Watu wengi wanaanzisha biashara lakini wengi pia wanafunga biashara, sababu na shauku ya kuanzisha biashara mara nyingi ndio hiyohiyo ya kufunga biashara ila nina wazo au kanjia kadogo ambacho...
Wakuu mimi ni mjasiliamali ambae walau kwa siku naweza kuingiza faida ya elfu tano au elfu kumi sasa ombi langu kwa haya makampuni yanaoendesha mobile money kama T-pesa, Mpesa, Tigopesa,Eazy pesa...
Ziko pisi nyingi Sana kwa ajili ya fensi n.k zenye urefu wa 6ft 7ft na 5ft. Pisi moja Ni shilingi 1000. Kila kipande kimekuwa treated. Mzigo upo pembeni mwa barabara ya lami ,mpakani mwa njombe na...
Habari za muda huu wakuu,
Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF
"Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari"
Mwisho wa nukuu
Hivi kitu gani ambacho kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa ...?? Kila mtu anapenda kufanikiwa, sio...?? Huwa tuna sukumwa na nini...?? Najua sababu zipo nyingi ila za msingi ni zipi....??
Habari wanajamvi, mimi nipo Tanga lakini maeneo ya kijijini. Kwa muda niliokaa huku mambo ya kilimo yamegoma hasa kwa sababu ya hali ya hewa. Sasa nikafikiri kufungua biashara tofauti hata mbili...
Habari hapa
Nimekuwa natafuta mwanga katika maisha kwa miaka sasa .
Nimaenza uwakala wa kibenk na mitandao ya simu kwa mwaka sasa na sijaona faida yake kubwa kwa kweli.
Ni kama mwezi sasa nawaza...
Habari wanajasirimali wote. Nafikiri kufungua taasisi ya kukopesha fedha kwa kutoa mikopo ya wafanyabiashara na watumishi hasa taasisi za serikali na binafsi.
Naomba kupatiwa uelewa wa namna ya...
Naomba msaada wa kujua taratibu za kufungua real estate company kwani nina eneo la hekari 15 Kigamboni (Dsm) la urithi karibu na fun city, sasa sijui taratibu za kufuata ili kufungua kampuni japo...
Habari zenu wakuu nimekuja na wazo la kuanzisha biashara ya vifaa vya kutolea huduma ya afya kwa mfano microscope, blood pressure tester, injector na vifaa vingine vinavyo tumika kutolea huduma ya...
Jamani naona watu kibao wanaparangana kutafuta haya maji ya mwamba. Sasa naomba kuuliza, pia mmoja ama kama kunamtu anaconnection ya uhakika ya soko la hii kitu naomba tutafutane.
Kama wewe...
Habari wakuu,
Mimi ni mjasiliamali mdogo, ningependa kufahamu jinsi ya kujua mahali na tarehe ambapo hufanyika maonyesho ya kibishara ya mara kwa mara (tofauti na yale maonyesho ya kitaifa kama...
Habari JF.
Kwamtazamo wangu wengi tunaogopa kuagiza vitu kutoka hizi sites kama AliExpress,ebay,Amazon n.k
Baada ya kusoma nyuzi nyingi hasa za Mwl.RCT basi namimi nikaona nijaribu.
1.Nilianza...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba kujua kampuni zinazosafirisha mizigo (Loose Cargo) kutoka Japan kuja Tanzania.
Heshima kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wangudu,
Nimeona niweke hapa business idea yangu ya kufungua retail shop in one on the medium populated areas hapa dar.
Nataka kufungua duka ambalo litakuwa na groceries (eg mafuta ya...
Habari wanajamii, sijawahi kuona huduma mbovu za usafirishaji wa nchi kavu kama hizi za basi la AIFOLA EXPRESS linalofanya safari zake Dar-Kigoma, wahudumu wanakauli mbaya, hawajali wateja wao sio...
Wadau habari~
Naomba msaada wa kujua bei ya engine ya pikipiki aina ya boxer maana chassis bado ni mpya kabisa lakini engine imekufa kutokana na matumizi mabaya ya kijana aliyekuwa anaitumia. Kuna...
Habarini za muda huu wana Jf
Kwanza nipende kumshukuru Mungu Kwa kuweza kuiona siku ya leo bila kupoteza muda niende Moja Kwa Moja kwenye mada.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 nimemaliza chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.