Habari Wanajamii.
Kuna siku moja isiokumbukwa Jina nikiwa kwenye mishe mishe zangu za utafutaji nilikwenda Kariakoo kununua material za kutengeneza maasai sendo, baada ya kumaliza manunuzi yangu...
Yes wakuu,
Ni mwaka mwingine huooo, its always about kupambana na maisha na kutafuta ugali pale palipo na unga mwingi.
Naongelea penye kasi kubwa ya ukuaji, nguvu ya manunuzi inayoongezeka...
What you have to understand is that you're competing in an environment full of very talented, smart and highly motivated competitors. The guy on the other side of the trade, is as eager to make...
Habari wanabodi!
Baada ya kuanza na biashara ya stationery na kwa faida kiasi ninayoipata, nimeona niwaze kufanya makubwa zaidi katika tasnia hii ya stationery kwa kumiliki mashine kubwa kabisa...
MILLING AND PIG FARMING AGGREGATE PROJECT
Introduction;
This is a minor local conglomerate project chiefly involving owning and commercially operating milling machines which husk and/or grind...
Nimeingizwa kwenye kundi linaitwa AFRIC INVESTMENT, wanataka niinguze hela na kuvuna kwa utaratibu kama ule wa DECI.
Anayelifahamu kundi hili atujuze, naona dalili ya kupigwa!!
Wakuu nahitaji kuingia kwenye biashara ya mabegi ya mtumba kunawateja wanachukuwa mzigo Tandika mezani kwa bei ya elfu 4 hadi elfu 5.
Naomba kufahamu ni wapi eneo sahihi la kupata mabegi safi ya...
Hasa kwa vijana wanaokaa DSM ambapo biashara ya nyama(bucha) haifungamani na utumbo.
Kwa wale wenye mitaji midogo pungufu ya laki 6 ningeomba kidogo wajaribu kufanya uchunguzi wa biashara ya...
For the first time since 2015, Facebook founder Mark Zuckerberg isn’t one of the 10 richest people in America.
Zuckerberg has lost more than half his fortune—a staggering $76.8 billion—since...
Mimi nataka kufungua biashara ya mitumba, Na mitumba hio naagiza kutoka Kenya, na Ni BALO MBILI TU, Zenye thamani ya Laki 6 kwa zote mbili... Kwa mtaji huo, nina uhakika siwezi kuwa na mauzo...
Habari,
Naomba maelekezo kutoka kwa members ambao walishawahi kukopa bank kwa dhamana ya nyumba,maana mambo yashakuwa magumu, nyumba iko DSM, ilala kata ya kitunda.
Mwenye uzoefu tafadhali...
Wakuu, husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kufahamu hawa mawakala wetu wa Tigopesa, M-Pesa, Airtel money, wanapata vipi faida?
Na process za kujiunga kuwa wakala zipoje?
Sent from my...
wakuu waliokua na uzoefu na hii biashara naomba muongozi idadi ya vifaa vinavyoitajika na garama zake ukiondoa garama za jengo naitaji kujua vifaa vya kisasa vya kutengeneza kucha
Sent from my...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu;
Logo ya "KENYA BUREAU OF HALAL...
Na Taban J
Kumekuwa na nadharia kuwa, kupanda kwa bei ya mazao ya chakula kumesababishwa na kufunguliwa kwa mipaka. Jambo linalo pelekea mazao ya chakula kubebwa na majirani zetu wa Uganda na...
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Kwa leo naomba kujuzwa na walio wataalamu kwenye sekta ya ujenzi kwa nini teknolojia hii ya kutumia panel za EPS (Expanded Polystyrene) haitumiki sana hapa...
Habari wana Jf, nilikuwa nna mpango wa kununua simu hii ya Samsung galaxy s21 Ultra 128 Gb storage yake... bei zake zinanichanganya kuna jamaa anaduka lake Kkoo hapa jengo la Infinix anauza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.