Habarini ndugu!
Naomba msaada:-
1. wa kujua gharama za kuagiza TOYOTA PREMIO toka Japan na Ushuru wake kwa sasa.
2. Ni Premio ya injini ipi itanifaa maana niko Wilayani Serengeti na barabara si...
Habari JF,
Mimi ni mwanachuo ninaesoma chuo fulani hapa Dar es Salaam, naomba ushauri wenu wapendwa. Yeyote mwenye wazo zuri la biashara ambalo haitoathiri muda mwingi wa masomo naomba nijue, na...
Elon Musk tajiri Mpya wa Twitter amesema watu ambao wako Verified huko Twitter watalipia Tsh 19,000 kwa mwezi na sio Tsh 46,000 tena. Wakishindwa kulipa wataondolewa Verification badge ( Blue...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba (katikati) akifurahi jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (wanne kulia) wakati wa ufunguzi rasmi wa Mashindano ya taifa ya...
Habari wana jamvi, poleni kwa harakati za hapa na pale. Kwa wanaoteswa na MAPENZI hii pole haiwahusu, wanawake wapo 31M wanaume 30M iweje uteswe na mtu mmoja?
Nirudi kwenye lengo husika la huu...
Habar wana Jf.
Nahitaji kufahamu nimefungua BONUS Account ya NMB, wiki 3 zilizopita, Sasa nimepata matatizo je, naweza nikadroo pesa hizo kabla miezi mi3 haijafika, mana walinambia wanatoa...
Mpaka sasa nipo katika biashara kwa kipindi cha miaka mitano sasa nina uzoefu kiasi chake ila nilichojifunza cha kwanza elimu inahitaji Sana katika ufanyaji wa biashara. Kuna umuhimu mkubwa hata...
Tunatatua changamoto yako ya kudai madeni yako kwa kudai madeni yako kwa niaba yako.
Tupe kazi upate muda wa kufanya mambo mengine.
Tutafanya kazi kwa uhakika zaidi.
Tupigie 0782396666
Wakazi...
Afisa Mkuu wa Uwendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (wapili kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mashine mpya na ya kisasa ya kuweka pesa ( Deposit ATM) katika hafla fupi iliyofanyika...
Ndugu wadau habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nipo Geita najishughulisha na biashara ya madini ya dhahabu offisi ni ya watu so Mimi ni msimamizi na wakati mwingine...
Habari zenu wadau wa jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali.
Naomba kujua top brands za karatasi zinazotumika na kukubalika sana hapa za Tanzania. Nikisema brands namaanisha hizi Rotatrim...
Wakuu
Nina goli ninauza vitu used mfano majembe, nyundo, nyaya za umeme used, swichi used, pasi za mkaa used
Na makorokoro mengine wapendwa nahitaji sapoti yenu ya hali na mali
Nimeyumba...
Jamani naombeni msaada wenu. Mimi ni mtumishi wa umma. Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa maboto. Lakini kila nikitaka wanipe balance yangu ili niwalipe hawataki hivyo naomba...
Wizara ya Viwanda, Biashara kupitia TanTrade kwa mara nyingine inaandaa Maonesho ya Saba (7) ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyopangwa kufanyika tarehe 3 - 9 Disemba, 2022 katika Uwanja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.