Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa uzalishaji wa asali lakini hawajui yalipo masoko ya kimataifa. Ni muhimu kufahamu kuna nchi 24 duniani zinazovutiwa na asali ya Tanzania ambako wajasiriamali...
Thamani ya hisa zilizoorodheshwa kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imeonesha kushuka kwa kasi katika siku 20 zilizopita huku mauzo ya DSE kwa wiki iliyopita yakipungua kwa 21.62% hadi...
Jamani habarini za muda huu,
Samahani naomba kujua vibanda vile vya biashara (vya Chuma) kama vile huwa vinatengenezwa kwa shingapi?
Between ngapi na ngapi?
Usikute hata ule msemo " wanaume hatujui kutunza pesa" ulianzishwa na bushman kama GENTAMYCINE
But don't just take it seriously. Ni uongo kama porn site inayo kwambia kuna demu mrembo anataka...
Kimsingi trend ya bei ya mahindi imeonesha hali isiyo ya kawaida kwa mwaka 2022. Hali tunayoweza kuilalamikia ulaya kutokana na Vita vinanvyoendelea Ulaya mashariki.
Kwa kuangalia trend ya bei za...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akipokea cheti cha tuzo ya "Benki Bora Tanzania" kutoka kwa Mwanzili na Mhariri Mtendaji wa Global Finance, Joseph Giarraputo...
Habari za humu Great Thinkers!
Naomba kupata elimu juu ya biashara ya vifaa vya umeme kwa mtu mwenye mtaji mdogo wa angalau milioni 4.
Nitafurahi ikiwa nitaelimishwa juu ya muundo wa duka...
Habari zenu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika ,kama itawapendeza madereva na wahitaji wa huduma za usafirishaji wa mizigo mbalimbali ndani na nnje ya Tanzania, mjaribu kutaja/ ku...
Habari nyote. Mimi ni Mjasiriamali na hivi karibuni nimeanzisha shughuli ya kuzalisha Mkaa mbadala kwa kutumia unga wa mbao, chenga za mkaa na makaratasi.
Nahitaji Mtu au Watu wa kushirikiana...
Inasikitisha sana kuwa serikali yetu iko kimya sana kuhusu hii ishu.
Nini kifanyike ili wananchi wa Tanzania wasikumbane na madhila ya namna kama hii?
Elimu itolewe kuhusu utapeli wa mitandaoni.
Wakubwa habari za majukum. Kumekuwa na mgogoro mkubwa kwa majirani zangu ambao wanagombania mti wa mnazi mkubwa ambao ulikua unauwezo wa kuzalisha nazi.
Jirani mmoja kati yao akaamua kuukata huo...
Kwanini biashara inakuwa nafasi ya pili?
Baada ya mtu kufeli katika kazi au chochote ndo anafikiria kufanya biashara, nahisi ndomaana wengi pia wakiingia kwenye biashara wakikutana na changamoto...
Habari ya leo Jumapili,
Natumaini tuko sawa wote, wenye changamoto zozote poleni sana.
Natafuta mashine ya kukatia viazi, kwa ajili ya kutengeneza Crips.
Ningependa kujua bei, na inapopatikana...
Huu uzi maalumu kwa forex traders wapambanaji wote wanaotrade forex market lengo ni kushare ideas mbali mbali na kushtuana kwenye setup za nguvu[emoji123]
Kama huusiki na hii biashara usichangie...
Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer.
Mimi; unafanya biashara gani teacher...??
Lecturer; Hahaahahhaaaaa sina biashara.
Mimi; Kwanini...??
Lecturer...
Mkuu,
Kuna watu/mtu ambaye wanaohitaji kufanya uwekezaji serious?
Je unaweza kufanya nini ukiwa na access ya Kiasi cha Milioni 50-500?Uwekezaji uwe endelevu,uzalishe ajira,uhifadhi mazingira...
Hapa nimepiga swali,
Kule online wanadai nisiwe mwoga nitalipwa hiyo 800 kila siku. Sasa shida yangu je hiyo 20 Inaenda wapi? Kwanini nisitangaze biashara zao bila kuweka 20?
Wakuu nimekuja huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.