Vijana mnaofanya gaming kwenye simu mnaweza kuingiza pesa kupitia gameplay zenu , anzeni livestream kujipatia pesa
Games include , PUBG MOBILE. CALL OF DUTY, APEX LEGENDS na mengine tumia vizur...
Habarini wanajukwaa
Sekta ya utalii ni sekta ambayo inaliingizia taifa letu fedha nyingi za kigeni, pia ni sekta inayokua kwa kasi kutokana na uwepo wa vivutio vingi tulivyobarikiwa hapa nchini...
Habari zenu wakuu.
Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba...
Wakuu kwema?
Kuna jamaa yangu aliniambia kuhusu ku trade instruments(mfano gold, oil, bitcoins, stocks, currency) kama inavyokuwa kwenye forex, ila hii inafanyika kwenye platform inayoitwa...
Hivi Vifurushi vya wiki na mwezi kwa sehemu kubwa kipindi hiki vinakosa uhalisia yaani ujazo wake hauna sifa za muda tajwa.
Haiwezekani kifurushi cha wiki kiishe kabla hata ya masaa 12 au...
Habarini ndugu wana Jf , Natumaini mko na Jumapili njema kwa wenye changamoto za hapa na pale Mungu awafanyie wepesi.
Niende moja kwa moja kwenye mada , Naomba kufahamishwa namna nzuri ya...
Napenda kuongelea kuhusu ujasiriamali kwasababu wajasiriamali wamekuwa wengi na Mimi nikiwemo kila mtu anatamani kuinuka kutoka pale alipo kwamfano mtu mwenye mtaji mdogo Kama 50,000 anakuwa...
Habari wakuu?
Wadau poleni na ujenz wa kujenga taifa hili, nakuja mbele yenu kuomba msaada kwa yeyote anaefahamu wap ntapata mkopo wa dharula kiasi Cha Tshs. Milioni mbili(2,000,000/=) kwa...
"Branding" katika biashara ni matumizi ya jina (name), maneno (terms), alama (symbols) na mitindo (designs) kwenye kutambulisha bidhaa au huduma sokoni.
"Branded Product/Service" ni bidhaa au...
Salama ndugu zangu?
Kama ilivyo ada JF halishindikani jambo.
Nina mpango wa kununua bodaboda na kuwapa vijana kwa mkataba. Wakimaliza mkataba zinakua mali yao.
Kwa wenye uzoefu na biashara hii...
Nimeishi mikoa kadhaa tofauti na dsm kwa muda mrefu huku nikihama kutoka mkoa mmoja hadi mwingine...
Ila kitu nilichokigundua ni kwamba bei za bidhaa hususan zile zisizosafirishwa kutoka mbali...
Kama ilivyokuwa kwa mitaa ya Pemba Kkoo na Samora posta streets enzi za 80's/90's, Azikiwe street(Zero Brain) 2000's, mtaa wa Agrey ndo mtaa unaoukua kwa kasi sana sasa hv kwa mishemishe za town...
Habari zenu wakuu
Lengo la kuanzisha uzi huu ni kujuzana hali na taarifa ya masoko /jinsi ya kupata masoko kwa mikoa mbali mbali.
Taarifa hizi zitakua zinatupa mwanga kujua ukijitosa kulima zao...
Mi nafikili vijana tukijikita kwenye kilimo na bishara tutatoka kiuchumi mi Leo nataka niwape vijana wenzangu Elimu kidogo kuhusu kilimo cha vitunguu swaum. Mimi ninauzoefu wa miaka 9 sasa...
Msaada wako wa mawazo constructive unahitajika sana unisaidie Mimi mtanzania.
Wazo langu ni kuanzisha tuition centre Makambako. Itatoa Huduma ya masomo kwa Private candidate, Qualifying test...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.