Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Fursa ni nyingi ila wanaoziona ni wachache na mara nyingine ni wale ambao tayari ni watu walio busy sana kiasi cha kushindwa kuchangamkia. Nimepitia mtandaoni kuangalia fursa zinazohitaji mtaji...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau nahitaji kupata elimu juu ya biashara ya kusafirisha mikungu ya Ndizi Mbichi. Ni katika kuinuana kiuchumi kama vijana wasakatonge
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Wasalaam. Naomba kupatiwa mwongozo wa upatikanaji wa vifaa vya Salon ya kiume ikiwa ni pamoja na bei ya Mashine za kunyolea pamoja na viti. Pia bila kusahau utaratibu wa malipo kwa kijana...
0 Reactions
3 Replies
992 Views
Habali zenu wanajf, ni matumaini yangu mpo salama kwa kudra zake Mwenyez Mungu, nami ni mzima wa afya Alhamdullilahi. Poleni na majukumu ya kila siku katika kutafuta riziki. Mimi nipo Mwanza...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Hello JFs members Naomba mnipe mawazo/ushauri juu ya ununuzi wa magari yanayopigwa mnada na TRA kwa njia ya mtando. Idea niliyonayo ni kwamba ninunue gari then nilifanyie matengenezo kidogo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari... Siku hizi kama tunavojua kuna biashara nyingi sana za online huku ukifanyiwa delivery either free or malipo kidogo. Japo ni rahisi kushawishika kwa ubora wa bidhaa wanazouza...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari za muda huu wakuu natumai mmeamka vyema sana. Kwa wale wazoefu wa kuchukua mzigo Karume au Ilala je mabero ya viatu hasa raba na viatu vya shule pamoja na vya kike huwa vinafunguliwa wapi...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari ndugu naomba msaada kweny huu uzi maana nadhani kwa elimu ya Tanzania wengi hili tatizo linatukumba kwani watu tunasoma advance alafu hatuna cha kukaa nacho akilini kua tukifaulu University...
0 Reactions
6 Replies
666 Views
Habari ndugu zangu, kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari. Natafuta taasisi za kifedha au mabenki ambayo yana masharti nafuu kwa mkopaji mdogo. Kima cha chini cha mkopo naohitaji ni milioni...
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Habari wanamaendeleo, nimepata gari nzuri IST kwa Tsh 5M Kule zanzibar, na nimeipenda sana namba 130HL, nahitaji kuileta huku Tz bara, na sijui naanzia wapi Nahitaji full details na GHARAMA...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Hizi mahakama za kodi zilizoundwa kushughulikia rufaa za kodi zivunjwe. Zimeundwa ili kuipendelea TRA. Matokeo yake ndio maana ziko chini ya waziri wa Fedha. Sio sahihi kabisa. Kiundwe kitengo...
4 Reactions
3 Replies
514 Views
WAKUU NIMEJARIBU KUWATAFUTA MTANDAONI NIMEKOSA MAWASILIANO YAO Nataka kuuza vinywaji vyao kwa jumla ila utaratibu siujui. Naomba mwenye kujua anifahamishe
0 Reactions
6 Replies
931 Views
Naitaka hii popote ilipo Tz
2 Reactions
3 Replies
472 Views
Wadau habari. Ninaomba kujua ,kwa wenye uzoefu wakutumia PRINTERS AMBAZO NI 3 IN 1, budget yake kuanzia Tsh 500000/= mpaka 1,000,000/= INK JET (ZENYE KUTUMIA WINO) ni brand gani nzuri kwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna vitu sivielewi, wengine wanasema ukiona project haiendi vizuri baada ya miaka kadhaa achana nayo fanya ishu zingine, wanaita upepo umekata. Wengine wanasema biashara ama mradi wowote...
0 Reactions
8 Replies
949 Views
Habarini! Natumaini wote tuko salama kwa neema ya Mungu. Karibuni kuniungisha raba za mtumba kwa bei ya jumla, nipo Kinondoni Studio, barabara ya kwenda Mwananyamala opposite na Akiba Commercial...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waheshimiwa nahitaji kununua solar panel pamoja na vifaa vyoote Kwa ajili ya matumizi yafuatayo. 1 Kuwasha taa 10 nje na ndani ya nyumba 2 Kuwasha TV 3 . Redio 4. Kichaji Naomba msaada kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kuelezwa kwa undani kuhusu government bond kutoka BOT
0 Reactions
1 Replies
875 Views
SINGAPORE AIRLINES (SIA), hili ndilo shirika la ndege bora zaidi kwa kutoa huduma kwa wateja, yani ukichukua mashirika yote ya ndege kama British airways, Emirates, air TANZANIA nk, Singapore...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Natumain wazima? Kama kichwa cha habari kilivyo. Maisha yanahitaji akili ichangamke na kujituma hakuna janja janja,Kwa mlioajiriwa muda mwingi ofisi zinawahitaji muhudimie na Kwa muda sahihi...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom