Biashara ni kitendo cha kubadilishana vitu.
Mfumo wa ajira ulikuja ili kupata watu wa kusaidia kazi watu wengine ambao wanafanya biashara fulani.😃😃😃😃
Kama sikosei mfumo ulianza kipindi cha...
Wakuu kwema, naomba tujadili hili tuweze kuongeza maarifa.
Hivi inawezekana kuomba kuonyesha kipindi chako katika kituo fulani cha TV au kusikilizwa redioni?
Kama jibu ndiyo;
1. Gharama kwa...
Nimefikiria kuufanya huu mchongo wa kusambaza pocket za sigara kwenye maduka ya rejareja .
Hivyo naomba kufahamu bei wanazouza pocket za sigara kwenye maduka ya jumla (Mawakala) pamoja na bei...
Kwa mara ya kwanza tangu 2017 inflation rate imefikia 4.8% and expected to reach 4.9% at the end of this year. Hii ina maana gani
1. Nguvu ya manunuzi imepungua sana kwahiyo hakuna mzunguko...
Hello wana jamvi,
Matumaini yangu wote ni wazima asubuhi ya leo na ni siku nyingine alietupa Mungu kwa ajili ya mapambano, they say every new day as new opportunities.
Mimi ni mchimbaji wa...
Though originally unknown to the general public, Bitcoin has recently attracted lots of attention in the financial world over the last few years.
This is an auto trading platform that has an...
Habari kwa wakuu wote wana jamii,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nimepata mtaji na nimewaza kuanzisha biashara na katika kuwaza biashara nimeona kuwa biashara ya usafirishaji ndiyo...
Kuna shule moja inaitwa Olduvai sec IPO Moshi Kilimanjaro.
Majengo yake yako imara na Ina vyumba vyakutosha vya madarasa, maabara, dinning hall , mabweni, kiwanja Cha mpira , maji all the year ...
Habari za asubui waungwana,Husika n kichwa cha habari hapo juu Nahitaji nifanye biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai..,Je inaweza nitoa ikiwa mtaji wangu Almost 5Mill,Na athar zake ni...
Wakuu natumai mko poa, Mwenyezi Mungu anaendelea kutuwezesha kuwepo mpaka wakati huu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, Bila kuwachosha nina wazo la kufanya biashara ya madini ila sijui...
Salute wakuu,
Baada ya kutulia na kufikiri sana, nikapata wazo la kufungua biashara ya vitu vya electronics sijui kama nipo sahihi. Vitu hivyo ni kama:
Flash drive
Memory card
USB wire
Charger...
Habarini wana_JF,
Nataka kufanya biashara ya kuuza screen protector za simu na cover za aina mbalimbali ila nahitaji kujua.
Kama kuna yeyote anafanya hiyo kitu anipe uzoefu pia kama kuna muuzaji...
Ni ukweli usiopingika kwamba sekta ya mafuta na gesi imefungua fursa kwa wawekezaji wakubwa na wadogo katika taifa letu, na kutoa mwanya kwa wale wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta hii...
Na saboso JR
Kampuni nyingi za kibiashara, wajasiriamali na wafanyabiashara kwa kawaida wamejaribu kufungua biashara zao na kuwekeza kwa kasi kubwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha miundombinu bora...
Nimeona DSE wana mfumo wa kuuza na kununua hisa online. Huwa natamani sana kuingia kwenye huu uwekezaji maana naweza kuweka pesa zangu ndogondogo huko badala ya kuzitumia ovyoovyo. Siwezi kwenda...
Hakuna ubishi kwamba fursa za kilimo Tanzania ni kubwa na soko la bidhaa za kilimo duniani ni kubwa na la uhakika na pia halina dalili za kufifia kutokana na ongezeko kubwa la idadi ya watu.
Hata...
Habari za asubuhi ndugu na jamaa zangu, Ni asubuhi nyingine nakuja na ombi kwenu. Je ni solar gani au mfumo gan wa solar naweza kuutumia dukan yenye wastan wa taa 2 au 3 zenye mwanga mkali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.