Kuna kitu sijakielewa hapa, au hakipo sawaaa, ukitaka kuanzisha biashara lazima ufuate utaratibu wa kisheria mfano lazima uwe na tin na lesseni ya biashara husika, embu fikiria unataka kuanzisha...
Habari za muda huu,
Nahitaji kufahamu soko la bidhaa ya dagaa nyama lipoje hasa maeneo ya Dar, na labda vizuri pia anayejua wanapopatikana zaidi kwa ujumla.
Habari ndugu zangu tupo na shule yetu inaitwa WILLIAM BRANHAM PRE AND PRIMARY SCHOOL ipo Mbeya - Mkoa wa Songwe Tunduma tupo kwenye mikakati ya kuifanya iwe international school.
Naombeni...
Habari ya siku ya leo;
Ni muda mrefu tangu nilipoandika makala yangu ya mwisho katika jukwaa hili ambalo nimelichagua kama sehemu ya mchango wangu kwa jamii yetu.Ninaamini kwamba pamoja na kwamba...
Wakuu nafikiria ni biashara gani unaweza ifanya shuleni yaani ikawa inajulikana na wanafunzi na walimu wao
Mfano sku hz wanafunz wanapewa uji shulen kuna mama mmoja nlimuona shule moja ya...
Habari Wadau!
Naomba ushauri wenu ipi ni faida ya mtu anayefanya kazi ya kuuza duka la decoration za nyumbani( ikumbukwe duka sio lake isipokuwa ameajiriwa kuuza vifaa kwenye duka hilo)...
Nilipojua kua sijui yangu ilikua katika biashara ya nafaka
Ilikua mwaka 2011 baada ya kufanya vibarua vya hapa na pale nikawa nimesave pesa kiasi cha tsh 750,000 nilikua na shauku sana ya...
Binafsi Biashara ya FOREX, naisemea kwamba inahitaji uijue wewe mwenyewe kwa kutafuta knowledge yake na kuelewa ni nini unafanya uingiapo sokoni
1. Weka Trading Plan
2. Acha Tamaa ya kutaka...
Lengo la Uzi huu ni kutoa kasoro kwa baadhi ya mapungufu machache kati ya mengi niliyoyaona CRDB- Dodoma.
Haya nimeyaona hususani katika matawi ya Mazengo na Chamwino yote yaliyo Jiji la Dodoma...
Habari wakuu,
kutokana na hamasa niliyoipata hapa jf nikaamua niende UTT AMIS pale sukari house, kupata maelekezo na kuwekeza...
Ila kila swali nililokua nauliza naona nnajibiwa kama...
[emoji271]Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki.
[emoji271]Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti.
[emoji271]Pia...
Jameni wana JF
Wazima??
Naomba muongozo kwa watu wanaouza mapochi ya jumla sio reja reja nitawapataje kama upo serious unataka kunisaidia kuniunganisha nao please ni inbox mie sitaki za mitumba...
Ni brand ya hp ram 8, hdd 750, processor ya 2.5 up to 2.7..bei ni tsh. 520,000( maongezi yapo). Ni used in a good condition, haina functionality problem ya aina yeyote ile..little scratch kwa...
Habari wanajamvi?
Mimi niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu.
Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka...
1. Wanaazima CREDIBILITY Kutoka Kwenye Baadhi ya Medias Zenye AUTHORITY (Tv,s, Radios nk).
2. Wanatafuta SOCIAL PROOFS za Kwamba Hii business Model inafanya Kazi (Wana-Clear SCAPTISMS).
3)...
Biashara bwana, najua kuna watu wanatamani mafanikio ya bakhresa au Mo au GSM au mafanikio ya tajiri yoyote yule, Husitamani mafanikio ya bakhresa, mo, gsm au yoyote aliyefanikiwa.
Unajua...
Habari wakuu,
Nimejaribu kuchunguza uhitaji wa nazi ndani ya jiji la Dar es Salaam,nataka nianze kuuza nazi kwa kufanya uchuuzi toka Pwani kuleta Dar na kuuza kwa wauzaji wa reja reja, naomba...
Kama umeshajaribu kutangaza biashara, bidhaa au huduma unazotoa kwenyemtandao wa Facebook bila ya kupatawateja wengi basi nisikilize kwa makini sana kwani katika makala hii nitakuonyesha njia...
kwanza napenda niweke wazi kwamba Mimi ni mmoja kati watanzania wanaoingiza bidhaa mbalimbali kutoka China na Marekani(USA) yaani (importers).
Naamini wengi tunajua kuwa wafanyabiashara wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.