Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Msaada namna ya kupata kazi kwenye freelancing. Freelancing site ni mitandao ambayo unafungua account na unaweza kuajili au kuajiliwa kufanya kazi za kidigitali (web design, content writing...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna mahali niliwahi ona kampuni ya watu waliojiita wazawa wakitafuta mawazo kwa vijana, mawazo ya kibiashara ambapo hiyo taasisi ilianzisha kwa pesa za watu kwa miradi ya vanilla, na sasa nadhani...
1 Reactions
3 Replies
419 Views
Habari, Ninabiashara ya viungo vya chakula (spices) Iric, mdalasini, pilipili manga, karafuu , nauza kwa kilo nawezaje kupata soko lakuuza bidhaa hizi? Zaidi soma: Wateja wapo wengi, Ongeza...
1 Reactions
14 Replies
15K Views
Wakuu Nimekaa natafakari nianzishe biashara gani ambayo itakuwa unique kwa kiasi fulani na kuniwezesha kupiga pesa bila purukushani na kabla ya ushindani kuwa mkubwa Nimeona nije na wazo hili...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari nina mtaji wa milioni 5 naweza fanya biashara gani Arusha ya kuniingizia hela?
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi Na je mtaji wake wa kuanzia...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wananzengo!!! Leo nakuja na hili wazo la biashara la 'online shop' Kumekuwa na changamoto nyingi, hasa za kupata fremu ya duka maeneo mbali mbali. Na ikipatikana, bei inakuwa juu...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Serikali imetaja hatua nane zilizochukuliwa katika kudhibii mfumuko wa bei ili kuhakikisha unaendelea kubaki ndani ya wigo wa tarakimu moja. 1. Imeimarisha sekta za uzalishaji ili kuongeza...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Na Tom Wanjala Ripoti kuhusu ufanisi wa mradi wa reli mpya ya kisasa ya SGR nchini Kenya kwa mwaka uliopita, imetolewa rasmi na ofisi ya takwimu ya kitaifa ya Kenya (KNBS). Kwa mujibu wa ripoti...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Nina kazi mwisho saa Tisa na nusu nataka niwekeze kwenye biashara ambayo kwanza nitaisimamia mwenyewe peke yangu niweze kuona Hasara na faida hata Kama nikijitia Hasara nisababishe Mimi muhusika...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Wadau wa JF, Mada hapo imeeleweka bila shaka. Nataka nijitose katika biashara ya mbao baada ya kuhisi itanilipa kwa maoni yangu. Nataka ninunue kutoka mikoa ya Njombe na Iringa na kuzisafirisha...
5 Reactions
53 Replies
12K Views
Nambeni ushari, na uzoefu wenu spea za pikipiki zinalipa? Na changamoto ya hii biashara ni ipi na natakiwa kufanya nini ili nitoboe location Arusha.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Najiuliza hii hali inayoonyeshwa na mamlaka za baadhi ya nchi za kiafrika kuruhusu wachina kuingia nchi zao, wana syndicate gani na mabeberu? Kwanini wanatamani kusikia watu wao wanaumwa Corona...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari mimi ni wakala nahitaji mwenye machine ya uwakala ya NMB aliepo dar es salaam offer ni 700k kununua na kama mtu anayo basi niko tayari anikodishe ntampa 30% ya kamisheni itakayopatikana...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Karibuni mazulia ya manyoya Fut 5/6 Bei 55,000 Fut 6/6 Bei 65,000 Tupo dar popote tunatuma karibuni
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Kwenye mahangaiko yangu nina viduka kadhaa sehemu mbalimbali mkoani DSM.Ndoto yangu ni kuwa na matawi Dar nzima. Nime-specialize kwenye uuzaji wa Unga wa SEMBE/DONA, CHAKULA...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naleta swali kwenu, Naomba kuuliza hivi 1).ni sababu gani hasa zinaifanya kampuni Changa kufa Hali yakuwa mmiliki ndie CEO 2). Hivi inatokeaje yaani owner wa kampuni also, ni CEO lakini...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
za mda huu waku hapa, nimekuwa nikiona watu wanafungua office ya kubetisha kama gal sport na nyingine kama hizo, kama kuna mtu anajua taratibu zake za kufata na namna ya kupata faida naomba...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
I did account and finance at University back then few years ago. Apart from living normal life kama ku socializing sana, flirting girls kwa sana nimekuwa every time na fantasize kuhusu maisha ya...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Bila kuzungumzia account za kibenki ambazo compound interest somehow ipo applicable lakini lengo langu ni kuzungumzia kama kuna legally existing plan kwenye taasisi ambayo unaweza kufanya hichi...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom