Hello hii ni kwa MAwakala, ningependa kufaham mtandao gani una makato rahisi kwa njia ya lipa kwa mteja kulipia na kuamisha fedha Kati ya lipa ya tigo au lipa ya vodacom, mtanisaidia Sana kwa hili.
Habarini wakuu
Nahitaji kwenda Dubai kununua accessories za simu hivyo ninaomba Kwa mtu mwenye uzoefu aweze kunipa mwongozo na connection kufanikisha Hilo
Natanguliza shukurani:-
Habari wanajf?
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu,
Kuna kikampuni fulan jina ***** microfinance kinajihusisha na kutoa mikopo midogo mtaani Tena kwa dhamana ya vitu vya ndani kama vifaa vya...
Wakuu mimi ni kijana mjasirimali
Nimepambana kwa muda hatimaye nimepata kaduka kangu kapo mjini kati
Sasa kulingana na pesa zangu za kuungaunga nimeshindwa kujaza mzigo nipige pesa
Nilikuwa...
Fursa kwa wawekezaji wenye uhitaji wa eneo la kuwekeza nina eneo la square meter 900,000 lenye plots 20 kwa matumizi ya viwanda na uwekezaji eneo lipo Mlandizi(Ngeta), eneo liko mita 30 kutoka...
Kutokana na changamoto ya kupata mtaji hii nawaletea njia ya kupata mtaji hii imekua Njia rahisi zaidi ya kupata mtaji kwa urahisi bila riba riba ni uaminifu wako tuu. Chakufanya ili upate mtaji...
Habari wa JF
Nataka kufanya biashara ya kuuza vocha za jumla lakini sijajua nanunua wapi hizo vocha,ukiwauliza wauzaji wa jumla kila mmoja anapiga chenga wengine wanasema hazina faida..mimi...
Kama unatangaza Biashara yako Online.. Bila shaka Unatafuta Wateja wa Online
Wateja hawa, sio kwamba wana utofauti sana na wateja wa kawaida (offline),...ambao wanaweza kuja dukani kwako kabisa...
Naam tunaimalizia August,,,
Back then nikiwa chuo(sikufanikiwa kupata boom) Kuna michongo nilikuwa nafanya ili kidume ni-survive mjini,,, ! Hii ilipelekea performance kushuka Sana, mda mwingine...
Habari zenu waungwana
Naomba kufahamu bei ya frame kwa mwezi maeneo muhimu hususani mjini kati kwenye majiji na mikoa inayokuwa kwa kasi
Mwanza
Arusha
Dar es salaam
Tanga
Dodoma
Mbeya
Nawasilisha
Habari za majukumu ndugu zangu kijana mwenzenu nipo mbele yenu kwa ushauri wenu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni mkazi wa Dar maeno ya Kitunda umri wangu 27
Mama yangu kanipa...
Critical Thinking ni kitendo cha kufikiri kwa kuzingatia mazingira au hali tofauti tofauti (different contexts) ili kufikia maamuzi yenye tija.
Meneja wa Kampuni (Company Manager) anapaswa kuwa...
Mikopo tunayokopa benki hapa nchini Tanzania zina riba kubwa sana kitu ambacho hufanya watanzania wengi kutofaidika sana na mikopo hiyo. Kwani kuna benki hutoza riba zenye faida ya asilimia...
Habarini wanajamii forums, hope mko salama na haya mapumziko ya jumapili.
Nimeona kuwa serikali yetu Ina Kodi na tozo mbalimbali, Kuna ambazo tunazijua na ambazo hatuzijui ila zipo. Kwa faida ya...
Nawasalimu wanajamvi habari zenu! naomba mwenye mawasiliano ya SIDO au kama wana account humu jf namba tuwasiliane nina jambo nahitaji ufafanuzi kutoka kwenu.
Hello nahitaji msaada juu ya kumiliki biashara ya internet service provider.... "Kwetu kijijini Kuna uhitaji mkubwa Sana wa internet Je ? Nifanye ili niweze kufungua iyo biashara.. nahitaji njia...
Wataalamu,
ni ipi hasa sababu ya serikali kuyanunua madini yenye uzito mkubwa/thamani kubwa, je labda kunayo madhara yoyote endapo mchimbaji akiyapeleka sokoni mwenyewe badala ya kuiuzia...
Wazoefu wa hii biashara ya vyombo vya nyumbani tunaomba mtupe madini kuhusiana na hii biashara, kuanzia mtaji, mahali bidhaa zinakopatikana kwa bei ya jumla, faida zake, changamoto za hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.