Kwa Wale wapambanaji Wenzangu wa Mitandaoni nikiongelea Upwork nafkiri sio Kitu Kigeni. Kwa Wale Ambao Hawafahamu kuhusu Fursa za Upwork fuatlia Uzi Mbali mbali upate Mwanga.
Moja Kwa Moja Kuna...
Hebu fikiria Denis na Caroline wanataka kwenda jiji la Manchester kushuhudia mechi kati ya Chelsea na Arsenal ili waweze kuenda inabidi walipie nauli ya ndege ambayo Itasaidia kufika kule na...
Watu wengi wanapo anzisha biashara huwa kuna baadhi ya mambo wanazingatia mfano;
-wateja
-Gharama za uendeshaji
-jinsi ya kukuza thamani ya bidhaa katika biashara n.k
# Lakini husahau kitu cha...
Biashara zina sababu nyingi kufa ila kwa tafiti zangu kuangalia biashara zilizokufa ni hizi.
Wengi tunafanya biashara ila kuna vitu vinatufanya mpaka biashara inakufa kabisa kabisa na ulikuwa na...
Habarini za mchana wadau, natumai mpo salama mkiendelea kutimiza majukumu yenu ya kila siku. Niliwahi kuja na wazo biashara siku zilizopita. Biashara ya M-pesa, nashukuru kwani nilipata michango...
Kuna jambo la kustaajabisha sana kuhusiana ya mikopo, mara nyingi mikopo hailipwi kwa sababu zisizoeleweka na imepelekea baadhi ya watu kuona kuwa mikopo ni matatizo katika maisha yao huku wengine...
Habari wakuu,
Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla.
Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
Naombeni msaada au mwongozo tafadhali ,
mwaka 2019 nilimwajir rafk yang wa kijjn kwenye mpesa yangu hapo kijjn kwet nikaondok kwenda nje ya nchi ila cha ajabu mwaka huu mwez wa 4 wamefanya tukio...
Juzi nikiwa mlimani city nikashangaa nyomi ya watu wakikimbilia Shoprite supermarket kuuliza kulikon nikaambiwa kuna ofa (nusu bei, 50% OFF) nami nikachoma ndani kuwahi ofa ile kuingia tu mbinde...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa tanzania
Jamani kwa wafanyabiashara au wenye makampuni au mtu binafsi aliopo dar ambae anahitaji patner aliopo mwanza wa kufanya nae biashara nipo...
Kutokana na Ongezeko kubwa la maradhi hapa Duniani, kumekuwa na Ongezeko kubwa Sana la Elimu ya Tiba Lishe, na baadhi ya vyakula sahihi kwa maisha ya Binadamu! Kifupi watu wengi Sana wamekuwa na...
Habarini Wana jf.
Kama hapo juu nilivyoanza kueleza nathubutu kusema Uchumi wa Tanzania uko mashakani sana zaidi ya watu wengi wanavyoona na kudhania.
Hali ni tete na mbaya sana,watu wameweka...
Ni kijana ambae hapo nyuma amepata kufanikiwa kwa haraka sana na kuishi maisha ya juu sana na kukiri kuwa na uwezo wa kutengengeneza takribani milioni 9 kila wiki, Ilifikia kipindi akanunua gari...
Habari za mda huu! Kwa wale wanaojua wapi ntapata mayai ya kuangulisha vifaranga nipo mbeya mjin. 0758996747 namba hii tuwasiliane. Natanguliza shukrani.
Habari wakuu,
Ninayo furaha kutangaza kurejea kwa series yetu pendwa ya mafunzo ya Digital marketing kwa lugha ya Kiswahili.
Nilikuwa active sana humu mwaka 2020 na mwaka jana mwanzoni...
Utangulizi.
Kwa maisha ya kawaida tunapozungumzia Uchumi ni shighuli zote za binadamu zinazolenga kutekeleza mahitaji ya binadamu ya Kila siku. Dictionary ya Economist's imefafanua Uchumi...
UTANGULIZI
NDOTO NI NINI?
Ndoto ni taaswira, mawazo, tamaa au hisia ambazo zinapita katika akili yako. Mara nyingi Sana ndoto ni kitu unachoweza kukitengeneza katika taaswira yako kulingana na...
Nimeanzisha biashara ya bisi(popcorn) kwa packaging lakini inaenda wiki mbili sasa inatoka taratibu sana na siku nyingine haitoki kabisa. Nichukue hatua gani maana nategemea nipate faida ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.