Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade Twilumba Mlelwa Amesema kuwa, maonyesho ya 46 ya Jukwaa la kimataifa la biashara Dar es Salaam DITF yalikuwa na mafanikio...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Habarini Wandugu JF To the Point Kumekua na Dhana Kwamba Mtu kuwa dalali au kutaka kujihusisha na udalali ni lazima iwe kwenye viwanja / nyumba na Magari (magari ndio trend ya siku hizi) + ni...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wa jamii forum natumai mu wazima wa afya na mnapambana kutafuta kitu cha kwenda kinywani Leo napenda niongelee kitu kimoja kwa muajiliwa anayetamani kujiajili huku akiwa kwenye ajira yake...
5 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari JF Wadau Pitia hapa kama una uzoefu nishauri jambo hili. Nataka nifungue ofisi kubwa mwezi wa kumi, ambayo itakuwa imebesed kwenye maswala ya exhibition display designer industrial /...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Biashara ni shughuli ya kujipatia riziki au kupata pesa kwa kuzalisha au kununua na kuuza bidhaa. Pia ni "shughuli au biashara yoyote ilifanyika kuzalisha faida. Kuna aina mbili za biashara...
5 Reactions
6 Replies
6K Views
Nimewaza kutafuta biashara nitayopata faida sh 2000 kwa kila item. Nimepiga hesabu nitatengeneza million na zaidi kwa mwezi. Hesabu ipo hivi, niweze kuuza bidhaa 500 ndani ya mwezi, nipate...
26 Reactions
92 Replies
12K Views
Habari za humu ndani ndugu zangu. Katika hali ya kuchakarika na kutafuta maisha hatimaye leo nimekuja na wazo langu ambalo nahitaji msaada toka kwenu wadau au kama kuna wazo zuri zaidi ya hili...
17 Reactions
119 Replies
55K Views
Wakuu sina mengi hizi ni sababu zangu kutokana na hali halisi iliyopo huku mashambani kunakofanyika kilimo..( nipo kilombero morogoro) ZAO MPUNGA Bei ya kukodi shamba Ni laki 2 kutoka laki 1...
0 Reactions
1 Replies
643 Views
Sina uhakika sana na wala sio wa muumini wa hivi vitu ila kama itakuwa kweli basi hizi imani zimekuwa changamoto sana hapa dsm Nilikuwa katika harakati zangu za kutafuta fremu kwa ajili ya...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua wenye uzoefu wa baishara ya sportswear kuanzia mtaji faida hasara na changamoto na sehem ya kupata mzigo Niko mbarali mbeya
0 Reactions
5 Replies
723 Views
Naamka asubui naangalia wallet yangu kitandani " dah! amna kitu, Mungu wangu nimekosa nini mimi?". Hii ilikuwa sentensi yangu kila siku nilipokuwa nikiamka na nililaani sana mfumo wa nchi hii kama...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Hellow wanajukwaaaa habarini za saa hizi naombaa kwa yoyote ambaye anajua muongozo wa namna ya kufungua maabara ya binafsi anisaidieee
1 Reactions
3 Replies
1K Views
LOS ANGELES: INDIA imechagua kujiondoa kujiunga na Jukwaa la biashara ya Mfumo wa Uchumi wa Indo-Pacific (IPEF) kwa hoja zake halali kuhusu uwezekano wa masharti yaliyowekwa sambamba na masuala...
1 Reactions
0 Replies
328 Views
The Times of India By SAURABH SINHA LOS ANGELES: India has chosen to opt out from joining the trade pillar of Indo-Pacific Economic Framework’s (IPEF) for its legitimate concerns regarding the...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Wadau naomba kujulishwa hii biashara! Mwaka jana mwishoni nilipata wasaa wa kukutana na M.C mmoja wa maeneo ya Temeke akasema kwamba nina sauti yenye ujazo inayoweza kunipatia mpaka million moja...
2 Reactions
59 Replies
62K Views
Nina 2.3 ml na duka la biashara ninalo linausika na utengenezaji wa simu na kuuza accesssories za simu lina thamani ya laki 5 nilikuwa nahitaji kupata kuongeza biashara yangu ikuwe zaidi niweze...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Naombeni mnisaidie wazo natamani niende na kuku Dar kuuza wa kienyeji nawezaje kuuza mwenyewe bila dalali Yaani rejareja. Ikiwa kuna mtu aliweza ifanya hii biashara anisidie uzoefu pliz.
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu Naomba tushirikishane ni benki gani nchini ambayo haina msururu wa mambo mengi katika kukopa kwa kutumia hati ya nyumba. Asanteni.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ogopa sana mwanamke mwenye vikundi vya vicoba na mikopo wengi wanatumia hiyo kama njia ya kumchuna mume wao kwani wengi wao wana ahadi tamu sana kwa waume zao za kujikwamua mtu unaweza hata...
1 Reactions
1 Replies
496 Views
Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom