Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ndugu wana jamvi, Wasaamu Kama kichwa kilivyo hapo juu nimechoka na mikopo ya online, nilijitosa kusaka mkopo na kama mjuavyo wana jukwaa kuwa bila dhamana watu wengi wanaangaika kupata mikopo...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Wadau nauliza kama kuna mbongo ambaye amewahi fika Goma DRC ili nijue boda aliyopitia na ugumu uliopo. Nasikia kuna watannzania wanafanya biashara huko, nataka nikachungulie.
2 Reactions
35 Replies
7K Views
1. Mfanyakazi mwenye badii anakuwa rewarded na wingi wa kazi with little incentive na wajanja wajanja wanakula good times always.
2 Reactions
2 Replies
804 Views
Salamu wana Jukwaa.... Nimepata wazo la kuanzisha biashara ya Boda boda na Bajaji kuanzia mwezii wa 11 jijini Dar es salaam, naanza biashara hii baada ya kujibana kwa kipindi cha miaka 3 sasa...
5 Reactions
54 Replies
26K Views
Habari wana wa JF! Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba tujadiliane machimbo ya BIDHAA hapa kariakoo, mfano wa BIDHAA zenyewe ni kama torch, kufuli, UDI, miswaki, rula, penseli, wembe...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya tigo na zante kuungana, sasa huduma za tigopesa zinapatikana kwenye zantel. Yaani iko hivi, wewe kama mteja wa Zantel unaweza kuweka na kutoa hela kupitia wakala wa TigoPesa. Hivyo...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za leo wadau Natafuta scania la kukodi kama mtu hana mizigo mimi ninayo Namlipa kwa mwezi kiasi tutakacho kubaliana au kwakila mzigoninaosafirisha Scania iwe nzima Kwa sasa sina uwezo...
1 Reactions
1 Replies
560 Views
Kwa wale ambao wanaishi na wenza wao ambao wapo katika ajira au biashara na wana kipato kizuri watakuja kushudia namna ambavyo wenza wao wana mchango kiasi gani katika maendeleo ya familia. Kwa...
1 Reactions
3 Replies
871 Views
Wadau, Mwenye connection ya kununua simu ncbi tajwa hapo juu, anipe maujuzi tafadhali. Nawasilisha.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kuunganisha waya katika mashine ndogo hizi za kisasa anielekeze namna ya kuunganisha
0 Reactions
0 Replies
300 Views
Habari zenu waheshimiwa, Naomba msaada wakuu kama kuna yeyote angeweza nisaidia kunipa majina ya makampuni au dereva au hata tu msaada wa mawazo wa kusafirisha mzigo kwenda Afrika kusini. Nitakua...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
USHAURI KABLA YA HABARI. JITAHID SANA KUCHUNGA UHUSIANO WAKO NA MTEJA WAKO.ILE KUKUAMINI NA KUKUFANYA UWE RAFIKI HAINA MAANA URAFIKI SHOULD COME IN FIRST PLACE..ACHA KAZI IKAE MBELE MAANA NDIO...
2 Reactions
5 Replies
642 Views
Habari, Nahitaji kuwekeza UTT AMIS kiasi Cha 10 milioni kupitia mfuko wa bond. Naomba kuuliza je nikihitaji nitoe milioni 10 yangu muda wowote naweza kuitoa bila shida yote wala bila kupungua...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Trusted Pharmacy system
0 Reactions
0 Replies
334 Views
According to Greenfire Farms, the Ayam Cemani is the "most unique chicken on the planet." It's found in Indonesia and its pitch black color is what's made it famous. Not only are their feathers...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana akili ya namna ya kujipanga,au kujiandaa kustaafu ili uzeeni asiteseke kwa dharau na fedheha za watukila mmoja atoe wazo lake Mf;Mimi nimenunua shamba...
8 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu nilikuwa naomba kujuzwa frame Tanga Mjini bei gani pale Kati kati ya mji kabisa na changamoto za kibiashara zikoje na ule utamaduni wa kuona wazee ndio ufanye jambo bado upo.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello, Nimerejea tena jukwaani baada ya ban la wiki tatu [emoji23] hakika niliwamiss sana[emoji18] Nahitaji kufanya biashara ya kutengeneza juisi, kuzi pack na kuzisambaza madukani kwa oda...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani mi ninataka msaada kidogo. Nilituma package kutoka UK through DHL, unfortunately package haikuchuliwa kwa wakati muafaka. Nimeongea nao wanasema ipo warehouse. So ni jinsi gani ya kuitoa...
0 Reactions
1 Replies
434 Views
Back
Top Bottom