Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wajuba hope mko poa sana. Kuna thread nilileta huku japo wachangiaji walikuwa ni wachache ila nilifanikiwa kumfungulia dogo salon ni ndogo na ya kawaida sasa swali langu nilikuwa ni kujua...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Even if Network Market works…., Do you or are you prepared to do the work…. Network Market imepata sifa mbaya na watu kuiogopa na wapo waliojiunga lakini hawafanikiwi baadhi ya sababu...
6 Reactions
30 Replies
17K Views
Wana JF, Nahitaji kuanzisha ujasiriamali wa kutengeneza vyombo vya dongo, Anayefahamu supplier wa marighafi kama kaolini clay au ball clay anisaidie ikiwa kuna anaehitaji kushirikiana au wazo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi naish Tunduma mkoan Songwe, huku kuna fulrsa kwa alietayari kuifanya nayo ni fursa ya kuuza maziwa lishe ya watoto lactogens mfano huku Tunduma yanauzwa tsh 13,000/= Lakin Mbeya na Iringa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Matunda yanalika sana, haijalishi dini wala kabila watu wote wanakula matunda. Biashara hii inahitaji uhakika wa usafiri ili uweze kuuza matunda yakiwa katika hali ya ubora. Niliangalia...
10 Reactions
36 Replies
46K Views
Ni swali hili. Niko kwenye Biashara hii muda wa miaka miwili sasa, kiwanja unaweza kununua asubuhi 4M. Jioni akaja mtu anataka umuuzie kwa 5M. Ardhi haishuki thamani. .... Kuna hivi nauza✍️...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu ni hivi, Mimi Ni kijana ambaye bado natafuta hivyo kutokana na mapambano ya huku na kule. Sasa sahizi nimeamua nikomae na kazi za online lengo ni kwamba iwe kazi ambayo itakua inanipa...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina seving yangu ya milion 50 nataka kuweka finca fixed deposit nasikia wanatoa riba ya 14% kwa mwaka tofauti na bank nyingine wao hutoa 6%. Asilimia 14% za finca zimenivutia...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari ndio Hiyo ndugu zangu Watanzania wale wenye mabucha na Madalali. Kufuatia ukame mkali nchini Kenya Bei ya mifugo imeanguka kabisa kama bei zilizoripotiwa na Citizen tv hapo kwenye heading...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Habari za kutwa, Natumaini ni wazima wa afya, Wagonjwa Mungu atawafanyia wepesi mtapona haraka kwa uwezo wake... Amen. Nina mpango wa kuuza daftari ziwe ni kaunta, msomi nk. Kama kuna...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu jf Km kichwa habari hapo juu knavyojieleza naomba kufahamishwa tafadhali
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Unakuta unafanya kazi na ndugu yako ama mtu baki bila mshahara wowote ni ile pambania kombe tutoke wote! Mzee unapambana hadi biashara inakuwa kubwa baada ya miaka 5 ama 10 unatafutiwa sababu...
13 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana JF, Naomba msaada wa mawazo, nina 500k nataka kuanzisha biashara ila sijajua biashara gani itafaa kwa huo mtaji. Msaada plz
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Habari ndugu msomaji wa mtandau huu, karibu katika mfululizo wa makala zetu za kukuelimisha katika nyanja ya uwekezaji katika hisa. Leo ningependa kuzungumzia kuhusu namna na urahisi wa kusoma...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu. Mimi niko Mbeya, ni mgeni nimefika kwa mara ya kwanza kwa nia ya kutafuta maisha, Sasa basi hapani nilipo nina laki tano 500,000 kama mtaji. Msaada ninaohitaji toka kwenu...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
KILA kitu kinaanza na wewe, maamuzi ya kufanyia ushauri KAZI ni yako na MTU hatakiwi kukuchukia kwasababu tu, HUJAFANYIA KAZI MAWAZO YAKE. MAISHA YAKO NI JUKUMU LAKO. Si Jambo jipya KWAMBA tuna...
4 Reactions
2 Replies
463 Views
SOMO: ELIMU YA UTAMBUZI NA MAFANIKIO. MADA NAMNA NZURI YA KUDHIBITI MATUMIZI YAKO YA PESA. 2. Kuwa na nidhamu katika matumizi ya kila siku. [emoji1334] Huwa inasemwa kuwa; kuwa tajiri...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Shalom, Mimi ni mmoja wa wenye hisa kwenye Kampuni ya NICOL. Je, kwa wanaofahamu Bei ya hisa Moja kwasasa ikoje?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom