Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za mchana kila mmoja wetu. Poleni na majukumu. Naomba usaidizi wenu wakuu najua huku kuna watu wa namna tofauti,wafanyabiashara wakubwa,wadogo,wakati,waajiriwa na kuendelea. Kuna biashara...
2 Reactions
40 Replies
13K Views
Wakuu naomba mnisaidie mambo yahusuyo madini maana kuna sehemu nimeenda shambani Leo nimekuta kuna mwamba wa chuma baada ya kuutindua nimepata kipande cha jiwe LA chuma ambalo linashika sumaku...
7 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari za wakati huu wanajamvi Nashukuru sana kwa ushauri mlionipa pia ningeomba mnivumilie kwa post zangu mfululizo za aina hii. Kuna uzi niliutoa jana kuhusu locations za maeneo ya biashara ya...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Hii ilikua imebakia historia lakini sijui kitaalamu historia ikijirudia inaitwaje. Ifikie hatua watu wapewa kilicho chao, laiti kama pangekua na chaguo la namna watu wangepata riziki zao nadhani...
3 Reactions
15 Replies
903 Views
Habar zenu mabibi na mababu. Kama mnavojua dunia jinsi inavyoenda kasi hususani katika mapinduzi ya kifedha, sasa hivi ulimwengu unazungumzia cryptocurrency tuu na namna ya kufanya holding ya...
7 Reactions
27 Replies
7K Views
Mwenye lengo la kuanzisha biashara ya kununua vitu toka nje na kuuza tubadilishane uzoefu. Mimi kuna kipindi nilikuwa nauza karatasi (nanunua na kusafirisha Bongo) ilikuwa nzuri sasa natafuta...
2 Reactions
2 Replies
561 Views
Habari wakuu Kuna fursa mtaani imekuja ya ununuzi wa mafagio ya njiti za makutiii kwaajili ya kuwekezea paa za nyumba za watalii Wananunua ujazo wa role ya ufagio kwa tsh mia tano 500/ Shunguli...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Namuitaji mtu mwenye uzoefu na biashara ya dry cleaner nipate mawili matatu kutoka kwake
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ulishawahi kuwaza ni njia gani rahisi ya kuungana na watu tofauti duniani kama kikundi bila kufahamiana na kupanga malengo au sheria zenu pamoja huku sheria hizo zikisimamiwa na blockchain Basi...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuzo maarufu duniani ya iF Design hivi karibuni ilitangaza washindi wake kwa 2022 ambapo TECNO ilishinda katika kitengo cha Bidhaa na Tehama kwa muundo bora wa bidhaa wa Phantom X na CAMON 19 Pro...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa wazoefu wa biashara ya vilevi je,ninaweza kufungua grocery kwa mtaji wa laki nane?
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Habarini wakubwa heshima yenu Mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs, sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwema? Nakuletea wazo langu la biashara, ukiona lafaa chukua... Nunua kiwanja pembeni ya mji,mana huku wanapenda sehem zilizojificha,jipange jenga hata rooms 5,ila ukiweza kujenga room 20. Kila...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Ni baada ya Leo wakulima kugoma kuuza korosho za kwao kutokana na kutoridhishwa na soko la siku ya kwanza ya mnada. Bei ya juu ni 2000/=na bei ya chini ni 1590/=. Hii siyo sawa kabisa na...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa wa jamii forums Niende kwenye mada moja kwa moja nina idea ya kumfungulia dogo salon, nina maana salon ya kiume simple tu wala sio ya gharama. Namchukulia vitu vya kawaida tu...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Sijui ni nini huwa kipo nyuma ya pazia kuhusu masoko kuungua hovyo. Hii sio Tanzania pekee bali África kwa ujumla! Ushauri wangu ni kwamba kama unafanya biashara kubwa sokoni na hilo soko ni...
3 Reactions
1 Replies
668 Views
Habari wakuu, nahitaji flemu za kutengeneza mikanda ya gypsum. Anayefahamu inapatikana wapi na ikiwezekana na bei yake akoment nitamfuata inbox tuyajenge. Pia, anayetengeneza hii mikanda naomba...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nataka kukunua kati ya bajaj au gari ndogo mfano Vitz/IST or the like ili nimweke dereva apige biashara ya Uber au Bolt. BAJAJ Kwa upande wa Bajaj ikiwa mpya bei ni 7.35M na kwa sasa walio...
9 Reactions
86 Replies
33K Views
Back
Top Bottom