Habari Wanajamii Wa JF,
Nafikiria Kufungua Biashara Maeneo Ya Magomeni Mikumi Au Usalama Dar Es salaam. Naomba Kusaidiwa Kujua Bei Ya Frame Ya Chumba Cha Biashara Ina Range Bei Gani kwa Mwezi...
Leo nawaibia kidogo kuhusu uwekezaji kwenye nyumba za kupangisha hii ní biashara nzuri sana ambayo utaishi bila kuwa na mashaka yoyote yale katika mzunguko wako kipesa na família.
Iko hivi mfano...
Jamani naombeni msaada,
Kwa yeyote aliyewahi kuagiza kifaa chichote au kitu chochote kutoka China chenye uzito wa 30 kg gharama za usafirishaji zikoje?
Wakuu nimepata zali na mtot wa kituruki ameniachia noti mbili 5200
Sas natafuta sehemu au bureau ambayo naweza kubadilisha fedha hzo nizipate za kitaanzania
Naombeni msaada Ni bureau ipi Ina...
Ndugu wapendwa, hongereni kwa jukumu la kujenga taifa.
Nimekuja hapa na kazi iliyokamilika, anaetaka tupige kazi unakaribishwa.
Nimetengeneza website ya utalii, ambayo itawasaidia watu wa...
Ndugu wanaJF
Nimeona nishirikishe wasio na ajira rasmi kazi nitakayoieleza kwa mapana katika uzi huu (kwa vitendo kuanzia ufanyaji wa hali ya chini (kiwango duni) hadi kiwango cha juu) huku...
Kwa sasa ni Nchi Nyingi sana kuna Mfumuko wa Bei, Lakini kufikiri kwamba sababu Marekani kuna Mfumuko wa bei basi na Tanzania lazima uwepo hayo ni Mawazo ya Walioshindwa .
Hivyo ni Bora...
Kwa sasa watu wengi ambao walishakuwa katika hali nzuri ya kiuchumi wanawataka vijana waweze kujiajiri, kiukweli ni sahihi kulingana na hali ilivyo lakini tatizo kubwa linalowakabili vijana ni...
Habari wana jamii forum
Changamoto iliyopo mtaani sasa hivi ni tatizo la kupata wateja na kuongeza mauzo kwenye biashara limekua ni swala gumu sana , jobless wengi wanaanzisha Biashara na...
Baada ya mama kutuongezea chajuu kidogo kwenye salary nimeamua kujilipua benki nimevuta mkopo wa mulioni ishirini, milioni kumi nimefanyia finishing ya nyumba yangu ya kuishi na kumi zilizobaki...
Kama utamaduni tuna embassies katika nchi nyingi. Na nje ya Balozi kunakuwa na Balozi mdogo, Councillor na office staff. Binafsi sijui hasa hawa mabalozi huwa wanafanyaga nini? Hivi baada ya...
Habari zenu,
Miaka ya nyuma tulizoea kuwa dagaa ni mboga ya watu wa hali ya chini lakini nimeshangaa sehemu ninayoishi kwa sasa nyama ndio imekuwa mboga watu wa hali ya chini tunaweza kuimudu...
Unajua kwanini watu wanasema upende unachokifanya ...?? Unajua...?? Au ushawahi kuulizwa au kusikia kauli hiyo....?? Kwasababu upendo au mapenzi pekee ndo unaweza kuvumilia kila kitu, mkeo au mmeo...
Salama wakuu,
Naombeni muongozo wa namna ya kufanya biashara ya kuuza magari used, kwa upande wa mambo ya kuzingatia, taratibu za kufata, changamoto nk.
Nimeamua kuja na hiyo biashara, baada ya...
MINISTER for Minerals Dr Dotto Biteko has expressed his satisfaction with the speed of the construction of the power substation being built by the Geita Gold Mining Company (GGML).
The...
Habari wanajamii? Nimeonelea nikushirikishe kuhusiana na hiki kinachopatikana hapa nilipo.
Kwanza njna uenyeji takriban zaidi ya miaka 25 hapa kisiwani, hivyo basi ninao uwezo wa kukusanya samaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.