Kahawa maarufu tunayotumia hapa Tz ni Africafe. Kale kakopo, 50mg kanauzwa Tsh 4000. Maana yake kilo moja ya kahawa ile ni Tsh 80,000.
Na kahawa hii ni ile ya quality ya chini tu. Ndiyo maana...
Greeting, hustler..[emoji110]
Kama kijana lazima ulijuwe hili, thread..
Sometimes utaona kama bahati mbaya ama Mungu kafanya makosa kukuleta tz ila naomba kuongea na wewe leo. Ikiwa bado kijana...
Habari wakuu,
Nina wazo la kufanya biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia basi ndogo aina ya Costa ambayo nategema kufanyia mkoani lakini bado nafanya utafiti nijue ni route ipi nzuri hasa...
Barcelona, Uhispania, Februari 28, 2022 - Wakati wa toleo la hivi karibuni zaidi la Kongamano la Dunia la Simu (MWC 2022), moja ya matukio makuu katika ulimwengu wa teknolojia ya simu, TECNO...
Je, Kama Kijana umejipanga vipi kuyaandaa hayo maisha_ au imekuwa Ni Kama simulizi kwa vijana wenzio bila kuwa na mipango_.
Vijana tujiajiri! Vijana tujitume_! Tuwe wabunifu, wapo vijana wanafuga...
Yaan mshanikera to maxmum. Si muondoe namba zenu za customer care. Maana nina siku ya pili sasa nawapigia kubadilisha tarehe ya safari hamchukui simu zangu. And sina muda wa kuja kwa ofisi...
Wadau naomba muongozo kwa nwenye kujua hi Biashara vizuri
Mtaji Bei gani!? ubora wa vifuu vinavyohitajika wapi wananunua (vikishakusanywa)
Bei wanazonunulia
Ahsanteni
Ukweli tuuseme tu, jahazi limeanza kumshinda mama. Sio kwa ugumu wa maisha huu!
Yaani Watanzania wanatozwa tozo ambazo hata mkoloni na roho yake mbaya asingethubutu kuwatendea namna hiyo.
Wengi...
Wakubwa shikamooni, madogo mambo vipi, poleni wote na makali ya tozo. Mimi ni kijana wa kiume miaka 30 makazi yangu kwa sasa yapo Iringa
Twende moja kwa moja kwenye point., katika kuchanganyika...
Habari zenu wana Jamii forums.
Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana...
Habari JF
Baada ya kupambana kwa muda mrefu Sasa nimepata Bajaj ya mkataba!
Nikimaliza itakuwa Yangu!
Ubunifu ntakao ufanya Ni Kama ifuatavyo.
Nitaandaa Business card sizizo pungua 100...
Nataka nianze biashara ya nguo lakini mambo haya siyajui sana. Ulipaji kodi unakuaje. Legal process ni zipi?
Mzigo mzuri mnauchukua kwa staili gani etc
Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao;
1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi
2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi
3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.