Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habarini wana nzengo, Katika kihangaika kutaka kujiongezea kipato nimejaribu kufanya utafiti usio rasm mdogo tu nikaonelea biashara mbili zinaweza kunitoa point nilipo kunisogeza kidogo. Moja...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama Title inavosema Nimekua Katika familia ya mzee mwenye uwezo kidogo lakini alifanikiwa kufungua kampuni kubwa iliyofanya ujenzi wa kazi mbali mbali miradi mikubwa. Lakini nimemaliza chuo...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu ninahitaji nije kufungua studio ya kurekodi mziki wa Gospel tu, ninahitaji studio ndogo tu yenye vifaa vya kawaida ambavyo vitarekodi mziki mzuri. Niandae bajeti kiasi gani kwa anayejua na...
4 Reactions
51 Replies
20K Views
* Maoni haya ni yakwangu binafsi, mtu asitukane tuheshimiane kwenye maoni* Tumeshawahi miliki Hisa na Ndege zikanunuliwa na badae ikaonekana zina tutia hasara badae zikauzwa/ binafsishwa au...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapo vip!! Hapo vip!! Mimi ni mfanyabiashara na napatikana Arusha, ila napenda sana nikimpata Mkenya ambaye yupo tayari kufanya biashara nje ya mipaka. Napenda kufanya biashara na wakenya au...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Natafuta simu nzuri ya iphone 13 pro max ya bei nzuri. Niko Arusha kama unayo nicheki
0 Reactions
3 Replies
924 Views
Habari wakuu, Kuna mahali nataka kwenda kununua tani kadhaa za parachichi ila sasa huko kijijini wauzaji wanauza kwa kipimo cha ndoo (debe). Naomba kujua kwa wenye uzoefu, ndoo moja ya lita 20...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello wadau! Kwenye uelewa wa hivi vitu naomba anipatie Muongozo. Asante
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwema wanajamii forum?? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,kuna mdogo wangu ananisumbua sana,kamaliza chuo sasa hana kazi,kaniomba nimfungulie office ya ufundi simu. Sasa nilitaka kujua...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo katika pita pita nimeiona meli ya Zandaam imetia nanga pale bandarin. Nahisi ndio maana nimeona wageni weng weng posta wanazunguka zunguka mjini. Dar es salaam ni mji mkongwe kwa maaana ni...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ninatamani na ninapambana sana kuwa mjasiriamali upande wa mtandaoni (online au e-entrepreneur). Miaka kadhaa iliyopita nilipata idea ya App ya Online casino...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wana jf Nimekuwa tax consultant kwa miaka miwili sasa katika changamoto nimekutana nazo sugu nipamoja ya tra kwa wafanya biashara watu wengi wamekuwa wakisajili makampuni na kuyatelekeza...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, natumaini mpo poa? Nilikuwa naulizia kwa wajuzi, kodi za mizigo inayokuja na meli kwa njia ya posta mfano, mzigo ya phone and computer accessories TRA wanachukuaje kodi...
3 Reactions
15 Replies
966 Views
samahani wadau kuna mwenye ujuzi jinsi ya kupata line ya lipa kwa mpesa utaratibu gharama na faida zake
3 Reactions
7 Replies
4K Views
Nadhani kila moja wetu anafahmu kuwa hali ya maisha now imekuwa ngumu hususani kwenye swala zima la kipato na matumizi yapo juu sana. mpaka inapelekea maisha yanakuwa magumu sana, kila mtaa utakao...
9 Reactions
160 Replies
10K Views
Bila Shaka crypto currency sio neno geni kwenu, naomba kuweka Kama swali lenye msaada kwa kila mmoja wetu. Kumekuwa na biashara kubwa Sana ya crypto siku hizi na watu wengi hasa watanzania waki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari zenu! ni matumaini yangu hamjambo! Niombeni kujua katika hii biashara ya kusanga na kupack unga wa sembe TFDA, TBS wanahusikaje? Na je kwa kuanza biashara hii nilazima kusajiliwa na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tupeane uzoefu kuhusu hii biashara kwenye baa za mitaani, nataka nianzishe. Tupeane uzoefu, garama za kujenga swiminng pool, masharti, leseni, kodi faida na hasara, mahitaji, namba za mafundi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe, kama msipodhibiti hii hali basi haya...
2 Reactions
118 Replies
8K Views
Howdy, Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom