Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Sikuzote njia ya ushindi katika maisha ni kutokata tamaa. 1) Amka na kuwa makini katika kila jambo utalofanya ila liwe la kukuengezea uchumi. 2) Usikubali kukatisha tamaa, maisha bora yanahitaji...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna hii biashara ya kununua vitu vilivyotumika,kwa mfano vitanda,masofa viti ndoo,milango ya aluminium, mbao, mazulia, na zingine kibao hii imekaaje, kuna waliokwisha ifanya, mtaji kiasi gani kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanyonge wenzangu huko mkoa uliopo bei ya cement ikoje? Mimi huku nilipo Cement ya dangote 23000/mfuko na twiga ni 25000/mfuko. Bei ya Dangote kutoka 18500 mkapa 23000. Mnyonge mnyongeni lakini...
10 Reactions
218 Replies
26K Views
Habari JF, Kwa upande wangu nafahamu kuwa biashara ya bolt ipo maeneo yenye mkusanyiko mkubwa. Kwa sasa kuna katazo la kuingia Mjini kwa Bajaj na bodaboda. Wazoefu naomba ufafanuzi juu ya hilo...
1 Reactions
1 Replies
719 Views
Nina mtaji wa kutosha lakini ninataka nifanye biashara ya underwear za kike sasa naitaji mtu ambae anaijua vyema biashara hii aweze kutoa mrejesho wa biashara hii. Kuanzia faida hasara na...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Hakikisha kila unachofanya ni maendeleo kwako badae. Acha kuchoka mapema, jiangalie wangapi wapo nyuma yako wanakutegemea wewe. Usichoke muombe Mungu huku ukizidi kupambana. Hata jiwe huvunjwa...
7 Reactions
3 Replies
753 Views
Wanabodi, Kwanza angalia, kisha ndio tuzungumze Hii taasisi ya TradeMark East Africa, (TMEA), ambayo siku zote imekuwa ikifanya mambo makubwa kimya kimya, imeendelea kufanya makubwa nchini...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Mi nafikili vijana tukijikita kwenye kilimo na bishara tutatoka kiuchumi mi Leo nataka niwape vijana wenzangu Elimu kidogo kuhusu kilimo cha vitunguu swaum. Mm nauzoefu wa mika9 sasa wakulima na...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Vijana tulio wengi mara nyingi tunakwama sana kwenye biashara kutokana na kupeana mawazo ya maandishi na siyo ya mazoezi unakuta vijana wengi tunakuwa na mitaji ambayo kweli tuki isimamia vyema...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Salam wana JF, Kuna huu msemo usemao "Siri za biashara". Je, mfano wa siri hizo ambazo haziwezi kujulikana katika ulimwengu huu ambao upo uchi katika kila sekta ni zipi?. Yaani siri ambazo mtu...
1 Reactions
5 Replies
610 Views
Ijumaa mubaraka..... Mjini hapa mambo ni mengi muda ni mchache sana.hili jiji lina kila aina ya mambo. Niende kwenye ajenda. Katika harakati zangu za kutafuta kabiashara kakukidhi mahitaji ya...
13 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari zenu wanajukwaa, Ninaombeni nisaidiwe namna ya kurudishiwa hela na Airtel kiasi cha shilingi milioni moja ya kitanzania. Ishu iko hivi nililipa katika akaunti yao ili nijengewe zile shop...
1 Reactions
1 Replies
374 Views
Jatu PLC imeanza kunuka wizi mapema kabla hakuja kucha tayari wakulima wadogo wanadai hela zao za mazao hawajalipwa kwa muda mrefu huku wakulima wakubwa pia wakidai hela zao. Bidhaa zimeshuka Bei...
5 Reactions
35 Replies
8K Views
Wadau habarini za Jumapili? Hapa katikati nilisikia malalamiko kuhusu ukataji wa makato ya benki hivyo nilikua naulizia kama sahivi iko Maana nilitaka kufungua akaunti ila niliogopa ko naomba...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Nina mpango wa kufungua saloon ya kiume, ila ninaomba kufahamishwa au kuongezewa maarifa katika mambo yahusuyo biashara hiyo. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau habari zenu, Kuna hii Biashara ya kununua na kuuza vifuu ambayo ningependa kuifahamu kuanzia - Gharama za kununua Kama kwa kilo hununuliwa kiasi gani na kuuza kiasi gani - Changamoto zake...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Huu utaratibu wa kupangisha frame or nyumba halafu unalipa six/year in advance mi naona kiuchumi haiko Sawa hata kidogo. Kwa mfano napangisha Leo afu nikulipe hela Hadi ya mwaka ujao it is crazy...
1 Reactions
6 Replies
524 Views
Habari wakuu, naamini mko salama kabisa. Naomba msaada wa kimawazo na ushauri katika kufungua / kufanya biashara ya Barbershop (Saloon ya kiume) kiukweli sijawahi fanya kabisa hii biashara hapo...
4 Reactions
10 Replies
16K Views
Habari zenu sana jamvii. Nahitaji kufungua biashara ya barbershop ya kisasa eneo nililopo, ingawa zipo saluni ndogo ndogo za kiume kama 6 hivi na barbershop za kawaida tatu na zina nafasi finyu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Utangulizi: Nakaribisha Mawazo ni mitazamo juu ya hoja hizi, Kwa Watu wote. 1; Vijana wa sasa na fursa zilizopo. 2; Fursa zinazojenga vijana na zinazobomoa maendeleo yao. 3; Maarifa ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom