Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu waungwana, Naomba msaada wa kujuzwa ni vifaagani muhimu nahitaji ili kuanza kijiwe changu cha ufundi Selemala na bei ya tool husika ili niweze kuandaa badget.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa-Tanzania mambo vipi? Mko poa? Kama jibu ni ndio basi fresh na kama sio basi hakuna tabu, ila ninamachache ya kuzungumza na ninyi then niende zangu. Nisikilize sasa, Hakuna kipindi...
0 Reactions
4 Replies
547 Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dodoma juzi. Wengine kuanzia kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waungwana natumaini mu wazima na kwa Neema na Baraka za Mungu majukumu yanaenda vema kwa kila mmoja wetu. Kama mambo hayaendi vema kwako usikate tamaa, kesho yaweza kuwa zamu yako ya kubarikiwa...
24 Reactions
66 Replies
9K Views
Wana JamiiForums samahanini kwa usumbufu, Nina mtaji wa million 70 nahitaji kununua gari ya mizigo ili iweze nipigia dili nyingi na nipate nakurudisha fedha yangu kwa haraka. Ushauliwenu naomba...
3 Reactions
20 Replies
8K Views
Mifuko ya nylons (meupe) iliyokuwa mtetezi mkubwa wa watu, sasa imepigwa marufuku rasmi kutumika kwa madai ya uchafuzi wa mazingira Hii inatengeneza wigo mpana wa biashara za mifuko mbadala haswa...
2 Reactions
2 Replies
684 Views
Anaonba ushauri, anataka kuchukua mkopo wa mkubwa,je Kwa basic salary hiyo ya 650000 atapata kiasi gani? Anaonba ushauri na je, atabaki na shilingi ngapi take home kwa muda wa miaka 7? Asanteni.
4 Reactions
19 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Kwa uchache KWA kutizama megaprojects za Zanzibar... Kama Ujenzi wa uwanja wa cricket wenye Thamani zaidi ya dola mil 30 . Ukodishwaji wa Visiwa vyake KWA wawekezaji.(Uchumi wa buluu KWA ujumla)...
1 Reactions
5 Replies
502 Views
Habari za muda huu wakuu, ni tumaini langu mko salama. Na mnasongesha gurudumu ili La kila siku ilihali maisha yaenende sawia. Sipo hapa kuwachosha sana, Mimi nimekuwa ni mpenzi sana na navutiwa...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Nimefanya kazi ya Kutengeneza Matangazo ya Wafanyabiashara pamoja na Matangazo yangu binafsi... Naweza kukuambia kama Unahitaji Tangazo lako Lifanikiwe au Lifeli Basi zingatia/usizingatie Vitu...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Nawasalimu wote. Mimi ni kijana mjasiriamali ninaetarajia kufanya biashara ya jumla ya vitu vya dukani(Arusha&Moshi) lakini ningependa kupata mawazo na ushauri namna ya kuagiza vitu hivyo kutokea...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Jamani vijana hii fursa ya kujifunza ni nzuri kwa vijana kujipatia kipato acheni platform za matapeli jifunzen hizi ni zinalipa
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Karibu ujipatie bidhaa mbalimbali kwa gharama nafuu kabisa
1 Reactions
1 Replies
723 Views
Wengi wetu sisi hatuna "makazi" ni homeles au watoto wetu au ndugu zetu wenye miaka 18+ na kuendelea. Ni jambo la kawaida kwa wakati fulani kukosa makazi sio kila mtu anabahati ya ndugu au...
0 Reactions
5 Replies
543 Views
Naishi nje ya Nchi.....! Inawezekana kufungua Online Account kwa Bank zetu za Tanzania....! NB. Najua humu kuna Wafanyakazi wa Bank, ama member wenye Uzoefu na mambo Banking. Asante.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nani hubeba mzigo wa Kodi? Miaka michache iliyopita iliwahi tokea bank withdrawal charges zikaongezwa Kwa order ya serikali ikiwa ni kwamba ile nyongeza iwe pesa ya serikali Kwa hoja kwamba...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Habari za asubuhi mabibi na mabwana Ningependa kupata ushauri kwenu Kwa mtu aliyejipanga kufungua biashara ya spare used za magari kutoka Dubai kwa mkoa wa Dodoma
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Graphics designer do it at home with your own computer [emoji2957]
0 Reactions
2 Replies
343 Views
Niko mkoa wa Simiyu, ni shamba la eka moja na nusu. Kwa wale wanaonunua shambani kwa bei ya jumla karibuni. Makisio ya tikiti ni kuanzia 1500 - 3000. Mawasiliano 0786382988, 0742366392.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kujua, ni mtaji unaoanzia sh. ngapi unahitajika kwa mfanyabiashara mdogo wa duka la matumizi aliyepanga katika frame anatikiwa kulipa kiasi gani cha kodi TRA? Napenda kujua, ni mtaji...
4 Reactions
14 Replies
859 Views
Back
Top Bottom