba kwa yeyote...
Wadau, nataka kuagiza mzigo kutoka India kuja Tanzania.
Mwenye kufahamu freight/ shipping agent anayefanya usafirishaji, mfano wafanyavyo Mapembelo kwa China na Tanzania.
Habari, nataka kuanzisha biashara ya juice ya Miwa kariakoo sasa Sijajua jinsi ya kupata sehemu ndogo tu iliyochangamka kwa ajili ya kuweka mashine na watu kusimana.
Pia vitu muhimu vya kuwa...
Nimeona watu wanamiliki maduara, wengine wanamiliki crushers tu, wanasaga mawe ya watu, wengine wanamiliki plant au elusion plants.
Wengine wanamiliki detectors wanakodisha, wengine ni wanunuzi...
Mara ya kwanza nasikia kuhusu Forever Living ilikuwa mwaka 2005 kipindi hicho imepamba moto sana. Kulikuwa na mtoto mmoja mkali sana chuo nlikuwa namfukuzia.
Naye akaona atumie nafasi hiyo...
Na Gianna Amani
Kampuni ya utengenezaji wa magari ya King Long iliyopo katika Mkoa wa Fujian imeeleza namna ilivyopenya katika soko la dunia na kuziambia nchi za Afrika juu ya magari wanayopaswa...
Mimi ni kijana niaeishi Dar es salaam,Yaah unaweza ukasema n mtu mzima maana niko kwene 80s!!…Nimeajiriwa sehemu kadhaa lakini kwa sasa nimeacha kazi!!
Kwa kifupi sipendi kufanya kazi kwa mtu au...
Naomba msaada kujua kama bureau de change za tanzania zinapokea noti za zamani kabla ya hizi za sasa mpya za dola za kimarekani yaani series 2006 mpaka leo
Nunua ardhi ya bei nafuu Leo katika eneo ambalo baadae litakuwwa dili sana na sasa linapuuzwa. Mfano:
1. Eneo LA Makurunge kule Bagamoyo njia ya Saadani. Ile barabara inaandaliwa kujengwa kwa...
VITU 4 MUHIMU UNAVYOPASWA KUVIJUA KABLA YA KUNUNUA USED IPHONE (IPHONE ILIYOTUMIKA)
(ukipuuza utazidi kupoteza pesa yako)
Leo nitaanika siri ziunazofanywa na wauzaji wa simu zilizotumika used...
Mawaziri wawili wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia watumishi wanaotoa vitisho, ubabe na wanatengeneza mazingira ya kupata rushwa kutoka kwa wafanyabiashara.
Mawaziri hao...
leo nilikuwa kufanya manunuzi pale soko la Karume (Dar es salaam) sasa kuna sehemu nikawa nimenunua suluali ya spesho kwa elfu ishirini, na nikarizika kwakutojua bei harisi lakini kwenye pita pita...
Hongera sana uongozi mpya wa Tanesco.mambo yanakwenda kisasa .nimeripoti ubovu wa mita wamebadilisha chini ya saa 24.zamani ingechukua miezi na mpaka utoe rushwa.kila kitu sasa tanesco ni digital...
Poleni kwa majukumu ya hapa na pale, nimeona tuu shida yangu niiweke hapa.
Anyway, Niko na shida kuhusu mambo ya system ya TRA (E-filling). Currently hapa ofisini kwetu mtu aliyekua anahusika na...