Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wasalaam JFs. Namtafuta mtu anayeuza vitu tajwa hapo juu. Meza iwe na droo moja. Pesa yangu 70,000 jumla
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Katika biashara kila mfanyabiashara anafanya biashara yake kwa namna alivyowekeza pesa zake,muda na akili yake eneo hilo. Baada ya kujua pesa aliyowekeza,muda aliotumia,gharama zote mpaka bidhaa...
9 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, kuna jamaa yangu ameniomba nimfungulie mashine ya miwa jijini Dar, akasema atakuwa ananipa sh 15,000/=kwa siku. Sasa ndugu zangu mnisaidie kujua gharama ya kila kitu na je sio...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Kama wewe ni developer wa backend, na unayohitaji frontend developer mwenye ujuzi wa reactjs, Kama wewe ni owner na una project inayohitaji frontend developer, Au kama wewe unaproject na...
0 Reactions
4 Replies
423 Views
Habarini za mchana waungwana, Wiki iliyopita nilifanya manunuzi ya bidhaa na nikapewa risiti kutoka katika EFD Machine. Sasa risiti ile nitakuwa nime i missplace sehemu, haionekani (Imepotea may...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu nimekaa na kujaribu kuwaza hivi nikichukua mzigo wa Kandambili sample nimeweka hapo chini nikaenda kuuza kenya. Maana kwa pair huku zinapatikana kwa 1500 nadhani nikivuka...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za Muda Huu wanajukwaa. Kulingana na changamoto za kukatika Kwa Umeme Kila Baada ya nusu Saa, Sasa nimenyoosha mikono na nimesalimu Amri wakuu. Tafadhali Sana Naomba mdau mwenye Generator...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Jana nilipewa kazi ya kumtafutia kiwanja mdau wangu wa damu sana, nikashuka kisemvule nikaingia mpera ndani ndani huko. Viwanja vipo vya mabondeni na tambarare, Vipo vya milion 2 vipo vya 2.3...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Je ni makampuni gani Tanzania yanayotoa huduma ya uwekezaji mfumo wa hisa kwa wanachama kwa ufanisi na faida? Na je maelezo tajwa hapa chini Yana ukweli kuzuia kupata hasara na matatizo ya afya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu wana JF Nilikuwa naomba msaada wa wazo la biashara ambayo haitohitaji management kubwa sana. Mimi niko nje ya nchi na nimeajiriwa sitaki kuacha kazi yangu right away...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Hàbar Wana ndugu kijana mwezenu nipo mnele yenu nataka kujifunza biashara ya forex na sijui kwa kuanzia naombeni msaada kwaanaye juwa Mambo haya
1 Reactions
24 Replies
895 Views
Habar wakuu, Nina mtaji wa mil. 3, nataka fanya biashara nitakayoiendesha nikiwa mbali nayo coz niko chuo kwa sasa so nitakuwa na muda mchache wa kuisimamia. Ni biashara gani itakayoendana na...
1 Reactions
101 Replies
20K Views
Wakuu William Ruto aliahidi kwamba wale mahustle wangekuwa na pesa ya kukopa ili kuwaeupusha kwenda kukopa mitaani kwa riba kubwa ambazo zinawaumiza sana. Hii ilionekana ni siasa ila jamaa yuko...
1 Reactions
2 Replies
620 Views
Naomba kufahamishwa masoko maarufu hapa Dar es salaam ambayo yana utajiri mkubwa wa matunda yanayouzwa kwa bei ya jumla na rafiki. Hii ni kwa lengo la kufungua biashara hii hapo baadaye...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
WAKUU NINA MILIKI COMPUTER (DESKTOP) YA KAWAIDA TU, RAM GB 3 HDD GB 500 ILA IPO TU HAINA KAZI NAWEZAJE KUITUMIA KUINGIZA KIPATO MAZINGIRA YA MJINI? Nilishawahi kuitumia kwenye mambo ya...
7 Reactions
85 Replies
8K Views
Natafuta mchimbaji ama mfanyabiashara wa madini mwenye leseni ya madini aina ya Mica ama Lithium...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtazamo: Hivi kwa nini nchi zinazoendelea mara nyingi katika wakati mmoja hukutwa zinajishughulisha na miradi sare sare, inayofadhiliwa kwa mikopo kutoka mfuko mmoja? Je, hii miradi kweli huwa...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wakuu, nisizunguke sana nirudi kwenye mada.. naomba kufahamu hivi kuna mtu aliyefanikiwa kupitia forex unaemfahamu? Kuna kijana mmoja anaitwa elikana, navosikia ni miongoni mwa wana hisa...
9 Reactions
130 Replies
16K Views
Wakuu habari zenu, nahitaji kufungua movie library, nahitaji mawazo yenu kuhusu mtaji, vifaa vya kununua pamoja na Kompyuta ya aina gani itayofaa kwa matumizi hayo. Asante.
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Baada ya miaka 6 mbele nitamiliki restaurent 6 za milioni 40 katika nchi mbali mbali hapa East Africa Uganda, Tanzania, Kenya, DRC, Burundi, na Rwanda Na RESTAURENT zangu zote zitaitwa jina moja...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom