Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hamjambo, Leo naomba tupeane hustles baada ya kujikuta tumeingia kwenye mikopo na taasisi za kifedha. Binasfsii najuta kukopa, japo sikununua gari wala anasa yeyote ninayojilaumu lakini kurejesha...
19 Reactions
64 Replies
9K Views
Ndugu wana jamvi naomba msaada,nitawezaje kujua kama risiti niliyopewa nifeki au sio feki,je kuna app yeyote ya kutambua risiti za tra?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninyooshe maelezo moja kwa moja kwny mada. Hivi ni kipi bora kutumia account yako binafsi ya mitandao ya kijamii kupost kazi/ biashara yako or kutengeneza account rasmi ya biashara ndio uitumie...
0 Reactions
4 Replies
543 Views
Tanzania imepitia katika hatua kuu tatu kwenye mikakati ya kufanikisha maendeleo. Hatua ya kwanza ilianza mara baada ya kupatikana uhuru, hadi mwaka 1967 lilipotangazwa azimio la Arusha. Katika...
1 Reactions
1 Replies
874 Views
Habari zenu waungwana? Siku mbili & Tatu hapo nyuma nilienda soko la ferry kununua mboga kwaajili ya familia yangu, katika pita pita zangu nilikutana na mshikaji wangu flani hivi tulipiga nae...
6 Reactions
73 Replies
5K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo eleza. Nataka kufanya biashara na hawa jamaa kwa anayefahamu au alisha wah kufanya nao biashara naomba kufahamu wana tuma kweli mizigo au longo longo.
0 Reactions
4 Replies
881 Views
Habarini wanajamvi? Nimekwisha tafuta Passport nataka kwenda nchi ya Botswana Je? Fursa zake ni zipi kwa wale wanaofahamu hasa katika biashara tujuzane tafadhari
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na maisha yako ukiendelea kuzifikia ndoto zako.Katika safari yangu ya ujasiriamali na biashara ambayo ina umri wa zaidi ya miaka...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi ewra mana mfumo wa kupima ubora nishati ya mafuta yanayotumiwa na vyombo vya moto kutoka vituo vya kuuzia mafuta maeneo yote hapa Tanzania? Kama hamna utaratibu huo naomba muwe mnafanya hivyo...
2 Reactions
3 Replies
435 Views
Come June this year, nataraji kuwa na likizo ndefu ambayo sehemu ya muda wa likizo natamani kutumia kutafuta fursa katika biashara ya nafaka. Kusafirisha nafaka kutoka Tanzania kwenda nchi jirani...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ishini sana, Tabu sio jambo jema lakini hatuna budi kuzipitia. Kuna kibanda nimekiotea kipo soko la mtaani, hilo soko halina watu wengi saana ila pilika pilika zipo kimtindo pamoja na makazi ya...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Greeting.[emoji110] Especially for hustlers[emoji123], students, brothers and sisters and all fans.. Nafkir itachukuw muda kidg kutonekan[emoji26], ila naomba tushike hivi vitu 3 kisha tuingie in...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu, Naomba msaada wa kutengeneza jina la biashara ambalo litakuwa rahisi kutamkwa na fupi. Biashara ninayotaka nianzishe inahusu vinywaji vya aina zote. Jina nilifikiria hili: Isaba...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, na pia poleni sana na mapambano ya covid19. Bila kuwapotezea muda, nina nyumba yangu nataka niuze ipo kwenye kiwanja kikubwa na nyumba yenyewe ni ya...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Leo nataka kuwakumbusha watu kupitia kisa kilichonisibu katika hofu ya uwekezaji. Mimi ni kijana ambae mpaka nina miaka 30+ ila ninategemea malipo ya mwajili pekee huku nikiwa na majukumu ya...
14 Reactions
24 Replies
2K Views
Vijana, tukiweka aibu chini na kuingia sokoni, lazima kipato cha kuendesha familia zetu kipatikane. Kuna shughuli za kutembeza viatu, nyama choma, kahawa, karanga, nguo, vyombo, ice cream n.k Na...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari wadau wa JF. Mimi ni kijana najishuulisha na harakati mbali mbali, kwanza mimi ni mwajiriwa wa mtu binafsi kuna jambo moja nawaomba mawazo yenu mnisaidie kidogo Kama amtajali lakini jambo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu Wajasiriamali, wafanyabiashara vipi hali za biashara huko kwenu zikoje? Kadri siku zinavokwenda naona maluweluwe biashara inazidi kuwa ngumu halafu ukicheki unatakiwa ulipe kodi ya...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna hili wazo naliweka mezani; kwa nini tusianzishe kundi litakaloitwa 'Entertainment Group'? Hili kundi liwe na wanachama angalau 100,000 ambapo kila mmoja atachangia shilingi 2000; ikiwa na...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Nashindwa kuweka pesa kwenye Skiril account kutoka kwenye Mpesa au Airtel Money, Mwemye kujua njia aniambie make ya kutumia VISA ya CRDB naona pia inakuwa ngumu sana
1 Reactions
3 Replies
836 Views
Back
Top Bottom